Ht cjui chchtHuyu dada kwao ni huku kijijini baba yake alikuwa Diwani
Jf ni chanzo kinachoaminika kwa kutoa verified informationsHt cjui chcht
Ngoja tusogeze vigoda tuketi kabisa tukite Kambi😃Mizizi yake was deep!
Wazito wengine wanasababisha catastrophe soon
Naiona Kesho Yenye matumaini,
naanza Kushusha makala ndefu,
Soon
Britanicca
Sio kila taarifaJf ni chanzo kinachoaminika kwa kutoa verified informations
Sawa ila kuna verified members ndo wanaotoa hizo informationSio kila taarifa
Hofu yangu ni kupitia mvurugano huu wasije pita na Lissu tu ili kuchochea moto.Huo Bado Ila nyingine ya moto ni kwamba hata waziri Mkuu naye anatolewa soon, Huyu Huyu Nchemba
Keep waiting
Robart MugabeNani anajiuzulu.
Mizizi yake was deep!
Wazito wengine wanasababisha catastrophe soon
Naiona Kesho Yenye matumaini,
naanza Kushusha makala ndefu,
Soon
Britanicca
Na nguchiro wa bavicha weengi eti wanaona yeye ni hero...!!
Teh teh teh
JF ina vituko
“Kila kilichoko juu yake (ardhini) kitafikwa na maangamivu yaani kitafika mwisho wake. Na utabaki uso wa Mola wako, Mwenye utukufu na heshima.”Mizizi yake was deep!
Wazito wengine wanasababisha catastrophe soon
Naiona Kesho Yenye matumaini,
naanza Kushusha makala ndefu,
Soon
Britanicca
Acha kuzua taharuki.Mizizi yake was deep!
Wazito wengine wanasababisha catastrophe soon
Naiona Kesho Yenye matumaini,
naanza Kushusha makala ndefu,
Soon
Britanicca
Tuzingatie neno catastrophe.Mizizi yake was deep!
Wazito wengine wanasababisha catastrophe soon.
Britanicca
Ni kukatika kwa mkatecatastrophe
Ndo nn
BIla kumsahau anko TDotto Magari na Manara
Kama ni kweli tumefika kiwango kikubwa cha ukatili kama Taifa.View attachment 3656747
Inadaiwa huyu mpishi alimtengea chakula jamaa akatonywa asiguse huo msosi mdada akalazimishwa ale ili tukio lake lipeleke salam kwa walio mtuma.
Pamoja na mbwembwe zote za kusifia na kuunga juhudi?Huo Bado Ila nyingine ya moto ni kwamba hata waziri Mkuu naye anatolewa soon, Huyu Huyu Nchemba
Keep waiting