Punyeto haifai kiafya ndugu zangu

blogspot

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,234
2,000
Hukujiandaa vyema kaka siku ingine unajiandaa kisaikolojia kwanza utaumwa tumbo sana kama unakurupuka 😂😂
Kuna kipindi nilikuwa Advance, nilibanwa kwelikweli na genye ikabidi nipige nyeto.... Basi usiku tumbo liliniuma nikaaanza kuharisha balaa mpaka Kesho yake, yaani mharo wa hatari plus tumbo kuuma balaa tangu siku hiyo mimi punyeto hapana aiseee
 

Rohombaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
11,872
2,000
Mpàka mtu anendelea na punyeto ujue ajapata demu mkali au ni domo zege kwenye kutongoza.TOKEA NIPATE MTOTO MZURI NA MFA WOWOTE NIKIJISIKIA NAMVUTA GHETO.NW NO PUNYETO SITUMII KWAKWELI
Dah... Vipi kuhusu ulinganifu wa matumizi ya resources?
 

Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,247
2,000
Ukijikuta unarudia/umerudia tena tabia hiyo tutaarifu tena...!

Anzisha uzi mwingine kama huu..
Takribani miaka mitano nilikuwa napiga punyeto lakini kwa sasa nimeacha rasmi na kwa kweli namshukuru Mungu nimejitoa kwenye chama cha wapiga punyeto.

Enzi hizo nilikuwa nikikaa sehemu na nikimuona msichana mrembo ( bonge) aliyevaa dera akipita, naondoka na picha yake kichwani , usiku ukifika naingia bafuni au kitandani naanza kuivuta ile picha ya mrembo machoni na ubongoni kwangu naanza kupiga punyeto.

Madhara niliyoyapata kwa kipindi hicho ni kwamba nilikuwa nikimtongoza msichana lazima wadhungu watoke kabla ya hata hatujaanza mechi, na hata mechi ikianza tu ,ndani ya sekunde 2 wadhungu wanatoka, yaani ilikuwa ni aibu, kuja kuliamsha dude tena mpake kesho yake.

Na ilifikia point ili niliamshe dude katikati mwa mechi ilinilazimu kuvuta picha ya msichana mrembo iliyeko kichwani mwangu, tofauti na hapo mambo yalienda kombo na niliishia kuaibika.

Mara baada ya kugundua nimeathirika kisaikolojia na kimwili, nikaanza tiba.

Tiba yenyewe ilikiwa ni kupiga mazoezi kila siku jioni, kunywa maji mengi, kuchwa chai iliyotiwa tangawizi+ limao+ mdarasini na asali, kula mbegu za mamboga, karanga na ndizi.

Kwa kweli nashukuru kwa sasa nimekuwa lijali, dude linasimama wima, na hata nikiwa na mrembo ndani uwezo wa kusimamia show bila tatizo ninao.

Vijana acheni punyeto kama mnataka heshima kwenye ndoa
 

Patroman

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
520
1,000
"Nyeto is life , life is nyeto" mwanaume bila nyeto maisha yako yatakuwa mafupi Sana hapa duniani..watu tumeoa na nyeto tunapiga...kwa msaada zaidi jitahidi uzijue faida zake..mojawapo ni kusaidia kupata usingizi murua.
 
Top Bottom