Putin anazidi kuiharibu Urusi. Baada ya meli yake kuzama naamini uungwaji mkono wa Putin nchini mwake utapungua.

Sawa mkuu ila pia russia ndo ilikua na jeshi lililomsumbua ujerumani kaangalie vita ya mji wa stalingrad hapo mjerumani ndo alipo chemka kwenye vita ya pili ndo watu wakajua kumbe huyu mjerumani anapigika tu.
Walikimbia Moscow Mjerumani alipigana vita pande 4 tofauti angalia vita mwaka 1939 mpaka 1942 uone nani alikua anaongoza. Russia vita anazoshinda zi zile za makoloni yake ya ussr alibamizwa na Japan mwaka 1905 na navy yake yote iliharibiwa na mjapan
 
Kwahyo mafanikio ya Ukraine mpaka sasa ni kuipiga meli moja? Yaani mmesahau wanajeshi 3000 waliotekwa huko mariupol? Kweli duniani vilaza hawaaishi.. ngoja vita iendelee tutaona nani atanyoosha mikono.
 
Kuna Highly skilled Mesenaries wamekuwa deployed Ukraine na hao ndio wanamtesa Mrusi
The SAS and US Delta Force are probably in Ukraine already - would not be surprised if it was them who took out the Russian ship, from all accounts it was a sophisticated attack and not just a Ukrainian in the right place with a handy missile.

Let's hope they don't get caught - NATO being directly involved will only bring on a wider conflict and the Russians have a plenty of heavy weaponry at their disposal although they're seemingly being bogged down by the inexperienced Ukrainian military.

It would be a foolish person only who would send invisible NATO soldiers to take part in this war. All in all, although it is still premature to predict the winner, at the end of the war the Russian military might, as overstretched as it is, won't remain the same as it will experience some levels of depletion never seen before.
 
Meli ya kivita ya urusi Moskva flag ship imegeuzwa kuwa Nyambizi na waukraini.

Hii ni taarifa mbaya sana kwa Warusi na kwa ujumla meli hii ilikuwa ndiyo nembo kuu ya urusi huko black Sea.

Vita ya Ukraini vimeiexpose Urusi na kuwaacha utupu wa mnyama.

Aibu kubwa kwa Putin na kwa Hali inavyoendelea itabidi arudi nyuma zaidi ili ajisalimishe kiusalama maana Mwingereza tayari ameanza kufanya yake.

Wakati wa Vita baridi meli hii ilibeba nyuklia pia na kulingana na tension ya Vita hii ya Ukraine inawezekana all personel na silaha zote zimelamba tope. Urusi inabidi ijitafakari na ielewe kabisa dunia ya Leo haiendeshwi na washamba.

View attachment 2187976
Picha kwa hisani ya mtandao.

View attachment 2188250
#Wahuni siyo watu.
Acha kudanganya watu wewee huu Uzi inabidi ufungiwe

Meli ya Moskva imegeuzwa Nyambizi kwa muda huu Ina special mission chini ya bahari

Kutokana na uzalendo wake uliotukuka

Alisikika Jiwe wa Kizungu a.k.a bwana Putin akiwaambia Warusi wakibongo Buguruni kwa Mnyamani
 
West Propaganda Machine
Ukraine na Russia zipo vitani na sio kwenye Mashindano ya Olympics
So causalities za namna hio zinategemewa.

Russia wame achieve na wana achieve mengi Ukraine lakini huwezi kusikia habari hizo kwenye West Media, na kwa sababu Media zetu zina copy from West, hata huku huwezi zisikia

Hio habari INA go viral for reason, kuipa Ukraine false sense of Courage

Ni war propaganda
 
Kwahyo mafanikio ya Ukraine mpaka sasa ni kuipiga meli moja? Yaani mmesahau wanajeshi 3000 waliotekwa huko mariupol? Kweli duniani vilaza hawaaishi.. ngoja vita iendelee tutaona nani atanyoosha mikono.
Save hii post yako sababu kuna kila dalili ukaonekana wewe ndiye kilaza huko mbeleni.
 
Acha kudanganya watu wewee huu Uzi inabidi ufungiwe

Meli ya Moskva imegeuzwa Nyambizi kwa muda huu Ina special mission chini ya bahari

Kutokana na uzalendo wake uliotukuka

Alisikika Jiwe wa Kizungu a.k.a bwana Putin akiwaambia Warusi wakibongo Buguruni kwa Mnyamani
Ha ha ha ha ha ha ha ha
 
West Propaganda Machine
Ukraine na Russia zipo vitani na sio kwenye Mashindano ya Olympics
So causalities za namna hio zinategemewa.

Russia wame achieve na wana achieve mengi Ukraine lakini huwezi kusikia habari hizo kwenye West Media, na kwa sababu Media zetu zina copy from West, hata huku huwezi zisikia

Hio habari INA go viral for reason, kuipa Ukraine false sense of Courage

Ni war propaganda
... Kwa hiyo meli kupigwa sio kweli ni propaganda za nchi za magharibi. Warussia wa Mkuranga shida sana.
 
Binafsi nilimpenda Putin ila dunia ya sasa haihitaji vita kwa sababu za kijinga kama zake.

Sisi binadamu wa sasa tumefikia level nzuri ya ustaarabu.
Hata sis tuliwahi kuendesha primitive politics kwa muda wa miaka 6 mfululizo katika kipindi hiki cha ''sisi binadamu Wa Sasa tumetoka level nzuri ya ustaarabu''. Wewe hukuwa mfuasi wa siasa ile ya giza hapa Tanzania? Tuanzie hapo kwanza.
 
Binafsi nilimpenda Putin ila dunia ya sasa haihitaji vita kwa sababu za kijinga kama zake.

Sisi binadamu wa sasa tumefikia level nzuri ya ustaarabu.
Huo ustaarabu uwe ukraine tu. Yemen Ethiopoia Congo South Sudan Mozambique na Boko Haram hakuhitaji ustaarabu. Huko lkote mstaarabu anahusika
 
West Propaganda Machine
Ukraine na Russia zipo vitani na sio kwenye Mashindano ya Olympics
So causalities za namna hio zinategemewa.

Russia wame achieve na wana achieve mengi Ukraine lakini huwezi kusikia habari hizo kwenye West Media, na kwa sababu Media zetu zina copy from West, hata huku huwezi zisikia

Hio habari INA go viral for reason, kuipa Ukraine false sense of Courage

Ni war propaganda
Warusi wao kazi yao kupiga mahospital nursery school community property
 
Back
Top Bottom