Putin ameanza kuvuna matunda ya kazi yake

Putin ameanza kuvuna matunda ya kazi yake

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,712
Putin ni mtu mmoja hatari sana mwenye akili nyingi sana na mbobezi haswaa wa intelligence ex-KGB.
Hii vita ya kuivamia Ukraine, ilikuwa ni mkakati wa kuinua uchumi wa Russia.
Baada ya kuzichanga karata zake vema na kusoma kila post-events za vita.
Akazama kazini mzee baba, EU kupitia NATO na US wakazama mtegoni.
Wakaweka vijikwazo vyao, jamaa anawaangalia tu.
Wakashikilia mali zao jamaa anawacheki kwa dharaaau[emoji28][emoji28][emoji28].
Wakazuia asitumie Dollar wala Euro, akatabasamu akijisemea hawa pimbi hawanijui?
Alipoona wanamchosha, akaamua now its time for action, its my turn [emoji41][emoji41][emoji41]
Mzee baba akakata gesi, wakajidai wana-alternative akatulia kimyaa! Wakakaza.
Jamaa akaendelea na mambo yake hana habari.
Bei za mafuta zikapaa wakaanza kutafutana na kumpigia simu kisirisi. Hii inaitwa "weka ugoko naweka nondo"

Sasa jamaa kakaza lazima malipo ya gesi na mafuta lazima yafanyike kwa pesa ya Russia, kama hamtaki kokeni moto majumbani, mpaki magari msafiri kwa baiskeli

Sasa sarafu ya Russia inapaa.

Nawasilisha nikiwa hapa Kremlin jirani kabisa na mwamba 😎😎
IMG-20220401-WA0021.jpg

The ruble has recouped most of its losses and become the top-performing currency globally. It continues to gain and is up 60 per cent against the US dollar from its lows in the first week of March.

The ruble appreciated to 83 to the dollar intraday on Tuesday against a record low of 139 on March 7. Thanks to the recent rally, the ruble is only about 10 per cent lower than what it was before the Russian invasion of Ukraine on February 24. The ruble was trading at around 76 before the invasion, according to the data from Bloomberg.

Analysts, however, say the recovery in the ruble suggests the impact of the West’s economic sanctions are much lower than anticipated initially. “The sanctions and curbs had created insolvency risks for the Russian economy, leading to a big sell-off in the ruble.

Kwa taarifa zaidi kutoka WASHINGTON POST soma hii

Na hii kutoka US_NEWS

Huyu putin ana PUT IN kweli kweli, japo atasafa ila si pekee yake upande wa pili nao wataisoma namba.

America mnafiki, yeye baada ya kuona mbolea inakuwa ishu kwake, kaextend vikwazo vya mbolea toka kwa mrusi, sasa putin nae awaambie walipie kwa rubles ndio nasubiri kuona hili jambo, ifike hatua tuheshimiane tu.

Ukimwaga mboga naondoka na sufuria ya ugali.
 
Umekaa na k-vant yako umeegemea kiti alafu unatunga upuuzi kama huu aisee wabongo muwe mnanyanyambua mambo ,hujui ni jinsi gani uchumi wa Russian umeporomoka,hujui hasara gan waliyopata urusi kwenye hii vita! hujui lolote kuhusu biashara za kimataifa na mikataba yake,mzee jitambue maisha siyo rahis kama unavyoona ,Mimi Niko urusi hapa mambo magumu sana
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wanaisoma kimyakimya
 
Umekaa na k-vant yako umeegemea kiti alafu unatunga upuuzi kama huu aisee wabongo muwe mnanyanyambua mambo ,hujui ni jinsi gani uchumi wa Russian umeporomoka,hujui hasara gan waliyopata urusi kwenye hii vita! hujui lolote kuhusu biashara za kimataifa na mikataba yake,mzee jitambue maisha siyo rahis kama unavyoona ,Mimi Niko urusi hapa mambo magumu sana
Umenuaje mkuu, nina K-Vant Kubwa hapa kaunta wa Kisuma Magomeni karibu mkuu
 
Putin ni mtu mmoja hatari sana mwenye akili nyingi sana na mbobezi haswaa wa intelligence ex-KGB.
Hii vita ya kuivamia Ukraine, ilikuwa ni mkakati wa kuinua uchumi wa Russia.
Baada ya kuzichanga karata zake vema na kusoma kila post-events za vita.
Akazama kazini mzee baba, EU kupitia NATO na US wakazama mtegoni, wakaweka vijikwazo vyao, jamaa anawaangalia tu, wakashikilia mali zao jamaa anawacheki kwa dharaaau[emoji28][emoji28][emoji28].
Wakaruia asitumie dollar wala Euro, akatabasamu akijisemea hawa pimbi hawanijui?
Alipoona wanamchosha, akaamua now its time for action, its my turn [emoji41][emoji41][emoji41]
Mzee baba akakata gesi, wakajidai wana-alternative akatulia kimyaa! Wakakaza.
Jamaa akaendelea na mambo yake hana habari.
Bei za mafuta zikapaa wakaanza kutafutana na kumpigia simu kisirisi.

Sasa jamaa kakaza lazima malipo ya gesi na mafuta lazima yafanyike kwa pesa ya Russia.
Sasa sarafu ya Russia inapaa.

Nawasilisha nikiwa hapa cremlin jirani kabisa na mwambaView attachment 2171528
Hatuwezi kufanyia kazi comments za watu watatu tu., mbona Putini leo amewaonya ulaya kwa vikwazo anavyoendelea kuwekewa?? maana yake ni kwamba sindano imeshaingia sasa dawa inavutwa na kukaziwa zaidi
 
Back
Top Bottom