Putin ameanza kuvuna matunda ya kazi yake

Putin ni mtu mmoja hatari sana mwenye akili nyingi sana na mbobezi haswaa wa intelligence ex-KGB.
Hii vita ya kuivamia Ukraine, ilikuwa ni mkakati wa kuinua uchumi wa Russia.
Baada ya kuzichanga karata zake vema na kusoma kila post-events za vita.
Akazama kazini mzee baba, EU kupitia NATO na US wakazama mtegoni.
Wakaweka vijikwazo vyao, jamaa anawaangalia tu.
Wakashikilia mali zao jamaa anawacheki kwa dharaaau[emoji28][emoji28][emoji28].
Wakazuia asitumie Dollar wala Euro, akatabasamu akijisemea hawa pimbi hawanijui?
Alipoona wanamchosha, akaamua now its time for action, its my turn [emoji41][emoji41][emoji41]
Mzee baba akakata gesi, wakajidai wana-alternative akatulia kimyaa! Wakakaza.
Jamaa akaendelea na mambo yake hana habari.
Bei za mafuta zikapaa wakaanza kutafutana na kumpigia simu kisirisi. Hii inaitwa "weka ugoko naweka nondo"

Sasa jamaa kakaza lazima malipo ya gesi na mafuta lazima yafanyike kwa pesa ya Russia, kama hamtaki kokeni moto majumbani, mpaki magari msafiri kwa baiskeli

Sasa sarafu ya Russia inapaa.

Nawasilisha nikiwa hapa cremlin jirani kabisa na mwamba 😎😎View attachment 2171528

The ruble has recouped most of its losses and become the top-performing currency globally. It continues to gain and is up 60 per cent against the US dollar from its lows in the first week of March.

The ruble appreciated to 83 to the dollar intraday on Tuesday against a record low of 139 on March 7. Thanks to the recent rally, the ruble is only about 10 per cent lower than what it was before the Russian invasion of Ukraine on February 24. The ruble was trading at around 76 before the invasion, according to the data from Bloomberg.

Analysts, however, say the recovery in the ruble suggests the impact of the West’s economic sanctions are much lower than anticipated initially. “The sanctions and curbs had created insolvency risks for the Russian economy, leading to a big sell-off in the ruble.

Kwa taarifa zaidi kutoka WASHINGTON POST soma hii

Na hii kutoka US

Naona US , baada ya kutibua mambo na EU, sasa anawatuma EU wachagize China , ili vita iishe upesi wapate pakutokea, China naye kasema hawawezi kuchagulia uamuzi, India naye yupo yupi katika, kawaambia yeye ana mipaka na hao majabali wawili Urusi na China.
Na kwakweli Dunia sasa waache kutumia Dollar kama ndio kilakitu. US mambo yake yatakuwa halijojo.
 
Ruble mfano hela ya kirusi nani anaihitaji?
European union hawaihitaji,Marekani na Uingereza na Japan bhawaihitaji Afrika tukiwemo Tanzania hatuihitaji kabisaaaaaa ulishawahi iona hata hiyo Ruble ya kirusi inafananaje au ukaiona duka lolote la pesa za kigeni Tanzania linauza?

Hiyo propaganda ya kusema imepanda ni hewa ni Serikali ndio imefix

Ila wee jamaa unachekesha sana 🤣 huoni kuwa puttin ametumia akili nyingi sana, amethamini pesa yake kuliko euro na dollar, wewe umekubali kunyenyekea na kuithamini dollar and euro na kutoithamini hela yako/shilings unategemea nini!!!

Puttin kichwa, anajua kucheza na westerns, soon mtamkubali tu
 
Umekaa na k-vant yako umeegemea kiti alafu unatunga upuuzi kama huu aisee wabongo muwe mnanyanyambua mambo ,hujui ni jinsi gani uchumi wa Russian umeporomoka,hujui hasara gan waliyopata urusi kwenye hii vita! hujui lolote kuhusu biashara za kimataifa na mikataba yake,mzee jitambue maisha siyo rahis kama unavyoona ,Mimi Niko urusi hapa mambo magumu sana
Sasa kama umeenda urusi kwa kuzamia meli ya mgiriki mwisho wa siku ukaishia kuwa kibarua wa kufagia mavi ya kuku unafuu wa maisha utautoa wapi? Pia kama hali ni mbaya nini kinakufanya uwepo huko hadi leo? Si uende huko USA kwenye maisha mazuri?
 
