da'vinci

  1. humphrey busega

    Psychedelic Drugs & Consciousness

    Habari zenu wakuu, Natanguliza salamu za pole kwa wale waliofiwa na wapendwa wao katika kipindi hiki kigumu. Kikubwa tuwasikilize watalaam wa afya na tuwakinge tuwapendao. Mtanisamehe kwa kuchanganya lugha zote mbili katika hii thread lakini naomba kwa wale watakao kua interested with the...
  2. SumadaVinci

    Je ni kweli Rais wa Nigeria, Buhari alishafariki toka 2017

    Jana katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana na habari hii huko nchini naijeria ukiachana na kile kinachondelea huko maandamano ya wananchi na SARS yao. kuna habari nyingine nlikutana nazo zimhusuzo muhammadu buhari raisi wa nchi ya naijeria inayoeleza kwamba alishakufa mwaka 2017 nafasi...
  3. isajorsergio

    Je! Tutegemee filamu kutoka kwa JamiiForums? Da'Vinci, Kiranga, Sky Eclat, Zero IQ, Kawe Alumni, Fortaleza na wengineo ndani

    kumekuwa na matukio mbalimbali yanayojiri Tanzania,. Je, ni muda sasa kueleza matukio hayo kwa filamu? Tutegemee filamu kutoka kwa JamiiForums? Ikiwa wapo wataalamu wa masuala mbalimbali na kila aina ya watu hapa JF Tunaweza kushuhudia kitu kutoka kwa Da'Vinci, Kiranga, Sky Eclat, Zero IQ...
  4. Toosie Slide

    ApexTv na Noah

    Kwa wale wafatiliaji wa time traveler kwa kupitia hii YouTube channel, watakua wanamfahamu huyu jamaa anaeitwa Noah. huyu mtu alikua anasema yeye ni mtu kutokea future [2030]. Ameaminisha watu wengi sana kuhusu kusafiri kwa muda. Tarehe 23 July 2019, ApexTv walirusha video yake ambayo inaonyesha...
Back
Top Bottom