Putin anazidi kuiharibu Urusi. Baada ya meli yake kuzama naamini uungwaji mkono wa Putin nchini mwake utapungua.

Binafsi nilimpenda Putin ila dunia ya sasa haihitaji vita kwa sababu za kijinga kama zake.

Sisi binadamu wa sasa tumefikia level nzuri ya ustaarabu.
Level nzuri ya ustaarabu kama anayafanya marekani.
 
Level nzuri ya ustaarabu kama anayafanya marekani.
Ila nimeshangaa sana wanajeshi wa Russia yaani hawaonyeshi kabisa kwamba wako professional kuua ua raia hovyo na kubaka wanawake, yaani hawana kabisa tofauti na M-23 au ADF kule Congo. Very hopeless kabisa. Hakuna mazungu majinga kama haya.
 
Back
Top Bottom