Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,021
- 132,763
Kwanza naunga mkono hoja, huko nyuma niliwahi kuuliza, Hivi kweli kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu anaweza kuichagua tena CCM, kwa Lipi? ndipo nikafanya research Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?!Nyie ni watu msio na principles. Na nyie ndo wajinga ambao ndo mtaji mkubwa wa CCM.
CCM wanajua sana kuzichezea akili za wajinga na wapumbavu.
Asilimia 98 ya watu nchi hii ni wajinga na wapumbavu tu.
pWanabodi.
7. Umasikini uliotopea, ambao pia pia unakwenda sambamba na ujinga. Mtu masikini wa kipato, chakula cha shida, mlo mmoja kwa siku, anaishi kwa kipato cha chini ya dola moja kwa siku, akili yake pia inadumaa. Mtu kama huyu shida yake ni mlo, na mavazi, sasa akiletewa ile Tshirt na kofia, na pilau ya siku moja, inatosha kabisa kukichagua chama kilichokulisha na kukuvisha, anakuwa hana uwezo kusikiliza sera na kufanya informed decisions, angalieni maeneo yenye umasikini uliotopea na elimu duni ndio strong holds za CCM. Mikoa yenye ehueni kiuchumi kama Arusha, Kilimanjaro, Bukoba, Iringa, Mbeya. Tanga na maeneo ya mijini, watu walioelimika, kidogo wanaweza kuchagua upinzani, lakini mikoa yenye umasikini wa kutupa kama Dodoma, etc, usitegemee upinzani unaweza kushinda!, shida ya masikini ni njaa tuu, CCM ndicho chama kinachoongoza kwa kugawa rushwa, ushahidi wa kazi nzuri iliyofanywa na fedha za Kagoda upo!. Hivyo CCM kuutumia umasikini wa Watanzania na Ujinga wa Watanzania kama mtaji wake wa Ushindi.
Wasalaam
Paskali
Hivi kuna watu bado mnaamini October kuna uchaguzi.Wengi wenu sasa hivi mnamchukia Samia kwa sababu Lissu yuko jela.
Mmeshasahau kabisa kuwa hata Mbowe aliwekwa jela kwa tuhuma za ugaidi mwanzoni mwa utawala wa huyu huyu mama yenu.
Mbowe alisota jela takriban miezi nane.
Sasa, itakuwa hivi:
Lissu ataachiwa tu. Anaweza kuachiwa kabla kidogo ya uchaguzi au baada ya uchaguzi Samia akishaapishwa.
Na Lissu atapoachiwa, nyie wote mnaojifanya kumchukia sasa hivi kwa sababu hiyo moja, mtapiga makofi na vigeregere vya shukrani kwa Samia na ‘mtaanza’ kumpenda tena.
Nyie ni watu msio na principles. Na nyie ndo wajinga ambao ndo mtaji mkubwa wa CCM.
Unakasirika leo Lissu kufungwa na unasema kabisa kuwa hiyo ndo sababu yako ya kutokumkubali huyo mama, vipi hao wengine waliofungwa na/ au kutekwa na kuuwawa kabla ya Lissu?
Hayo hayakukufanya usimchukie?
Where is your red line?
CCM wanajua sana kuzichezea akili za wajinga na wapumbavu.
Tundu Lissu yuko jela kimkakati tu. Ataachiliwa muda ukifika.
Na wajinga na wapumbavu mtamshukuru Samia.
‘Ahsante mama’. ‘Mama unaupiga mwingi’.
‘Mama ni msikivu’. ‘Mama ana huruma’.
Blah blah blah.
Hapo mtasahau yote aliyoyapata Mbowe.
Mtamsahau mzee Mawazo.
Mtamsahau Mdude.
Na mtawasahau wengine wote.
Na itakuwa ni mitano tena kwa mama.
Asilimia 98 ya watu nchi hii ni wajinga na wapumbavu tu.
Hakika kuna ujinga mwingi sana kwa Watanzania wengi kwa mambo ya aina hii.mimi sijawai kupata tabu na wabongo. Sahivi kila kibaraza story zao ni kuwa Magu hakumpiga risasi Lissu alisingiziwa tu ile ilikuwa ni mision ya wanamtandao. mimi niliacha kunywa kahawa amabyo nishailipia pale msimbazi baada ya kusikia huo upuuzi nikaondoka zangu.
