Pumzika kwa amani Jesca Mmari

Pumzika kwa amani Jesca Mmari

Kwanini ukimbie? Shuka ongea nao myamalize siku hizi wanaelewa si kama zamani
Unamhoji marehemu?

Bodaboda huwa wana fujo sana na hawaangalii kama kosa ni la nani,, kwao mwenye gari ndiye mwenye kosa. Pamoja na hilo wengine wanakuwa wezi, wanaweza kukuchomolea vitu kadhaa kwenye gari, na kwa mwanamke wangemfanyia fujo nyingi.

RIP Jesca Mmari.
 
Angeendesha tu mwendo wake wa kawaida anaoweza kucontrol, atakayejipendekezaa mbele yake unampopoa na yeye,, unaenda zako polisi,

Me siku boda boda watajilengasha nitawavunja hiyo miguu wengi tu, labda wanifuate nyuma siyo kujipendekez kuniblock,

Kuna jamaa mmoja land cruiser za porini alimgonga mmoja usiku mkali wakaanza kumfukuza wakapigiana simu kituo cha mbele wamblock, hahaaa jamaa walivyobangi wakajikita barabarani, jamaaa aliwabetua kama mpira wa kona, na akatokomea, wengine walivyoona wenzao walivyofyatuliwa wakageuka mmoja mmoja,
 
Back
Top Bottom