Punyeto haifai kiafya ndugu zangu

Witmak255

Witmak255

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2019
Messages
2,247
Points
2,000
Witmak255

Witmak255

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2019
2,247 2,000
Kweli nakwambia madhara ya Punyeto hayajinasibishi ndani ya siku/usiku mmoja......Ukiijua vyema Ngiri na "gubu lake" utaujua ukweli na utaamini.
Sawa mkuu, ngoja nitaenda .. Ahsante kwa ushauri
 
N

ngongoti2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2017
Messages
441
Points
500
N

ngongoti2000

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2017
441 500
sasa kama hawana hela halafu madomo zege halafu wanaogopa ngoma wataishije bila nyeto?
 
Semjiru

Semjiru

New Member
Joined
Apr 3, 2018
Messages
4
Points
45
Semjiru

Semjiru

New Member
Joined Apr 3, 2018
4 45
Samahani naomba kuuliza, hiv ukipiga puli uume hauwi mdogo km wa mtoto?
 
E

Easy E

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2012
Messages
1,184
Points
1,250
E

Easy E

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2012
1,184 1,250
Upige tizi halafu uache nyeto?! Sema siku hizi umeoa au una demu permanent... Nyeto haiachwi umepunguza tu..
 
King smoker

King smoker

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Messages
763
Points
500
King smoker

King smoker

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2018
763 500
Wanawake kibao mtaani mnahangaika na kujichua hohohohohoooooo. Wachawi wana tumia zile shahawa kama mafuta ya ungo zao au usafiri zao. Muulizeni mshana ata waambia zile shahawa zina tumika kama petrol ukiwa una piga kila siku wewe ndo una kua kisima cha mafuta huko Uarabuni hahahahahahhahahaaaaaaaaaa. Wachawi wana siri kubwa sana ktk punyeto
 
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
898
Points
1,000
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
898 1,000
SEMA UKWELI wako.
Punyeto Ni Nzuri Sanaa
nilikuwaga na Demu,yeye alikuwa anapenda kujichua na me napenda punyeto

haha tulikuwa wapumbavu Kweli
Kabla ya sex
yeye alikuwa ana nipigisha punyeto kwa mkono wake na me nikawa na mchua kwa ulimi na mikono Yangu.

Baada ya hapo tunakula mzigo.

Na kwa Taarifa yako HAKUNA udhibitisho wa kisanyansi kuhusu madai ya Punyeto

narudia

Punyeto Ni Kama dawa.ikikukataa utapata madhara,ikikukubali UTA ENJOY.
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
15,887
Points
2,000
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
15,887 2,000
Nyeto raha sana """
siyo raha tu pia bei rahisi mno - sabuni (revola); mafuta rosheni na picha ya mhusika ambaye kwa niaba yake puli linapigwa. Hakuna hela ya gesti baba, hakuna unaniachaje, hakuna Savana, hakuna hela ya bajaji - ha ha ha ha ha ha
 
shushushu_mchokozi

shushushu_mchokozi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Messages
336
Points
250
shushushu_mchokozi

shushushu_mchokozi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2016
336 250
Kuna kipindi nilikuwa Advance, nilibanwa kwelikweli na genye ikabidi nipige nyeto.... Basi usiku tumbo liliniuma nikaaanza kuharisha balaa mpaka Kesho yake, yaani mharo wa hatari plus tumbo kuuma balaa tangu siku hiyo mimi punyeto hapana aiseee
Pole Sana
 
G

godson Lomayani

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Messages
358
Points
1,000
G

godson Lomayani

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2018
358 1,000
Duh! kumbe wanachama wa 'beshen' tuko wengi. Amazing!
 

Forum statistics

Threads 1,314,694
Members 505,029
Posts 31,835,784
Top