Ili kuitoa CCM lazima umtoe Samia kwanza madarakani, au unasubria miujiza!? Acha unafiki wa kutaka kumwondoa Samia kwenye Haya yanayoendelea.
Ww ni mtu mnafiki sana, Samia ni mwanaccm na ni mojawapo ya wahusika wa huu uozo.
Hakuna kesi hapo; anakabiliwa na manufactured charges zenye objective ya kumshikilia mpaka baada ya uchaguzi. You can take that to the bank!Kwanza watu HAWACHUKII watu wanachukia MATENDO ya ovyo ya WATU, kama UONEVU, UTEKAJI, UFISADI, WIZI, MAUAJI.
Samia kwangu mambo yote yuko sawa isipokuwa UFISADI holela, Kupora Kura na Unnecessary Utekaji.
Kuhusu Lissu kuachiwa, kila mtu mwema anatamani iwe hivyo, kwasababu anaonewa tu, maana hana HATIA.
Suala la.kuwa na matumaini kuwa ataachiwa wengi manhisi hivyo, maana hata Azory gwanda, Soka, Chaula Na wote waliotekwa bado mna matumaini watarudi.
Ila GENGE la CCM la sasa halina aibu, kabisa, linaweza kumnyonga, maana kama.walimpiga risasi 46, hawashindwi kumnyonga. Akili hakuna.
MhWengi wenu sasa hivi mnamchukia Samia kwa sababu Lissu yuko jela.
Mmeshasahau kabisa kuwa hata Mbowe aliwekwa jela kwa tuhuma za ugaidi mwanzoni mwa utawala wa huyu huyu mama yenu.
Mbowe alisota jela takriban miezi nane.
Sasa, itakuwa hivi:
Lissu ataachiwa tu. Anaweza kuachiwa kabla kidogo ya uchaguzi au baada ya uchaguzi Samia akishaapishwa.
Na Lissu atapoachiwa, nyie wote mnaojifanya kumchukia sasa hivi kwa sababu hiyo moja, mtapiga makofi na vigeregere vya shukrani kwa Samia na ‘mtaanza’ kumpenda tena.
Nyie ni watu msio na principles. Na nyie ndo wajinga ambao ndo mtaji mkubwa wa CCM.
Unakasirika leo Lissu kufungwa na unasema kabisa kuwa hiyo ndo sababu yako ya kutokumkubali huyo mama, vipi hao wengine waliofungwa na/ au kutekwa na kuuwawa kabla ya Lissu?
Hayo hayakukufanya usimchukie?
Where is your red line?
CCM wanajua sana kuzichezea akili za wajinga na wapumbavu.
Tundu Lissu yuko jela kimkakati tu. Ataachiliwa muda ukifika.
Na wajinga na wapumbavu mtamshukuru Samia.
‘Ahsante mama’. ‘Mama unaupiga mwingi’.
‘Mama ni msikivu’. ‘Mama ana huruma’.
Blah blah blah.
Hapo mtasahau yote aliyoyapata Mbowe.
Mtamsahau mzee Mawazo.
Mtamsahau Mdude.
Na mtawasahau wengine wote.
Na itakuwa ni mitano tena kwa mama.
Asilimia 98 ya watu nchi hii ni wajinga na wapumbavu tu.
Hakuna mtz wa kuandamana iwe leo, kesho, kesho kutwa au trh 29 ya mwezi wowote.Ukiskia mtu anasema anasubiri tarehe 29 ujue ni nyumbu alieamua kuficha uoga wake kwenye tarehe ya mbali na hata ikifika hatatoa pua yake kuandamana, kwanini usubiri tarehe 29 wakati Lissu yuko gerezani anaumia kwa kesi ambayo kila mmoja wenu anaamini ni ya uongo.
Kwanini usubiri hadi tarehe 29 wakati kina Mdude, kina Soka hawajulikani walipo! Kwanini usiandamane leo?
Genge la CCM halihitaji kesi kuumiza watu.Hakuna kesi hapo; anakabiliwa na manufactured charges zenye objective ya kumshikilia mpaka baada ya uchaguzi. You can take that to the bank!
Kwanini unadhani wanateka na kuua wakosoaji wao? This is their most convenient option, because they can easily deny it (as they usually do)!Genge la CCM halihitaji kesi kuumiza watu.
