Mkuu ukiambiwa na wewe jiongeze sasaivi katika hali ya kawaida ni kwa vipi nchi nyengine ikaishambulie russia? wakati kwenye meza ni vita ya Russia dhidi ya Ukraine? Ukren kwenye hili shambulio hawajakataa kabis akabisa jana nimeona CNN "Ukraine wanasema hawawezi kuthibitisha lakini hawawezi kukataa"Hii imeiona? Au unaifumbia macho?View attachment 2172740
BBC Swahili wanachukua habari kutoka shirika la utangazaji la Reuters
nani msemakweli?
Ukikua utaelewa