Psychedelic Drugs & Consciousness

Kwan kuna tofauti gan kati ya meditation na yoga?mi najua yoga ni form of meditation...
Meditation is a form of yoga, as a matter of fact you can get into a psychedelic state by meditation only. We already have DMT in our brain pineal gland.
anyway drugs kali ni roofies,LSD,DMT ila kuzipata sasa hapa bongo..labda utapata za kawaida tu na zenyewe mpaka ufoji kuwa na magonjwa ya akili utapata vibali vya kuyanunua kwenye pharmacy kubwa
Those pharmaceutical drugs in your drug store have a chip on their shoulders, they are not "in tune with nature".

On a quantum level... you, me, plants and every matter in the universe are the same. The only difference is how much energy is used to form a particular being. So, we actually know each other from Adam.

The atoms in your body might have once been used to form a piece of rock or used to form enzymes in ayahuasca plant. When you ingest ayahuasca, the DMT in it, binds into your 5-HT5 receptor, the same way your natural DMT does. Only this time the dosage is higher, synthetic drugs don't, that's why people get addicted to them.
 
Meditation is a form of yoga, as a matter of fact you can get into a psychedelic state by meditation only. We already have DMT in our brain pineal gland.

Those synthesized drugs in your drug store have a chip on their shoulders, they are not "in tune with nature".

On a quantum level... you, me, plants and every matter in the universe are the same. The only difference is how much energy is used to form a particular being. So, we actually know each other from adam.

The atoms in your body might have once been used to form a piece of rock or used to form enzymes in ayahuasca plant. When you ingest ayahuasca, the DMT in it, binds into your 5-HT5 receptor, the same way your natural DMT does. Only this time the dosage is higher, synthesized drugs don't, that's why people get addicted to them.
Upo sahihi mkuu Chamoto!!
 
Hakuna Pharmacy kubwa yoyote TZ inayoruhusiwa kuuza au kununua any kind of mind altering drugs.

Mnunuzi mkuu wa hizo Dawa under special permit ya TMDA ni Bohari kuu ya Dawa yaani Medical Stores Department ( MSD) .

Pia, LSD, DMT hazina any medical uses kwa mujibu wa WHO na Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto.

Dawa zinazonunuliwa kwa special permit ambazo kimsingi zinakuwa abused ni pamoja na Morphine, Ketamine, Pethidine, Fentanyl , Halothane( The Gas), methadone ambazo mnunuzi ni Bohari Kuu ya Dawa kwa mujibu wa Sheria ya JMT na ndio wanaweza kuiba huko mahospitali to experience the partial Transcendence.

In fact these are not psychedelic drugs. Psych means Mind, delic means to reveal your inner secret. In fact You hold something you don’t know, and no one will tell you, you have to find it by yourself. Some people have been helped by Psychedelic plants to find their inner truths.

The best way you can be , is to learn how to use Psychedelic Plants for special purpose.

The only way to withdraw a person from hard drugs is to subject that person into Psychedelic course. This has been a hidden secrets to keep the business of hard drugs alive.

Most of the DMT, LSD in developing countries are laboratory made which makes it worse. The lab made does not even dissolve your little ego.

Only natural and raw plants containing DMT, LSD , Psilocybin is the best way to approach if you have guidance. In addition to that, These plants dissolve your little ego; you had a very good heart and mind to all humans when you were around 0-5 years old. Untill the culture came to distort your minds, teach you how to Judge and discriminate people, think you are better than others, thinking your faith will lead you to heaven, others are misguided, making things less than one or greater than one while we are one.

But remember you are worms food , just a matter of time; A lot of micro organisms are waiting for you on your deathbed. They will destroy your flesh to bones, making you smell fishy and horrible. Think about it .

In view of the above , you therefore need something to make you remember who you are, and make you realize that you have lost your true God given mind. Find it.

I love kids, because they truly live the life, and they have true love until Mind distortation takes place .

Knowledge makes you unfit to be slave, honey.

no one is at any work as you said.

Open your mind to learn new things, the world has a lot to offer than what you have been enslaved to believe.
inaongeza n Kumbukumb
 
inaongeza n Kumbukumb

Kama ukitumia under guidance.

