Punyeto haifai kiafya ndugu zangu

BROWN EDDY

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Messages
234
Points
250

BROWN EDDY

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2014
234 250
Hii habari imekaa kiuchochezi, kuacha nyeto ni udhaifu!

Penzi binafsi nililianza nikiwa form5 mzumbe sec, sijawahi kujuta ila nilijilaumu sana kuchelewa kulianza.

Jioni tulikuwa na kakikundi chetu cha Chaputa kipindi hicho uenyekiti alikuwa anakaimu Mwaja kabla ya mwenyekiti Makayula kurejea nyumbani.

Nakumbuka sabuni ilikuwa ikiisha afu ndo hamu ishakuja basi unatoka class unaenda kuchukua hata kiwi unaenda kumbrash mjamaa mpaka atapike.

Madiba ndo alikuwa anatumia mpaka sabuni ya unga
 

masterjuly77

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2009
Messages
209
Points
250

masterjuly77

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2009
209 250
Hongera Lakini Mbona Inasemekana Kuwa Ukitaka Kukaa Muda Mrefu Kwenye Rounds, Inabidi Upige Punyeto Kwanzaa

Hizo Mdalasini, Asali, Limao Na Blah blah blah Ni Kweli Pia Vyakula Natural Kama Dona Na Kadhalika... Ambavyo Havina 'Mazara' Mafuta Mafuta, Processed...
 

NYEKUNDU YA BIBI

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
1,789
Points
2,000

NYEKUNDU YA BIBI

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
1,789 2,000
Hahahaah mabaharia tunakwambia hiyo ni transition period.
Dawa yake ni kuoa au kuishi na mpenzi bhaaasi. Vinginevyo utaanza tu Labda uwe mgonjwa
transition period hua haikwepeki unaweza ukastop hata Kwa miezi miwili ila siku ukija kuliamsha dude unaweza piga asubuhi Na jioni
 

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Messages
2,969
Points
2,000

VAPS

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2012
2,969 2,000
Punyeto ni salama na ina faida nyingi. Kila mwanaume lijali anahitaji sex walau mara moja kwa wiki.
Inakoa uchumi, muda, unaweza sex kwa hisia na mwanamke yeyote muhimu picha yake.
Ni tulizo kwa walio mazingira magumu vitani, jela, shule,hata safari.
Inasaidia kupunguza sperms vinginevyo utachafua chupi,mashuka.
Unapunguza fedheha mwanaume kujiona mpweke akiona wadada asiowamudu, ni kuvuta picha tu bora wazungu watoke.
 

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
2,683
Points
2,000

Louis II

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2018
2,683 2,000
Kuna kipindi nilikuwa Advance, nilibanwa kwelikweli na genye ikabidi nipige nyeto.... Basi usiku tumbo liliniuma nikaaanza kuharisha balaa mpaka Kesho yake, yaani mharo wa hatari plus tumbo kuuma balaa tangu siku hiyo mimi punyeto hapana aiseee
Hizo ni dalili za "Henia/Ngiri" au "Tezi dume" mwanangu. Nenda Kamwone mtaalamu wa Afya.
 

Forum statistics

Threads 1,356,885
Members 518,959
Posts 33,140,242
Top