Pumzika kwa amani Jesca Mmari

Pumzika kwa amani Jesca Mmari

Mungu amlaze pema!!Yote hayo unaweza kuta sababu ni pombe,amelewa akaendesha gari rafurafu akasababisha ajali,na bado pombe hiyo hiyo ikamwambia usimame kimbia,akakimbia na kwakua pombe iko kichwani umakini ukaondoka akapata ajali na yeye akafariki.

Mimi pia nalewa.
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] hapo mwisho ...

Mwisho kabisa

Hata mi nalewa
 
Chanzo Cha ajali,alikuwa afukuzwa na bodaboda tatu nasikia alikwangua bajaji,bodaboda wakamuungia ,alipofika kwenye Kona gari ikamshinda

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
siri ya bodaboda ni rahisi sana, wakikufukuza wewe kama umeshawapita geuza gari urudi unakotoka tena washa taa full wasione hata namba na tembea mwendo wa kawaida utaishia kupishana nao tu.

apumzike kwa amani huyo bibie..
 
Umempumzisha Jana Jesca mmari
IMG_20211006_195655_851.jpg
 
Back
Top Bottom