Angeendesha tu mwendo wake wa kawaida anaoweza kucontrol, atakayejipendekezaa mbele yake unampopoa na yeye,, unaenda zako polisi,
Me siku boda boda watajilengasha nitawavunja hiyo miguu wengi tu, labda wanifuate nyuma siyo kujipendekez kuniblock,
Kuna jamaa mmoja land cruiser za porini alimgonga mmoja usiku mkali wakaanza kumfukuza wakapigiana simu kituo cha mbele wamblock, hahaaa jamaa walivyobangi wakajikita barabarani, jamaaa aliwabetua kama mpira wa kona, na akatokomea, wengine walivyoona wenzao walivyofyatuliwa wakageuka mmoja mmoja,