Putin ameanza kuvuna matunda ya kazi yake

Putin ameanza kuvuna matunda ya kazi yake

Inawezekana! Inawezekana kama si dish langu basi la kwako limeyumba! Ni suala la mtazamo tu! Wakati fulani 9 kwako, kwa mwingine ni 6.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1312][emoji1312][emoji1312]
 
tafuta ww mwenye shida., russia ndo ashakula kichapo cha anga, hana umadhubuti wowote mnampa masifa tu kwisha habar yake
Mimi tena? wakati we ndio unasema uliangalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bureee kabisa
 
Ndo vichwa vya kuzaa navyo ivi mtoto anatoka mapanki wa Korea... Unazaa na Steve nyerere mtoto anatoka ni PUAA,POOR! PUWAA
[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wabongo wengi ni ngiri Sana yani anaquote us£ng£ WA Fala parody moja huko twitter anatuletea humu , yaani haiwezi hata kutumia akili hiyo account haijawa hata verified
Kasome links kwenye uzi usiwe mjinga kutomaliza topic utaonekana pimbi kumbe maskini ya Mungu uvivu tu umekuponza
 
Inawezekana! Inawezekana kama si dish langu basi la kwako limeyumba! Ni suala la mtazamo tu! Wakati fulani 9 kwako, kwa mwingine ni 6.
japo tupo opposite kimtizamo huku mwenzang unaamin uvamiz ni kitu chema , mm napinga aina yyte ya uvamiz maana nchi yangu bado changa na ni moja kati ya wahanga wa uvamiz either leo au kesho ila tupo ktk situation hiyo , ila nimegundua ukielimishwa ww ni bright sana , big up kwa hilo
 
sorry zipo video nyingi tu warus wanashikwa wanapelekwa selo na sio kutoka hizo source tajwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi nikichukua wamakonde 50 kikawavalisha gwanda za Uganda nikasema tuliwateka vitani utabisha?

Uwe unaelewa propaganda
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi nikichukua wamakonde 50 kikawavalisha gwanda za Uganda nikasema tuliwateka vitani utabisha?

Uwe unaelewa propaganda
sorry sikujua iq yako ss nimekuelewa na debate na mtu wa aina gan ?
 
Back
Top Bottom