Putin ameanza kuvuna matunda ya kazi yake

Umekaa na k-vant yako umeegemea kiti alafu unatunga upuuzi kama huu aisee wabongo muwe mnanyanyambua mambo ,hujui ni jinsi gani uchumi wa Russian umeporomoka,hujui hasara gan waliyopata urusi kwenye hii vita! hujui lolote kuhusu biashara za kimataifa na mikataba yake,mzee jitambue maisha siyo rahis kama unavyoona ,Mimi Niko urusi hapa mambo magumu sana
Kama mambo magumu huko, fanya urudi. nyumbani kumenoga
 
unaruka ruka humaliz sub_topic , nahis bado utot upo in btn your medulla
We jamaa hata sikuelewi nikekuambia weka link ya ulichokiona CNN [emoji851][emoji851][emoji851]
 
Umekaa na k-vant yako umeegemea kiti alafu unatunga upuuzi kama huu aisee wabongo muwe mnanyanyambua mambo ,hujui ni jinsi gani uchumi wa Russian umeporomoka,hujui hasara gan waliyopata urusi kwenye hii vita! hujui lolote kuhusu biashara za kimataifa na mikataba yake,mzee jitambue maisha siyo rahis kama unavyoona ,Mimi Niko urusi hapa mambo magumu sana
Muongo wewe
 
Pole mkuu .umesema ukweli Achana na kuwekewa vikwazo vya uchumi .
 
Umekaa na k-vant yako umeegemea kiti alafu unatunga upuuzi kama huu aisee wabongo muwe mnanyanyambua mambo ,hujui ni jinsi gani uchumi wa Russian umeporomoka,hujui hasara gan waliyopata urusi kwenye hii vita! hujui lolote kuhusu biashara za kimataifa na mikataba yake,mzee jitambue maisha siyo rahis kama unavyoona ,Mimi Niko urusi hapa mambo magumu sana
Acha fix wewe...upo Urusi ya kijijini kwenu labda 🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom