Psychopath Obsession . . .

enzi zile......

Alikuwapo mmoja...... Kipindi sijaolewaaaa

Alipatafuta mpaka nyumbani kwetu......... Akapajua na kutia timu....teheteh akaomba kuzungumza na bi mkubwa

Ilibidi nimtimue vibaya sana......

Ndo nikapumua.......
 
bora umekuja manake konnie ananitia kwenye kishawish na mi sitaaaki kuitiwa msuto tena nifenyejeee!
ahahahhahahhahahhahahhahah yani mweh Kongosho wantesa mie na hizi sredi zako siku hizi!dah!

vumilia tu umshauri....maana konnie anapitia magumu jamani loh
 
Last edited by a moderator:
Mm npo katka híi hali...ni mateso,shda,karahaa..npo stage ya mwsho kuikmbia
 
mmmh Gaijin, hiyo ilikuwa inatisha.

Niliwahi kutana na case, mtu kakataliwa akaenda kukodi mabondia kwa ajili ya kumpiga yule binti.

Binti mwenyewe alikuwa kama 17 hivi, lakini watu waliokodiwa ni kama 3 na wako at least 25?

Niliogopa, japo waliweza kutafuta suluhu baada ya muda, ila niliihusisha na pyschopath.
 
Last edited by a moderator:
... Kongosho na wengine, hivi kinyume cha huyo "psychopath" ni nini, "normal", au?!
... nauliza kwani kuna wengine huwa wanapenda sana lakini hawathubutu kuonesha upendo wao kwa wawapendao. Je, hiki ni kinyume chake?!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nakumbuka nilihadithia watu wakanambia kwanza "Do not show fear"

Ahhh niweze wapi! Nikimuona pumzi zinabana kaa nataka kuzirai hivi.......

Nikayakimbia makazi yangu kwa muda wa wiki mbili, nikajua nikirudi atakuwa kapona.......La haula, labda kuzidi!

Hapo ndipo ilipobidi tufikishane polisi, manake alikuwa na hasira ya kuwa nimejifanya mjanja
 
Word!

Wakati mwingine tunalea magonjwa for the sake ya mzazi mwenzangu.

 
tiririka bana
hata uzoefu wa kukopa ulete hapa tusaidiane

mtu unajikuta umependa na mtu, hataki umwache hata kama humtaki.

Sharing is caring

bora umekuja manake konnie ananitia kwenye kishawish na mi sitaaaki kuitiwa msuto tena nifenyejeee!
ahahahhahahhahahhahahhahah yani mweh Kongosho wantesa mie na hizi sredi zako siku hizi!dah!
 
Last edited by a moderator:
Watu wenye tabia hizo weshatengenezewa mpaka movies
Nikpata muda nitawawekeeni hapa mkazitafute
 
ha ha ha, umenikumbusha

nikiwa fomu 2 B, kuna mmoja aliutwika akawa mbwii

kuna kijana, tena alikuwa mgeni mtaani, si akanitokea mie nikakausha.

si akaja saa nane mchana jumapili home na mzee yupo

kafika sebuleni hajasalimia ananiita kwa nguvu, yuko chakari kalewa.

mzee alikuwa mkali, sijui ilikuwaje sikuchezea viboko, yaani kidogo nizimie kwa woga.

Nilijua tutagawana majengo ya serikali, mie Bugando na yeye gerezani.

Nadhani mzee aliona kabisa sikuwa na connection naye, maana nilibaki na butwaa la mwaka.
enzi zile......

Alikuwapo mmoja...... Kipindi sijaolewaaaa

Alipatafuta mpaka nyumbani kwetu......... Akapajua na kutia timu....teheteh akaomba kuzungumza na bi mkubwa

Ilibidi nimtimue vibaya sana......

Ndo nikapumua.......
 
Reactions: SMU
pole

kuongea kunasaidia
hasa unapogundua kuwa na watu wengine wanapitia hayo

tushirikishane tafadhali.

Mm npo katka híi hali...ni mateso,shda,karahaa..npo stage ya mwsho kuikmbia
 
Steve Dii we mtokee tu, kama nini tuambie tukaseme nae :high5:
 
Last edited by a moderator:
ha ha , kwa nini umefikiria amezaa naye?

... sababu ametumia neno "waliomzunguka", nami nikauliza nikiamini fika kuwa ukishazaa na mtu hata iweje, kwa mema au mabaya, huyo anakuwa miongoni mwa wanaokuzunguka!
 
mmh, kusema kuwa kutosema ni kinyume cha pyschopath sidhani

maana kabla hatujafikia kukubali hilo lazima tujue psychopath ni nani na yukoje kwa mapana.

Halafu hicho ulichosema cha kushindwa kusema, tutafute 'term' yake moja

halafu ndio twaweza linganisha

... Kongosho na wengine, hivi kinyume cha huyo "psychopath" ni nini, "normal", au?!
... nauliza kwani kuna wengine huwa wanapenda sana lakini hawathubutu kuonesha upendo wao kwa wawapendao. Je, hiki ni kinyume chake?!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…