GE2025 Punde mtaanza tena kumsifia Samia!

GE2025 Punde mtaanza tena kumsifia Samia!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watanzania sisi ni wanafki sana, kwetu muovu akitaka kuwajibishwa kadri ya uovu wake utasikia msameheni nae ana familia, mifano halisi ipo na imetokea mingi tu. Tuna huruma za kipumbavu kwenye mambo yasiyostahili huruma bali sheria, reference nzuri ni kwa ile kesi ya ⌚baya.
 
Kwanini unadhani wanateka na kuua wakosoaji wao? This is their most convenient option, because they can easily deny it (as they usually do)!

Kumuua mtu kwa njia za kisheria sio convenient option, kwasababu inatengeneza paper trail ambayo down the road inaweza kugeuka kuwa liability kubwa. Wanachoweza kufanya ni kuwakomoa tu kwa kuwaweka gerezani kwa muda mrefu na kisha kuwaachia kwa nolle prosequi.
Damu ya mtu asiye na HATIA huwa haipuuzwi.

Itakipwa tu.

Huwezi kuua watu na kuita hizo ndio Siasa.
 
Ingekuwa enzi za Mwendazake usingeandika haya, Leo hii ndio unajua habari ya kutekwa kwa Mdude.
Fikiria akili kama hii. The Lowest IQ;
Kwa akili yako: Kama sikuandika hivi wakati wa Mwendazake nisiandika kwa Bi ushungi!!!!!!!!!! Mko 99% ya population!!
 
Watanzania wengi siyo wapumbavu ni wajinga. Wapumbavu ni wachache sana.
Mjinga ni MTU asiyejua jambo,
Mpumbavu ni MTU ajuaye jambo na bado akaliendea katika namna isiyo sahihi/isivyopaswa.

Wasomi wetu wengi ni Wapumbavu sana, na wanatumia usomi wao kuwarubuni wajinga walio wengi.

Hivyo, kinachotugharimu ni Upumbavu wa wenye nguvu ya Maarifa na Ujuzi. Ni Upumbavu! 99% ya wasomi wetu ni Wapumbavu! Na ndio wauzao nchi.
 
Maandamano yakifanikiwa na lissu akatoka itabidi uchaguzi uanze upya. Hata ZNZ jecha alifuta matokeo basi TNG yafutwe tuanze upya.
 
samia kama yeye hajafikia level ya wizi kama JK au Jiwe, kwa hiyo hio sio hoja. Samia anachukiwa sana sababu ya kuna nguvu kubwa inatumika kumchafua kutoka ndani ya CCM, Chadema na wanaharakati. wananchi wakawaida hasa wa TZ always huwa ni wakufata upepo tu. makosa anayofanya Samia ni makosa amabyo yamekuwa yakifanyika ndani ya CCM kwa miaka mingi tu, hakuna alichoanzisha.
Chawa wa wana mtandao unaongea nini mjinga wewe? Hakuna kipindi ambacho umefanyika ufisadi wa kutisha kama kipindi cha Samia mpaka watoto wadogo wanajua na yeye yupo tu wala hachukui hatua yoyote, heri hata ya hao watangulizi wake walikuwa wanakemea na muda muda wanawatumbua kabisa.

Au nikuulize mara ya mwisho kumuona Samia akimuwajibisha mtumishi yeyote wa uma kwa kosa la unadhirifu ni lini?

Mbali na ufisadi,ukatili kwa wakosoaji wake.. sababu nyingine inayomfanya samia achukiwe na watu wengi ni yeye kuwadharau na kuwapuuza kabisa watu wa hali ya chini ambao ndio wengi, wakati huo akiwakumbati watu wa tabaka la juu ambao ni wachache sana na of course ndio wanaompenda.

Kingine kinachofanya tumchukie hasa mimi binafsi ni "ILE HALI YA KUKOSA KABISA UZALENDO KWA TANGANYIKA, UONGOZI WAKE UNALI JEOPERDIZE FUTURE YA TAIFA HILI, KUPITIA MIKOPO YA KIHOLELA HOLELA ANAYOCHUKUA NA KUTAPANYA RASILIMALI ZETU OVYO"... To be honest hakuna raisi niyetokea kumchukia kama huyu na kwa uwezo wa nguvu ya uma x-mass ya mwaka huu itamkutia huko uhamishoni au kwao huko visiwani.

Nyie machawa endeleen kumsifu na kumuabudu kisa tu amewapa uhuru wa kuiba pesa za uma mtakavyo.
 
Fikiria akili kama hii. The Lowest IQ;
Kwa akili yako: Kama sikuandika hivi wakati wa Mwendazake nisiandika kwa Bi ushungi!!!!!!!!!! Mko 99% ya population!!
Sasa unaona the way huyo aliyemquote anavyofikiri?

Unganisha na hawa ambao wanasema suala la utekaji unaondelea lawama ziende kwa jiwe, samia hana kosa kwani yeye amerithi tu system aliyoikuta....

Halafu ukiwauliza kwani huu utekaji unaofanywa sasa hivi na awamu hii ni kwa faida ya samia au kwa faida ya huyo jiwe ambaye hayupo? Wanakosa jawabu....

