Putin ameanza kuvuna matunda ya kazi yake

Putin ameanza kuvuna matunda ya kazi yake

Hakuna unachokijua mweupe tuu wewe Kama kuta za ikulu Bora ukae kimya huko urusi watu wanatafutana wanataka wakimbie nchi wanazuiliwa, wanajeshi wenyewe wameshachezea kichapo wanatafuta namna ya kukimbia wewe unajamba Jamba tu kwenye key board yako huko
Hii nchi ina vilaza wengi mno mkuu..!!šŸ˜ŠšŸ˜€ mtoa mada na yeye huwa wanamwaminia kwenye kijiwe Chao akiwa anawalisha matango pori
 
Hii nchi ina vilaza wengi mno mkuu..!!šŸ˜ŠšŸ˜€ mtoa mada na yeye huwa wanamwaminia kwenye kijiwe Chao akiwa anawalisha matango pori
russia.png

Mtumiage hata robo tu ya kaubongo kenu kusoma
 
Sasa mkuu kusubsdize for how long?, hapa US kawapambanisha ili auze mafuta yake ila chamoto wanakiona
Urusi kayataka alipoanzisha vita alitarajia nini?
Angepigana mwisho wa siku apanue soko la bidhaa zake hapo sawa.

Vita za sasa hivi ni za kiuchumi unatakiwa ujue hiyo vita mwisho wa siku itakuacha kiuchumi uko hali gani soko la bidhaa zako lako litakuwa hali gani baada ya vita kabla ya kutoa Amri majeshi waanze kurusha risasi

NATO na Marekani walisimama pamoja sababu wana soko la pamoja kila mmoja anaona nikijitenga niungane na mrusi soko la bidhaa zangu litaporomoka sana kwa vikwazo vya wateja nchi zingine

Urusi magenerali tu wa vita ndio walioamua Urusi iingie vitani mashamba.Vita ya sasa hivi kabla kuingia lazima kushirikisha wachumi,wafanyabiashara wakubwa sana na taasisi za fedha.Putin hakushirikisha alikaa tu na magenerali wa Jeshi mabwege wakasema twende vitani tukawatwange!

Soko la bidhaa za Urusi linadorora,uchumi unadorora mmarekani kateka soko la Urusi kiulaini tu sababu anajua kupigana vita za kiuchumi Urusi hajui ana bado mambo ya kishamba ya kizamani kuwa vita ni kuvurumisha mabomu na makombora. Tu
 
Urusi kayataka alipoanzisha vita alitarajia nini?
Angepigana mwisho wa siku apanue soko la bidhaa zake hapo sawa.

Vita za sasa hivi ni za kiuchumi unatakiwa ujue hiyo vita mwisho wa siku itakuacha kiuchumi uko hali gani soko la bidhaa zako lako litakuwa hali gani baada ya vita kabla ya kutoa Amri majeshi waanze kurusha risasi

NATO na Marekani walisimama pamoja saba wana soko la pamoja kila mmoja anaona nikijitenga niungane na mrusi soko la bidhaa zangu litaporomoka sana kwa vikwazo vya wateja nchi zingine

Urusi magenerali tu wa vita ndio walioamua Urusi iingie vitani mashamba.Vita ya sasa hivi kabla kuingia lazima kushirikisha wachumi,wafanyabiashara wakubwa sana na taasisi za fedha.Putin hakushirikisha alikaa tu na magenerali wa Jeshi mabwege wakasema twende vitani tukawatwange!