Otherwise ukijitumilia tu, unaweza pata tatizo la Amnesia Yaani kusahau sahau. Kwa mfano unataka kuzungumzia kitu, kina kutoka. Unaweza kusahau umeweka wapi ile funguo yako ya BMW X7.

Tumesisitiza isitumike bila Guidance.
 
IMG_4164.jpg

Where are you at ?
Most of people wapo kwenye Comfort Zone na Fear Zone. Hii Fear zone ndio ile zone like unaamka asubuhi but unajisikia bado kulala. Na unarudi kulala.

Sio rahisi Kutoka kwenye Comfort zone na fear zone. It needs a lot of effort. Wengi wametoka kwenye fear zone na comfort zone kwa msaada wa mmea.

Lakini kama you feel better and okay at your comfort zone ,Baki huko huko. It is good for you.
 
Bangi iko na Side effect na faida zake:

Inategemea zaidi naakili yamtumiaji wengine wakivuta wanakua over power, minds yao inakua iko na-more kwenye kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi

Note: wengine hii inageuka kinyume chakee:

Miaka kadhaa iliyopitaa na Mimi nilikua nikitumia Marijuana nilianza kupata effect nikaacha kabisa kuutumia

Faida nilizokua nazipa nikitumia Marijuana:

Inanisaidia kuingia Deep Meditation ikisaidiwa na Music Hard phone kwenye masikio yangu basi najikuta Wizard

nilikua mtu wahisia sana machale

Sides effect nilizoanza kuzi-expirence:

Nikivuta tu Mapigo ya moyo yanakwenda kasi Hofu mashakaa vinatawala kwenye hisia zangu Hadi hapo Stimulation itakapo ondoka kichwani ndio narudi kwenye Hali yangu yakawaida
 
I don’t recommend yeyote kujaribu hili kwasababu kila kitu kina hitaji guidance: na hapa hatufundishi watu kutumia Psychedic drugs, tuna share taaluma na experience. Kwanza hata kama ukitaka kutumia, where are you going to source those plants, lol

Hizi jamii ya hii mimea baadhi ya watu katika jamii wanayotoka kuwa kwa namna moja au nyingine wamekwisha wahi kuiona, ila kujua umuhimu wake ndio changamoto

Ninachojua mimi ni wahindi na wasomali hapo Dar ndio mara nyingi wanakuwa na hii mimea nadhani wanatoa kwao. Wanatumia sana hizi mambo kwa imani zao

Hili nakubaliana na wewe maana kuna jamaa yangu alikuwa anatumwaga na wahindi mbegu fulani, sasa akimuuliza muhindi mbege ya nini hiyo hapewi jibu yeye anaambiwa wewe leta

The Juice is called Ayahuasca, the divine Juice, wahindi na wasomali wanaijua sana hii, ndio siri yao kubwa ya mafanikio kizazi kwa kizazi

Unawafanya watu waandae trip ya kwenda North America hili janga likipungua...

Hapa nmeona huu mmea uko posted sasa inaelekea nyuma ya pazia kuna hidden secrets yake..
 
