Publisher wa Vitabu (Digital Printers) Anahitajika

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,271
1,119
Wadau natafuta mtaalamu wa ‘type setting’ na ‘cover designer’ wa vitabu. Kama wewe ni mbobezi na unao uzoefu wa kutosha tafadhali tuwasiliane. Unaweza nitumia ujumbe PM au kwa namba yangu 0717935721.
 
mkuu nipo hapa mamb ya coverdesign na graphic design yote nadeal nayo
 
Back
Top Bottom