Soko la bidhaa za Urusi linadorora,uchumi unadorora mmarekani kateka soko la Urusi kiulaini tu sababu anajua kupigana vita za kiuchumi Urusi hajui ana bado mambo ya kishamba ya kizamani kuwa vita ni kuvurumisha mabomu na makombora. Tu
Soma hii article kutoka gazeti pendwa la USA

Mkuu usihangaike thamani ya pesa ya Urusi hupangwa na Serikali sio soko kama dollar, Euro au Japanese Yen

Alichofanya Urusi baada ya kuona pesa yao inashuka thamani wakasema malipo yote alipwe kwa pesa yao ya Ruble wakaweka thamani juu ili wapate pesa nyingi

Hiyo thamani sio realistic ni Serikali ya Urusi imetamka !!! Ili wapate ma Ruble mengi!! Kwa wanunuzi wa bidhaa zao wa nje
 
Washington Post wamenuwa wasemaji wa Putin?
Ni kawaida yao hao

Hakuna wala Rushwa duniani kwa vyombo vya habari kama Gazeti la Washington post na lingine linaitwa The Economist
Hao ni pesa yako tu .Kuchapa habari bila kuwalipa sio Rahisi
 
Mkuu usihangaike thamani ya pesa ya Urusi hupangwa na Serikali sio soko kama dollar, Euro au Japanese Yen
Mkuu kuna kupanda kwa thamani ya fedha kunategemeana sana na soko, ukiuza sana nje export automatically thamin ya fedha yako lazima ipande.
2. kuna kushusha thamani ya fedha ya nchi makusudi ili uuze zaidi nje. na unazuia importation ili kulinda soko la ndani.
Huwezi kuappreciate thamani kwa makusudi bila soko.
 
Mgao ni wa muda mfupi Meli ziko njiani toka Marekani zimebeba gesi kupeleka ujerumani

Marekani ndie mzalishaji gesi namba moja kamuacha mrusi mbali mno
Ujerumani imechukua measures nyingi ikiwemo kuwaua mitambo ya kuzalisha umeme itumiayo makaa ya mawe ,na nishati mbadala zote ili kuondoa utegemezi wa gesi ya Urusi. Kati ya mabomba makubwa mawili mapeleka gesi toka Urusi kwenda ujerumani ,moja ujerumani wameshalifunga la stream 2 kuwwawekea Urusi vikwazo.Urusi sasa ina pump gesi bomba moja tu
Lini nordstream 2 ilianza kufanya kazi?
 
Mkuu kuna kupanda kwa thamani ya fedha kunategemeana sana na soko, ukiuza sana nje export automatically thamin ya fedha yako lazima ipande.
2. kuna kushusha thamani ya fedha ya nchi makusudi ina uuze zaidi nje. na unazuia importation ili kulinda soko la ndani.
Huwezi kuappreciate thamani kwa makusudi bila soko.
Urusi na China ndizo nchi pekee duniani ambazo thamani za pesa zao husimamiwa na Serikali

China yenyewe kutwa huwa inapunguza thamani ya pesa yake ili iuze sana bidhaa zake nje .Mchina ni mbobezi kwenye devaluation ya pesa yake

Sasa naona mrusi kaingia kubobea kwenye kupandisha thamani ya pesa yake kwenye ofisi ya Kremlin!! Mauzo ya Russia ya gesi na mafuta yameshuka kwa sababu ya vikwazo pesa yake inapandaje thamani jiulize swali dogo
 
Lini nordstream 2 ilianza kufanya kazi?
Ok ilikuwa iongeze kupeleka gas imepigiwa stop mabilioni ya dollar mrusi alitumia kujenga imetumbukia shimo.la choo Kremlin. Hakuna business ni white elephant project
 
Sasa naona mrusi kaingia kubobea kwenye kupandisha thamani ya pesa yake kwenye ofisi ya Kremlin!! Mauzo ya Russia ya gesi na mafuta yameshuka kwa ajili ya vikwazo pesa yake inapandaje thamani jiulize swali dogo
Sasa nadhani unaanza kunielewa nchi inaweza ku-devaluate tu. Soko (Exportation) ina appreciate and not vice verse
 
Iko hivi
Mwarabu anarudi kusupply mafuta kama miaka ya nyuma
Amerika Kaskazini kuna mafuta na gas ya kutosha
Kilimo cha ngano mahindi kitaendelea kushamiri huko Kwa hivi nani atapata hasara hapa unadhani
Put In kaingia kwenye shimo la choo
Maisha yaendelee
Huruma ni kupoteza maisha ya innocent souls
 
Back
Top Bottom