Jinsi ya kutumia huo mmea wenye DMT inautaalam wake kaka. Inapendeza haya mambo yafanyike chini ya Guidance.
-
Maandalizi yake ni lazima DMT ichanganywe na majani yaliyo na Monoamine Oxidase Inhibitor.
-
Kimsingi ndani ya stomach zetu kuna enzymes inaitwa Monoamine Oxidase ambapo ukitumia huo mmea wa DMT unaenda kuwa deactivated na hiyo enzymes so haupati effect yoyote.
-
Ili kuistopisha hiyo enzymes ya tumboni ni lazima utumie Inhibitor ya hiyo enzymes ambayo ni Monoamine Oxidase Inhibitor kwa Hapo Tanzania inapatikana Kwenye majani ya Tumbaku yale majani mabichi utachanganya na majani ya mmea DMT, then yanachemshwa. Maeneo ya Asia na America walikuwa wanatumia kwa ku Smoke. Uki smoke inapitia Kwenye respiratory system to blood vessels then to brain inaenda ku create hiyo hallucinogenic effect. The best way to get DMT ni kuianda kama Mbege.
-
I don’t recommend yeyote kujaribu hili kwasababu kila kitu kina hitaji guidance: na hapa hatufundishi watu kutumia Psychedic drugs, tuna share taaluma na experience. Kwanza hata kama ukitaka kutumia, where are you going to source those plants, lol.? Ninachojua mimi ni wahindi na wasomali hapo Dar ndio mara nyingi wanakuwa na hii mimea nadhani wanatoa kwao. Wanatumia sana hizi mambo kwa imani zao.
-
Uvutaji wa Bangi ungekuwa unafanywa chini ya guidance , tungekuwa na vijana wenye kujitambua wengi sana na sio wahuni.
-
Nilianza kuvuta Bangi nikiwa Ufaransa chini ya uangalizi wa Professor wangu ambapo tulikuwa zaid ya watu 6, mataifa mbalimbali.
-
Kwenye Backyard yake kuna mimea michache ya bangi, tulichuma nae pamoja ile raw kabisa, yeye ndio aka determine dose yetu ku smoke, na kuna masharti mengi mengi tulipitia kiafya, kichakula na kimwili na kisaikoloji. It was a part of our field studying.
-
It helped us a lot, thanks to him. It uncovered a lot of irregularities in this life.
-
Je Vijana wanaovuta hii mimea kwa TZ, wanazingatia misingi na kanuni? Matokeo yake wanapotea.
-
Mtu anavuta Bangi kuondoka STRESS, that is BS, stress haziwezi kwisha for as long as you are alive.

Njia pekee ya kuondoa Stress ni KUFA.
-
Chochote lazima kifanywe chini ya Utaalam wa technical personnel.nina almost 5 years kama sikosei sijavuta Bangi, but I know I Smoke. Na ukiniona hivi live, unaweza kusema nina Danganya watu kuwa navuta bangi.
-
Huwezi kunijua Sababu nina ethics zote za utumiaji wa mimea na sijawahi kupata any side effects badala yake sijawahi kuumwa ugonjwa wowote.

I just enjoyed for the first time nilipoungana na jamii ya shaman huko Amazon, chini ya Uangalizi wa mzee Bob, nilitumia Ayahuasca, nikaomba peni na papers, nilitumia like 24 papers ndani ya masaa 2, niliyoaandika waliyatoa photocopy na wakaenda kuyatumia maandishi yangu Kwenye Research zao za medical field .
-
It is one of the best experience I had in my life and I feel very much blessed to be an Instrument of the nature in this mundane world.

Stop caling this mundane world mzee!!! Unafanya nijione kiazi sana aisseh
 
Naomba kupata msaada au maelekezo kwenye hili

Nikitumia Marijuana basi mapigo yamoyo yanaongezeka kasi Hadi hunipelekea kuanza kupata panic attacks.
Mapigo ya moyo kuongezeka ni kutokana na vasoconstriction (kusinyaa kwa mishipa) na hii inaweza sababishwa na;

1. kuwa na wasiwasi (inawezekana uliwahi kupata bad experience baada ya kuvuta). Sasa ukivuta hisia zako zinazidi kuongezeka na hivyo kuzidisha ule wasi wasi ambao unaleta mishipa yako ya damu kuzidi kusinyaa.

2. Kama unatumia stimulants kama kahawa au drugs zingine hufanya mapigo ya moyo kuongezeka zaidi.
 
TEAM 666
 
Bangi iko na Side effect na faida zake:

Inategemea zaidi naakili yamtumiaji wengine wakivuta wanakua over power, minds yao inakua iko na-more kwenye kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi

Note: wengine hii inageuka kinyume chakee:

Miaka kadhaa iliyopitaa na Mimi nilikua nikitumia Marijuana nilianza kupata effect nikaacha kabisa kuutumia

Faida nilizokua nazipa nikitumia Marijuana:

Inanisaidia kuingia Deep Meditation ikisaidiwa na Music Hard phone kwenye masikio yangu basi najikuta Wizard

nilikua mtu wahisia sana machale

Sides effect nilizoanza kuzi-expirence:

