PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,259
Ohoooo!!!Kwa mchaga hata buku inauma.
Ohoooo!!!Kwa mchaga hata buku inauma.
Pole sana Mkuu.Sheikh wangu, jana mi mwenyewe nimepata ajari.. nipo na bike yangu naenda nyumbani mara vuuu oncoming car ikatoka kwenye lane yake nakuja upande wangu.
nashukru nimetoka mzima ila bike imevunjika sana.
View attachment 1961096
View attachment 1961102
View attachment 1961103
nimeshapoa. jana niliiona mauti mbele yangu.. ndani ya nusu sekunde nilijikuta nimeiruka baroon na kuanguka uko upande wa pili.. kila mmoja alie iona bike ilivyoharibika na akitazama mimi nilivyo ilikuwa ni vitu viwili tofauti.Pole sana Mkuu.
Sasa unawakimbia bodaboda kwa kukwangua bajaji wakati bei ya rangi yake ni elfu 50 tuu. Ona sasa uhai umemtoka kwa sababu ya elfu 50 tuu.Chanzo Cha ajali,alikuwa afukuzwa na bodaboda tatu nasikia alikwangua bajaji,bodaboda wakamuungia ,alipofika kwenye Kona gari ikamshinda
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Usihukumu kabla ya kujua tatizo,unaambiwa alikuwa spidi akakwangua bajaji ya watu so mwenye akawa anamfukuzia nakumwambia asimame ila yeye akakaidi akakata kona kuelekea bahari beach kutokea tegeta nyuki sasa pale mbele kuna kona kali ikamshinda,akapata ajali na kutokea ktk kioo.Hayo maneno nimesikia leo toka kwa mashuhuda ila kama angesimama na kuelewana na mwenye bajaji sidhani kama yangetokea hayo na pia nasikia ktk gari walikuta chupa za bia so inawezekana alikuwa alcohol
Hapo wenye uzoefu wetu wa ku drift tuna drift tunakanyga mbele kona hata iwe na hatari gani kama unaweza drift bora driftUnafika hadi soko la nyuki hiyo lami inayoshuka kwenda bahari beach. Baada ya kumaliza tu soko unavoshuka kuna hotel inaitwa haniz. Unapoimaliza pana bend ambayo inasababisha wengi wenye kuendesha kasi kuhama lane kidogo ili aweze kulala nayo kona kwa spidi wakati hapana visibility ya kutosha. Uhatari wa hapo ni kuwa wewe unaweza kuwa mwangalifu kuingia kona kwa spidi ndogo ila tatizo ni kwa dreva unayepishana nae kama ni mtu wa spidi mara nyingi utamkuta kajaa upande wako
View attachment 1961170
Haya mengine ni ya kujiongeza, utafundishwa kila kitu darasani jamaniDriving school wanafundisha hivi pia. Kama umepata ajali ukipata upenyo kimbilia kituo cha polisi maana kuna watu akili zao ndogo unaweza kufa hivi hivi unajiona
Wengine wanaogopa kujiongeza. Ila ukiwa na elimu hiyo ni rahisi kuitumiaHaya mengine ni ya kujiongeza, utafundishwa kila kitu darasani jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiogope kujiongeza inasaidia sana...Wengine wanaogopa kujiongeza. Ila ukiwa na elimu hiyo ni rahisi kuitumia
Hahahaha nyie raia hatari sana..hicho kipaji ni kwenu petrol heads..sie wengine ni Drive na reverse tu kipaji kinakomea hapo.Hapo wenye uzoefu wetu wa ku drift tuna drift tunakanyga mbele kona hata iwe na hatari gani kama unaweza drift bora drift
Sent using Jamii Forums mobile app
Drift uwe na kasubaru kako weeee acha tu ehh unavuta kahandbrake tu mku uku unakadilia na wese kisela [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni kama utani ila bala lake unaweza kuparamia watuHahahaha nyie raia hatari sana..hicho kipaji ni kwenu petrol heads..sie wengine ni Drive na reverse tu kipaji kinakomea hapo.
Kifo kikija hakina sijui ungefanya hivi au vile, muda ukifika ni lazima uondoke sisi tutasema ni uzembe lakini nyakati zikifika za kuondoka ndiyo zimefikaKwa hakila wanawake wengi wa africa hawawezi mikikimikiki ya racing kama wa kizungu kama ikitokea dharula,, wanajawa na upepo, wanaingiwa na uoga asa ikiwa kitu cha ghafla..
Yote kwa yote hakupaswa kukimbia, ni busara ukasimama na kumalizana nao maana ni ngumu sana ukamuacha mtu wa pikpik mwenzio sehem yeyote anapenya
Mda uo ushikirie roho yako mkononi..unaweza kuchomewa gari na kichapo uka pata ..siku zote hasie nacho huwa ajariMaskini, ndio maana nasema iwe kama elimu kwa tuliobaki !! Siku zote usikimbie ajali wala kutoa maneno ya kushutuma just uwe mpole na kuona mwenye haki ni nani!!? Huenda gari yake ndio iliyoumia
Hivi hao boda boda hata wakikufuata wana kufanya nini wakati upo kwenye gari?
Hao ni majambaziHivi hao boda boda hata wakikufuata wana kufanya nini wakati upo kwenye gari?