Tetesi: Pukutiko linaendelea...

Anajiandaa. Kisaikoloji😁
 
Mizizi yake was deep!

Wazito wengine wanasababisha catastrophe soon

Naiona Kesho Yenye matumaini,

naanza Kushusha makala ndefu,
Soon

Britanicca
Hapo ni hapana kuu..Kwa wao kudhibitiana ndani kwa ndani ..ni rahisi sana...na wanafahamiana.na wala..hakuna shinikizo la nje lenye kuweza kuwatikisa pia.
Likipigwa tukio Moja tu kama la H.Polepole na Moja la Kifo cha ghafula....wote ni kimya na hautasikia nywinywi yoyote..
Wapo wengi...mpaka wa Jeshi kabisa akina KINANA walijiweka zao kando kimya kimya..!!!
Huwa wanatofautiana kwenye baadhi tu ya vipengere lakini siyo Mfumo mzima waliouchagua..
 

Tena zito haswaa.
 
Bavicha mkishapewa Balimi basi akili.zina hama kabisa.

Teh teh teh
Bavicha au Chadema wanahusiana na nini kwenye huu uzi, jifunze kufikiri kabla ya kuandika πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Unapatwa na vichomi wakata saga lipo ndani ya Chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…