Kwani jina Ali Kibaomwalikiwa na kosa gani au Mdude??
Kwani Gwajima ana kosa gani??
Unazunguka sana ila ww shida Yako ni Polepole.sijakataa kama sio muhusika, ila yeye sio tatizo kuu ni just part of problem. Munatakiwa ku focus kupamabana na tatizo kuu ambalo ni CCM. lakini nyinyi mupo bzy kumshabikia Pole Pole ambae yeye mwenyewe pia ni CCM
Wanaenda na upepo, wengine mahaba yamewazidia kwa jiwe mpaka wanamuona mtakatifu..!!mimi sijawai kupata tabu na wabongo. Sahivi kila kibaraza story zao ni kuwa Magu hakumpiga risasi Lissu alisingiziwa tu ile ilikuwa ni mision ya wanamtandao. mimi niliacha kunywa kahawa amabyo nishailipia pale msimbazi baada ya kusikia huo upuuzi nikaondoka zangu.
Unazunguka sana ila ww shida Yako ni Polepole.
Ww pambana kwa nafasi Yako, sio lazima kila mtu apambane na system mbovu kama unavotaka ww.
Lengo ni Moja kuondoa systems mbovu either kwa kudeal na Samia or CCM.
Ameanzisha uozo mwingi sana don't be an imbecile, toto lake pia Abdul unofficially limekiwa sehemu ya TISS(special squad) lile gang la wasiojulikana. Haujawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru.samia kama yeye hajafikia level ya wizi kama JK au Jiwe, kwa hiyo hio sio hoja. Samia anachukiwa sana sababu ya kuna nguvu kubwa inatumika kumchafua kutoka ndani ya CCM, Chadema na wanaharakati. wananchi wakawaida hasa wa TZ always huwa ni wakufata upepo tu. makosa anayofanya Samia ni makosa amabyo yamekuwa yakifanyika ndani ya CCM kwa miaka mingi tu, hakuna alichoanzisha.
Kama ninyi si Wajinga na Waoga na mna msimamo kwanini msiandamane hivi sasa wakati Lissu anateseka kwa kesi ya uongo? Mnaishia kubweka mitandaoni na kuwasifia akina Mange na Polepole😅Wacha dharau mkuu watu siyo wajinga kama unavyowachukulia. Samia ni adui wa Tanganyika hakuna mtanganyika anayemkubali labda hao chawa wake wa mboga mboga ambao amewageuza misukule yake.
Huo ndiyo ukweliWengi wenu sasa hivi mnamchukia Samia kwa sababu Lissu yuko jela.
Mmeshasahau kabisa kuwa hata Mbowe aliwekwa jela kwa tuhuma za ugaidi mwanzoni mwa utawala wa huyu huyu mama yenu.
Mbowe alisota jela takriban miezi nane.
Sasa, itakuwa hivi:
Lissu ataachiwa tu. Anaweza kuachiwa kabla kidogo ya uchaguzi au baada ya uchaguzi Samia akishaapishwa.
Na Lissu atapoachiwa, nyie wote mnaojifanya kumchukia sasa hivi kwa sababu hiyo moja, mtapiga makofi na vigeregere vya shukrani kwa Samia na ‘mtaanza’ kumpenda tena.
Nyie ni watu msio na principles. Na nyie ndo wajinga ambao ndo mtaji mkubwa wa CCM.
Unakasirika leo Lissu kufungwa na unasema kabisa kuwa hiyo ndo sababu yako ya kutokumkubali huyo mama, vipi hao wengine waliofungwa na/ au kutekwa na kuuwawa kabla ya Lissu?
Hayo hayakukufanya usimchukie?
Where is your red line?
CCM wanajua sana kuzichezea akili za wajinga na wapumbavu.
Tundu Lissu yuko jela kimkakati tu. Ataachiliwa muda ukifika.
Na wajinga na wapumbavu mtamshukuru Samia.
‘Ahsante mama’. ‘Mama unaupiga mwingi’.
‘Mama ni msikivu’. ‘Mama ana huruma’.
Blah blah blah.
Hapo mtasahau yote aliyoyapata Mbowe.
Mtamsahau mzee Mawazo.
Mtamsahau Mdude.
Na mtawasahau wengine wote.
Na itakuwa ni mitano tena kwa mama.
Wengi wenu sasa hivi mnamchukia Samia kwa sababu Lissu yuko jela.