Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Pamoja sana mkuu!!! kuna mstari kwenye Bible unasema maneno haya yasitoke kinywani mwako Bali yatafakar mchana na usiku...sikumbiki vzru ni kitabu gani but ninachotaka kusema ni iv chochote unachokipa nafasi akilini mwako utaona matunda yake iwe ni meditation ya neno la Mungu au meditation nyingine lakini mwisho itakusaidia nini kuupata ulimwengu na kuikosa nafsi yako!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni Yoshua 1:8
Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.
Yoshua 1:8
 

Ushwahi kubeti?
 
No sijawahi na sitawahi kwa sababu betting ni kamari, its sin kwa dini zote na ni abuse of powers.
P
Hivi ukiamka siku ukawa unaona kila unachokifanya siku hiyo kama sio kigeni(yaani ni kama hiyo siku ulishaishi huko nyuma japo huna kumbukumbu) hiyo ni nini mkuu? Hii nayo ni precognition?!
 
Aisee paskali imebidi niitafute hi post kwa kile kinachonitokea. Yaan huwa ninaota vitu afu vya kweli. Sasa ikiwa tukio Ni baya labda ni kifo ama ajali. Nikisema tuu hii haitatokea kweli haitatokea. Yaan nikiikataa nafsini isitokee. Lakn nikikaa kimya na nisihangaike kuiwaza itatokea exactly Kama nilivyoona. Kibaya zaidi nikiota afu nikasema sitak itokee af nikaja nikaota Tena tukio mfano wa Lile Lile kwa nyakati zinazokaribiana Basi iko kitu ni lazima kitokeee hakuna mjadala.

Pia sijui Ni Nini lakin huwa nikimuwaza mtu lazima atakuja ama nitaonana naye siku na saa hiyo hiyo

Kinachoniogopesha ni pale ninapo weza kujua mtu Yuko wapi na nikienda namkuta hapo hapo.

Yaan imefika mahali siku hizi Wala hata sisemi ninachokiona ama kuota
 
Let us begin with this madam,what is your month of birth and are you left handed or right handed?just curiosity,i just want to compare this with what I know so that we can share something...
 
OUT of topic

Nimejifunza :

SOMETIMES unaweza kujua kabisa mkeo/mumeo amechepuka lakini ukaamua kutulia na kuacha mambo yapite maisha yaendeleee.

swali" alichofanya si kizuri nitamrekebishaje sasa wakati sikumwambia kosa lake kutokana na kukosa ushahidi ila akili inaniambia ana ni cheat?
 
March 21st, right handed whats common there?
Once I heard from a person I used to know that,people who are left handed and are born in December has that type of characters,but now I have proved it wrong,anyway let us just wait and learn from the other side...
 
Naona unaungana na Mshana kwenye ulozi, powers, no wonder movies nyingi zina mlengo huo, Wahubiri wanahubiri kuhusu powers, kama Joel Osteen, Joyce Mayers, na wengineo, hizo zote ni njia za kututoa kwenye reli ya kumuamini Mungu.

Huo ni uchawi kama mwingine wowote
 
Mimi mara nyingi kuna matukio yananitokea na yanakuwa sawa na ndoto nilzoota .Hiyo nayo in nguvu ? kama ndiyo je inafaida gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…