Nikivuta tu Mapigo ya moyo yanakwenda kasi Hofu mashakaa vinatawala kwenye hisia zangu Hadi hapo Stimulation itakapo ondoka kichwani ndio narudi kwenye Hali yangu yakawaida

Bangi iko na Side effect na faida zake:

Inategemea zaidi naakili yamtumiaji wengine wakivuta wanakua over power, minds yao inakua iko na-more kwenye kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi

Note: wengine hii inageuka kinyume chakee:

Miaka kadhaa iliyopitaa na Mimi nilikua nikitumia Marijuana nilianza kupata effect nikaacha kabisa kuutumia

Faida nilizokua nazipa nikitumia Marijuana:

Inanisaidia kuingia Deep Meditation ikisaidiwa na Music Hard phone kwenye masikio yangu basi najikuta Wizard

nilikua mtu wahisia sana machale

Sides effect nilizoanza kuzi-expirence:

Nikivuta tu Mapigo ya moyo yanakwenda kasi Hofu mashakaa vinatawala kwenye hisia zangu Hadi hapo Stimulation itakapo ondoka kichwani ndio narudi kwenye Hali yangu yakawaida

Sawa hizo ni side effects, na it seems like you had no any guidance katika kuutumia mmea. Kama hauna guidance ,Be careful na ;

1. Frequency ya kuvuta
2. Smoke concentration( Volume unayo inject Kwenye mwili).

Kwa mfano, msokoto wa Bangi kwa mtu anaetumia kwa mara ya kwanza hatakiwi kuzidisha Puff 2 , na hautakiwi kuutolea moshi kwenye pua, na unatakiwa ku hold your breathe in like SSSS for a while kisha unautolea moshi kwenye mdomo, you will find out that your mind is shifting from one state to another ; the new state is one of the precious moment , it’s called The NOW, don’t waste it. during that time your focus ni kwenye ishu iliyokufanya uvute.

Kama ukifanya zoezi hilo vyema , then 2 Puff is a maximum dose for you per Six months or so. Je ulikuwa na descipline hiyo ?

One Perfect puff , You will have one of the best experience like you have never seen before. The total Transcendence And this is what we mean when we say you need a guidance.

Kama ulishawahi kutumia mmea before , you can take 2 to 4 puffs/ year or so. Na wakati unafanya hayo ni lazima uwe kwenye mazingira ya kile ulichokusudia.
/
Creativity? writings ? Learning? Innovation ? Astral projection ? Science ? Transcendence ? Death mediation? Looking at the moon and sky ? Making hard decision ? Sex meditating with your partner? Having multiple orgasms at once ? Or meditation and contemplation yaaani just unakaa at your home inapendeza late night hakuna kelele no music just you sit on your floor in your room. You stay silent, na hauwazi chochote Yaani just like a new born, you try to remember who you truly are , you try to see yourself SELF.

You will experience a lot of staff. You gonna be a great man, wisdom , truth, the virtual of silence. You will realize that silence is really loud; everything is there depend on you listen.

Kupitia maelezo yako ni kwamba haukuwa na guidance, haukuwahi ku determine your perfect dose, seems like kila ulipokuwa unajisikia kuvuta Unavuta, yaani frequency yako ilikuwa haina mipaka; and that is why you had some side effects like panic attack, tachycardia( mapigo ya moyo kwenda mbio sometimes), uoga usioelezeka ambao mara nyingi unakuwa associated na panic attack.

The good thing is Cannabis has no addiction or dependency issue. Kama ungekuwa unatumia Cocaine , my friend , usingekuwa na jeuri ya kusema NIKAAMUA KUACHA. na hii ndio faida ya mmea, no over dose, no addiction nor dependency. Even if you abuse it.

You are very lucky man . I am proud of you .