Haya ukiwauliza tena kwanin tumpe lawama jiwe kwa jambo ambalo linafanywa na mwingine kwa faida ya huyo mwingine, hata kama ni kweli huyo jiwe ndio alianzisha mambo haya? Hawakupi jibu.... wao wanachojua tu ni kwamba lawama ziende kwa jiwe... yaan nchi hii ina wapumbavu kweli.
 
"Mtu akishakuwa Masikini tu basi hana tena Kiapo" - JF Expert Member.

Umasikini ni Janga Kubwa Sana Nchi hii yaani Unakuwa huoni hata kama Macho Unayo.
 
Wengi wenu sasa hivi mnamchukia Samia kwa sababu Lissu yuko jela.

Mmeshasahau kabisa kuwa hata Mbowe aliwekwa jela kwa tuhuma za ugaidi mwanzoni mwa utawala wa huyu huyu mama yenu.

Mbowe alisota jela takriban miezi nane.

Sasa, itakuwa hivi:

Lissu ataachiwa tu. Anaweza kuachiwa kabla kidogo ya uchaguzi au baada ya uchaguzi Samia akishaapishwa.

Na Lissu atapoachiwa, nyie wote mnaojifanya kumchukia sasa hivi kwa sababu hiyo moja, mtapiga makofi na vigeregere vya shukrani kwa Samia na ‘mtaanza’ kumpenda tena.

Nyie ni watu msio na principles. Na nyie ndo wajinga ambao ndo mtaji mkubwa wa CCM.

Unakasirika leo Lissu kufungwa na unasema kabisa kuwa hiyo ndo sababu yako ya kutokumkubali huyo mama, vipi hao wengine waliofungwa na/ au kutekwa na kuuwawa kabla ya Lissu?

Hayo hayakukufanya usimchukie?

Where is your red line?

CCM wanajua sana kuzichezea akili za wajinga na wapumbavu.

Tundu Lissu yuko jela kimkakati tu. Ataachiliwa muda ukifika.

Na wajinga na wapumbavu mtamshukuru Samia.

‘Ahsante mama’. ‘Mama unaupiga mwingi’.

‘Mama ni msikivu’. ‘Mama ana huruma’.

Blah blah blah.

Hapo mtasahau yote aliyoyapata Mbowe.

Mtamsahau mzee Mawazo.

Mtamsahau Mdude.

Na mtawasahau wengine wote.
Unachosema ni kweli kabisa
Na itakuwa ni mitano tena kwa mama.
 
Unachosema ni kweli kabisa. Kipindi atamwachilia jamaa watu watasahau kila kitu. Na kwanza kuimba kwamba mama ni mtenda haki, mama ana huruma, na ujinga ujinga mwingine kama huo. Hakuna watu rahisi kusahau mambo yanayowakumba kama watanzania. Wengi wetu tuna vichwa mithili ya nyumbu. Na hii nchi kukombolewa kwake ni ngumu sana vinginevyo kiukweli watu waamke. Tofauti na hapo zidi kuwa watu wa matukio tu kwamba hili limetokea tunalishika kwa muda halafu likipita litakuja lingine tunaenda nalo basi tu ilimradi ionekane na sisi tunaishi. Lakini kiuhalisia tunapelekwa kama nyumbu
 
Wengi wenu sasa hivi mnamchukia Samia kwa sababu Lissu yuko jela.

Mmeshasahau kabisa kuwa hata Mbowe aliwekwa jela kwa tuhuma za ugaidi mwanzoni mwa utawala wa huyu huyu mama yenu.

Mbowe alisota jela takriban miezi nane.

Sasa, itakuwa hivi:

Lissu ataachiwa tu. Anaweza kuachiwa kabla kidogo ya uchaguzi au baada ya uchaguzi Samia akishaapishwa.

Na Lissu atapoachiwa, nyie wote mnaojifanya kumchukia sasa hivi kwa sababu hiyo moja, mtapiga makofi na vigeregere vya shukrani kwa Samia na ‘mtaanza’ kumpenda tena.

Nyie ni watu msio na principles. Na nyie ndo wajinga ambao ndo mtaji mkubwa wa CCM.

Unakasirika leo Lissu kufungwa na unasema kabisa kuwa hiyo ndo sababu yako ya kutokumkubali huyo mama, vipi hao wengine waliofungwa na/ au kutekwa na kuuwawa kabla ya Lissu?

Hayo hayakukufanya usimchukie?

Where is your red line?

CCM wanajua sana kuzichezea akili za wajinga na wapumbavu.

Tundu Lissu yuko jela kimkakati tu. Ataachiliwa muda ukifika.

Na wajinga na wapumbavu mtamshukuru Samia.

‘Ahsante mama’. ‘Mama unaupiga mwingi’.

‘Mama ni msikivu’. ‘Mama ana huruma’.

Blah blah blah.

Hapo mtasahau yote aliyoyapata Mbowe.

Mtamsahau mzee Mawazo.

Mtamsahau Mdude.

Na mtawasahau wengine wote.

Na itakuwa ni mitano tena kwa mama.

2026 sio 2022
 
Back
Top Bottom