Pumzika kwa amani Jesca Mmari

Pumzika kwa amani Jesca Mmari

Ni kona gani hiyo...
Mbona mimi siijui?
Mfano nikiwa pale Tegeta kwa Ndevu kituoni kona inakua direction gani.
Unafika hadi soko la nyuki hiyo lami inayoshuka kwenda bahari beach. Baada ya kumaliza tu soko unavoshuka kuna hotel inaitwa haniz. Unapoimaliza pana bend ambayo inasababisha wengi wenye kuendesha kasi kuhama lane kidogo ili aweze kulala nayo kona kwa spidi wakati hapana visibility ya kutosha. Uhatari wa hapo ni kuwa wewe unaweza kuwa mwangalifu kuingia kona kwa spidi ndogo ila tatizo ni kwa dreva unayepishana nae kama ni mtu wa spidi mara nyingi utamkuta kajaa upande wako

Screenshot_20211003-103033.jpg
 
Mungu amlaze pema!!Yote hayo unaweza kuta sababu ni pombe,amelewa akaendesha gari rafurafu akasababisha ajali,na bado pombe hiyo hiyo ikamwambia usimame kimbia,akakimbia na kwakua pombe iko kichwani umakini ukaondoka akapata ajali na yeye akafariki.

Mimi pia nalewa.
 
Ni habari nyingine ya majonzi ni binti tuliyekuwa naye India,kuna mengi ambayo hayakuwa sawa kwenye maisha yake sababu ya vijana malofa.
Makundi ,ya ulevi ,bangi,madawa vimemsababishia mauti
 
Kukimbia eneo la ajali inategemea ukubwa wa ajali. Kuna mifano mingi sana ya watu kuuawa baada ya ajali kutokea. Lazima utafute upenyo ukimbilie kwenye usalama. Maongez yafanyike kwa usalama. Boda boda wengi wanajulikana fujo zao.
Driving school wanafundisha hivi pia. Kama umepata ajali ukipata upenyo kimbilia kituo cha polisi maana kuna watu akili zao ndogo unaweza kufa hivi hivi unajiona
 
Exactly.
Mtoto mdogo anapokufa lazima tushangae sababu ndio kwanza safari ya maisha ameanza.

Lakin mzee wa miaka 90 anapokufa (mfano Mandela, Mugabe) wala hatushangai sana. Ulishawahi sikia wanasema "oooh kafariki akiwa bado mzee?" Jibu ni hapana.

Sasa wewe unaposema eti "such a beautiful girl" unamaanisha wasichana wazuri hawatakiwi wafe, kwamba wenye haki ya kufa mapema ni wale wenye sura mbaya? Wewe ni nani useme hivo
Mimi ni mteule!
 
Angeendesha tu mwendo wake wa kawaida anaoweza kucontrol, atakayejipendekezaa mbele yake unampopoa na yeye,, unaenda zako polisi,

Me siku boda boda watajilengasha nitawavunja hiyo miguu wengi tu, labda wanifuate nyuma siyo kujipendekez kuniblock,

Kuna jamaa mmoja land cruiser za porini alimgonga mmoja usiku mkali wakaanza kumfukuza wakapigiana simu kituo cha mbele wamblock, hahaaa jamaa walivyobangi wakajikita barabarani, jamaaa aliwabetua kama mpira wa kona, na akatokomea, wengine walivyoona wenzao walivyofyatuliwa wakageuka mmoja mmoja,
We jamaa[emoji23]
Habari ni ya huzuni ila umenifanya nicheke.
Eti aliwabetua kama mpira wa Kona [emoji38]
 
Unafika hadi soko la nyuki hiyo lami inayoshuka kwenda bahari beach. Baada ya kumaliza tu soko unavoshuka kuna hotel inaitwa haniz. Unapoimaliza pana bend ambayo inasababisha wengi wenye kuendesha kasi kuhama lane kidogo ili aweze kulala nayo kona kwa spidi wakati hapana visibility ya kutosha. Uhatari wa hapo ni kuwa wewe unaweza kuwa mwangalifu kuingia kona kwa spidi ndogo ila tatizo ni kwa dreva unayepishana nae kama ni mtu wa spidi mara nyingi utamkuta kajaa upande wako

View attachment 1961170
Kwanini wasiweke matuta mita 10 kila upande kabla hujafika hiyo kona
 
Rest In Peace Jessy[emoji17][emoji174]
 
Hivi hao boda boda hata wakikufuata wana kufanya nini wakati upo kwenye gari?

Usiombe yakakukuta. Wale ni kama waasi, hawana lugha za maelewano. Wakifika hakuna kuuliza nani amekosea ilimradi mwenzao ameguswa wanajichukulia sheria mkononi.

Pona yako uwe na silaha, vinginevyo bora ukajisalimishe polisi tu.
 
Angeendesha tu mwendo wake wa kawaida anaoweza kucontrol, atakayejipendekezaa mbele yake unampopoa na yeye,, unaenda zako polisi,

Me siku boda boda watajilengasha nitawavunja hiyo miguu wengi tu, labda wanifuate nyuma siyo kujipendekez kuniblock,

Kuna jamaa mmoja land cruiser za porini alimgonga mmoja usiku mkali wakaanza kumfukuza wakapigiana simu kituo cha mbele wamblock, hahaaa jamaa walivyobangi wakajikita barabarani, jamaaa aliwabetua kama mpira wa kona, na akatokomea, wengine walivyoona wenzao walivyofyatuliwa wakageuka mmoja mmoja,

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom