Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,044
- 7,683
BODABODA zingepigwa marufuku hapa nchini, mijitu ya BODABODA haina akili kabisaChanzo Cha ajali,alikuwa afukuzwa na bodaboda tatu nasikia alikwangua bajaji,bodaboda wakamuungia ,alipofika kwenye Kona gari ikamshinda
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app