Pia umezungumzia kuhusu suspicions, kwa Kiswahili sijui ndio machale. My friend , that is not a side effect. That is what we call divine intuition. Itakusaidia sana hiyo, please iendeleze. Inakupa wepesi wa kuiona hatari mbele ya dunia yako. Inakupa understandings beyond doubts. Kwa Mfano, unaweza ukastuka usingizini Usiku, ukahisi kama hukufunga mlango, au kuna mazingira ambayo siyo ya kawaida, then go to Verify. Unaweza ukahisi kama unachunguzwa, please Verify , unaweza kuhisi anything like anything...please Verify. Mimi huwa nikingia kwanza naingia kwa machale, pili , nikifika ndani nitaenda chooni kuchungulia, Masterbed room , sometimes nina inama hadi chini ya uvungu to check is everything really okay , .... you know that kind of suspicious. Nikiwa nimesafiri Hotelini, ndio kabisa , kabla sijafanya lolote nitapekua hicho chumba every where, nitatoa mashuka yote To verify everything, chini ya uvungu, balcon etc etc na wakati mwingine na test mitambo , hapa ikitokea balaa natoka vipi kwenye hili gorofa.

That is how senior intelligence wanakuwa trained .you must Be very sustainable

The Cannabis teaches you how to be attentive. Sidhan kama kuna Mwanajeshi ambae hatumii mmea. This is the essence ; to create intuitive and suspicious mind. Ni very important skills kwenye hii dunia.

Ukiendeleza hiyo yaani utaweza kusoma akili ya mtu kabla hajaamua . Utaweza kusoma mazingira rafiki na yasiyokuwa rafiki. Nilifika hotel moja wakati nimeenda SA, nilibadili vyumba 2 ndani ya nusu saa. I was not comfortable na mazingira ya chumba.

Any senior intelligence officer must have that skill.

My prescription kuhusu tatizo lako :

1. Usitumie tena mmea for atleast 3 years or so , never touch
-
2. Uende Sauna for detoxification. Hii utakuwa unafanya mara 3 kwa miezi 3 . If you can manage unaweza kufanya mara 2 kwa mwezi mmoja. But kila mwezi ufanye atleast once. Unatakiwa Kufanya hivi six months consecutive Na utaendelea baadae as per your need.
3. Kama unatumia pombe , uache au reduce consumption. Usipendelee sana any drinks au dawa yenye Caffeine. Kwa Mfano Paracetamol + Diclofenac+ Caffeine hii ni dawa ya maumivu ndani yake Ina caffeine. Usitumie. Uwe unasoma ingrédients za dawa kabla ya kutumia.

4. Pendelea kunywa lemon ( natural ) tea , and sometimes fresh milk.

5. Juice ya tembele, au Mchicha au Coriander leaves. Here I mean unasafisha hayo majani kisha unasaga kwa kutumia blender kisha unachuja ile Juice yake ndio unakunywa at least once a week . Nusu glass au kikombe kizima kidogo kile kama cha kahawa. . I prefer juice ya Coriander, au Spinach au mchicha.

.attention na tembele, zina iron nyingi sana hivyo inaweza ku increase level of hemoglobin ( Hb) Kisha damu ikaongezeka sana ukanza kuhisi shida.

6. Jogging every weekend,

7 pendelea sana salade .na matunda kama Apple, grapes.
8. Learn how to relax. Kuna majani pia nimeyasahau hutumiwa sana na wahindi. Huuzwa pale soko la kisutu pale Posta watu huweka vitu nje na n

Itakubidi hiyo prescription uifuatishe for 6 Months bila kuacha , kutakuwa na improvement kubwa sana. Tatizo litaondoka slow but sure . You don’t need Pharmaceuticals medications. Panic unawezaa ukawa unaipata mara chache chache but itapotea kabisa.

Pia mapigo ya moyo ulikuwa unayapata kwa Sababu inaonekana ulikuwa unatumia mmea hali ya kuwa una uoga mwingi,yaani unaogopa na wsiwasi.

due to lack of guidance, kuna namna ambavyo your CNS ili react mara ya kwanza ulipovuta....... but it’s okay , you gonna be fine just learn how to relax . Don’t take any Canabis , observe prescription above

Otherwise, hizo ni side effect za kawaida hasa kwa wale wanaovuta bila ushauri wa kitaalamu. But slowly zitaondoka, usiendelee kutumia tena for atleast 3 to 5 years.