Watu hawajui tu hizi siasa za huko, kwamba Ufaransa na Ujerumani hawapendi kuburuzwa kama watoto na US, ndio maana US alikuwa akimdukua Angel Markel
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Naona US , baada ya kutibua mambo na EU, sasa anawatuma EU wachagize China , ili vita iishe upesi wapate pakutokea, China naye kasema hawawezi kuchagulia uamuzi, India naye yupo yupi katika, kawaambia yeye ana mipaka na hao majabali wawili Urusi na China.
Na kwakweli Dunia sasa waache kutumia Dollar kama ndio kilakitu. US mambo yake yatakuwa halijojo.
[emoji1756][emoji1756]
 
Ila wee jamaa unachekesha sana [emoji1787] huoni kuwa puttin ametumia akili nyingi sana, amethamini pesa yake kuliko euro na dollar, wewe umekubali kunyenyekea na kuithamini dollar and euro na kutoithamini hela yako/shilings unategemea nini!!!

Puttin kichwa, anajua kucheza na westerns, soon mtamkubali tu
Utapoteza muda na huyo mtu
 
Sasa kama umeenda urusi kwa kuzamia meli ya mgiriki mwisho wa siku ukaishia kuwa kibarua wa kufagia mavi ya kuku unafuu wa maisha utautoa wapi? Pia kama hali ni mbaya nini kinakufanya uwepo huko hadi leo? Si uende huko USA kwenye maisha mazuri?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1312][emoji1312]
 
Putin ni mtu mmoja hatari sana mwenye akili nyingi sana na mbobezi haswaa wa intelligence ex-KGB.
Hii vita ya kuivamia Ukraine, ilikuwa ni mkakati wa kuinua uchumi wa Russia.
Baada ya kuzichanga karata zake vema na kusoma kila post-events za vita.
Akazama kazini mzee baba, EU kupitia NATO na US wakazama mtegoni.
Wakaweka vijikwazo vyao, jamaa anawaangalia tu.
Wakashikilia mali zao jamaa anawacheki kwa dharaaau[emoji28][emoji28][emoji28].
Wakazuia asitumie Dollar wala Euro, akatabasamu akijisemea hawa pimbi hawanijui?
Alipoona wanamchosha, akaamua now its time for action, its my turn [emoji41][emoji41][emoji41]
Mzee baba akakata gesi, wakajidai wana-alternative akatulia kimyaa! Wakakaza.
Jamaa akaendelea na mambo yake hana habari.
Bei za mafuta zikapaa wakaanza kutafutana na kumpigia simu kisirisi. Hii inaitwa "weka ugoko naweka nondo"

Sasa jamaa kakaza lazima malipo ya gesi na mafuta lazima yafanyike kwa pesa ya Russia, kama hamtaki kokeni moto majumbani, mpaki magari msafiri kwa baiskeli

Sasa sarafu ya Russia inapaa.

Nawasilisha nikiwa hapa cremlin jirani kabisa na mwamba 😎😎View attachment 2171528

The ruble has recouped most of its losses and become the top-performing currency globally. It continues to gain and is up 60 per cent against the US dollar from its lows in the first week of March.

The ruble appreciated to 83 to the dollar intraday on Tuesday against a record low of 139 on March 7. Thanks to the recent rally, the ruble is only about 10 per cent lower than what it was before the Russian invasion of Ukraine on February 24. The ruble was trading at around 76 before the invasion, according to the data from Bloomberg.

Analysts, however, say the recovery in the ruble suggests the impact of the West’s economic sanctions are much lower than anticipated initially. “The sanctions and curbs had created insolvency risks for the Russian economy, leading to a big sell-off in the ruble.

Kwa taarifa zaidi kutoka WASHINGTON POST soma hii

Na hii kutoka US

nchi za kidikteta ubazijua ww , kila kitu wanapika tu , huku raia wanaumia
 
Pole sana! Ushauri wa bure, Rudi nyumbani unafanya nini huko kwenye maisha magumu sana??? Rudi baba usije ukaolewa huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Wakati mwingine usijumuishe wote, unaweza ukawa na maisha magumu halafu jirani zako wanakula good time! Umefuatilia familia zote zinalia kama familia yako? Umetumia vigezo gani ku 'conclude' maisha ni magumu huko?
mwenzio amefeel life la urusi , ww upo kuzungumza hadith za kufikirika
 
Back
Top Bottom