Kwahiyo ulichochukia wewe ni mtu kusema Western wana maisha magumu? Kinachokuuma ni kipi? Wewe Westerner????? Ila vitu vingine vinachekesha sana!!! Unachukia kwa sababu kuna mtu wala si mume wako, wala si baba yako amesema Western kuna maisha magumu??? Kweli kabisa?? Are you serious????????? Kweli?????? Kwa hiyo na wewe ni member wa Jamii Forums, HOME OF GREAT THINKERS???? Unalialia kwa vitu vidogo namna hii na unajiita ni great thinker? Umejaa matusi kama mwanamke wa kizaramo (wazaramo naomba mnisamehe) eti na wewe ni great thinker?!!!! We are finished!! Kama serikali isipochukua jitihada za makusudi kuokoa kizazi cha Tanzania narudia kusema we are finished!Sasa ni nini kinachokufanya wewe na was£ng£ wenzako kuanzisha threads za kichoko humu mkisema Western Europe raia wanamsisha magumu ? Wakati life hardship ni relative term ? , Kizazi kisicho na akili hiki