Kama kuna medication ulizopewa Hosp, kwa matatizo mengine ukiwa unaumwa, you can DM me , kuona kama kuna dawa yoyote ulishawahi kutumia ikaleta hiyo side effects ya tachycardia.

Always learn how to seek for guidance, remember that
 
Mapigo ya moyo kuongezeka ni kutokana na vasoconstriction (kusinyaa kwa mishipa) na hii inaweza sababishwa na;

1. kuwa na wasiwasi (inawezekana uliwahi kupata bad experience baada ya kuvuta). Sasa ukivuta hisia zako zinazidi kuongezeka na hivyo kuzidisha ule wasi wasi ambao unaleta mishipa yako ya damu kuzidi kusinyaa.

2. Kama unatumia stimulants kama kahawa au drugs zingine hufanya mapigo ya moyo kuongezeka zaidi.
Umelenga mulemule mkuu

Niliwahi kufanya vipimo vya mwili mzima

Doctor akanimbia mishipa yangu moyo inayosambaza damu imesinyaa.
 
Umeandika Sana mkuu umegusa mulemule

Side effects yakwanza kuwaikupata baada yakuvuta huku nikiwa kwenye does ya U T I I mean nilivuta nikiwa naumwa hapa ndipo kwenye chimbuko la tatizo langu

Tokea hiyo siku ilibakia second tu niweze kuaga duania hakika ilikua siku mgumu zaidi kwanguu

Sasa nikivuta tu Hisia zawasisi hunitawala nakuikumbuka ile siku Basi nakosa amani
 
Mara ya mwisho kuvuta ni lini ? Na je bado unaendelea ?
 
Baadhi ya mimea hapo juu mingine ni deadly poison
Kwamfano hiyo jimson weed au Datura stramonium
 
Umelenga mulemule mkuu

Niliwahi kufanya vipimo vya mwili mzima

Doctor akanimbia mishipa yangu moyo inayosambaza damu imesinyaa.
Acha kutumia stimulants zozote iwe kahawa, energy drinks, bangi mpaka uondoe hiyo vasocontriction hasa kwenye coronary arteries. Badala yake tumia kitunguu saumu.

Uwe unasaga kitunguu saumu (punje mbili kabla ya kulala) halafu unaweka paste yake kwenye kisahani na kukinusa kwa dakika 15 - 20, yaani unakishika (kisahani) mbele ya pua na kukihemea. Baada ya hapo, weka hiyo paste kwenye glasi ya maji, ikoroge na kunywa.

Unaponusa kitunguu, harufu yake inaingia kwenye mapafu na kwenda kwenye damu mara moja.

Kitunguu saumu kina kemikali nyingi sana ikiwemo allicin ambayo inasifa ya kutanua mishipa ya damu (vasodilator). Pia ina sifa nyingine ya kuzuia damu kuganda (anticoagulant). Siyo hivyo tuu bali huyeyusha mafuta (cholesterol) kwenye mishipa ya damu na kusaidia kuzuia kisukari (glucose homeostasis). Fanya hivi kila siku kwa wiki mbili halafu nenda tena kafanye vipimo kwa daktari wako.

Kwa kuongezea tuu sifa hizi za kitunguu saumu pamoja na sifa nyingine nyingi ambazo sijazitaja, kinasaidia kuzuia virusi vya Corona visienee mwilini. Virusi vya Corona huwa vinaua mtu kwa kugandisha damu (microemboli).

Kwa wale waliowahi kuugua Corona (nikiwa mmoja wapo) watakuambia jinsi maumivu waliyoyapata kwenye mapafu na kwenye misuli ya mabegani kunakosababishwa na vipande vidogo vidogo vya damu vilivyoganda (microemboli). Kama vipade hivi vitakuwa vingi vitafanya mwili uhamaki na kutengeneza kitu kinachoitwa cytokine storm (mwili unajimaliza wenyewe).
 
Daaah Mk54 naweza kuwa mwanao(Son)
Siwezi kuamisha maarifa yako yaje kwangu lakini utanipa guidance nzuri sana
Bila kusahau nipo kwenye FEAR ZONE
 
Back
Top Bottom