hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,829
Nimeisikia sana hii story ya uhusiana wa US government na 2pac..
yah! the legend was heavenly sent....that nigger was a black prophet.
Nimeisikia sana hii story ya uhusiana wa US government na 2pac..
Ain't no place I'd rather beyah! the legend was heavenly sent....that nigger was a black prophet.
kweli yawezekana ndgu mana the used to go white kwa utumbo unaofnywa na nchi yake sikiliza CHANGESam certain us government ilikuwa na mkono wake kwa kifo cha tupac....alishawahi sema "am afraid of what i become" kwa maana ya kuwa aliteka hisia ya vijana wengi mno kiasi kwamba wengi walikuwa tayari kufanya chochote ambacho tupac angesema.......chriss rock once alisema iweje serikali iweze kumsakanya sadam na osama mpaka wakawapata na washindwe kumpata muuaji wa tupac ndani ya marekani?
..May Be.Diddy ni MSOMALI kabisa huyu (hebu muangalie vizuri nywele na sura).
Ninaweza kuamini kwa sababu jamaa kuuwa si tatizo kubwa sana. Yaani unaweza kusema iko kwenye damu.
Al Shaabab in RAP, BAD BOY KILLER..........................
kivumah huyo mtu anataka kukuza jina coz pd is a big time celebrity and things are getting better as time goes by.... I love tupac... Loved him ile mbaya when he was alive.... Kipindi tupac yupo juu in conjuction with notorious pd hakua na that big a name or that big influence compared to sasa... Hivo my stand ni kua jamaa anataka kukuza jina.... Kama hivi mie nilikua simfahamu sasa nisha mfahamu....
Tight video. niceTupac is back y'all..
Tupac Back - Meek Mill feat. Rick Ross (Official Video) - YouTube
Watu wanasema mi namfanana sana diddy dirty money..