Psychedelic Drugs & Consciousness

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,699
2,000
ww pharmacist, utapoteza vijana asee, dar walianza kutumia ngada muda mrefu..... Lakin hawanaga cha maana..... ww kama unaweza tengeneza hata ARV, hapa nchini kwetu zinahitajika sana

Hapana mimi sio Mfamasia.

Naomba review mada. Umesema wameanza kutumia ngada muda mrefu, je wanatumia chini ya uangalizi wa nani, na je ni nani kawapa Authority ya kutumia kila siku , na kwanini watumie kila siku ? na kwanini wanatumia Bangi ?

Naomba uje na majibu ya maswali so that we can have the best discussion.

Naomba usome mada vyema. Kama unafanya kitu bila ya guidance then you are lost.

Naomba jibu kwanini hao vijana wanavuta bangi? Have you ever reserched that. Au vijana wa Arusha kule, fanya research mjomba, ask them hivi kwanini unavuta Bangi, then Andika majibu watakayokupa. Kisha njoo hapa tujadili.
 

bravocharlie

Member
Feb 1, 2020
81
125
Mk54 nina marafiki wawili wanaendesha boda, najua kama wanavuta bangi, nikaamua tu kuwauliza kwanini mnavuta bangi mmoja akasema kuondoa stress mwingine akasema inamfanya ajisikie vizuri, kimsimgi rafiki zangu wameanza vuta bangi muda sana tangu tupo secondary na sio wahuni kabisa yaani hawakabi mtu ni good boys katika society, ila baada kusoma hii makala na maelezo yako Nimegundua rafiki zangu hawako sawa
Kivipi? Katika making decisions, yaani wana maamuzi flani hivi ni not normal wana shida ya ku reasoning na jinsi wanavyo react kwenye vitu mbali mbali ni tofauti kwenye mahusiano wao ni wababe
Yaani daah kweli too much is harmful
 
Aug 13, 2015
23
75
Mk54 nina marafiki wawili wanaendesha boda, najua kama wanavuta bangi, nikaamua tu kuwauliza kwanini mnavuta bangi mmoja akasema kuondoa stress mwingine akasema inamfanya ajisikie vizuri, kimsimgi rafiki zangu wameanza vuta bangi muda sana tangu tupo secondary na sio wahuni kabisa yaani hawakabi mtu ni good boys katika society, ila baada kusoma hii makala na maelezo yako Nimegundua rafiki zangu hawako sawa
Kivipi? Katika making decisions, yaani wana maamuzi flani hivi ni not normal wana shida ya ku reasoning na jinsi wanavyo react kwenye vitu mbali mbali ni tofauti kwenye mahusiano wao ni wababe
Yaani daah kweli too much is harmful
Ila sidhani pia kama kutokua normal kwao ni tatizo la bangi. Ukinywa pombe ukazini, sababu sio pombe. Pombe tu ime-expose kilichomo ndani yako. Uzuri wa stimulants kama bangi au pombe, hazikupi kitu tofauti na kilichomo ndani yako though bangi ni exceptional sometimes. If you’re happy, u become more happy.

Jamaa zako kuonekana hawako normal, ni ile kua na emotional quotient (EQ) ndogo. EQ kua ndogo iko na factors nyingi mfano stress, rejection, guilt, loneliness, grief au kuishi maisha ambayo mtu anaona hastahili kuishi.
So jamaa zako unaweza ona wanaonekana wako poa kwa nje, ila ndani wako na battles kubwa sana.
 

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,699
2,000
Mk54 nina marafiki wawili wanaendesha boda, najua kama wanavuta bangi, nikaamua tu kuwauliza kwanini mnavuta bangi mmoja akasema kuondoa stress mwingine akasema inamfanya ajisikie vizuri, kimsimgi rafiki zangu wameanza vuta bangi muda sana tangu tupo secondary na sio wahuni kabisa yaani hawakabi mtu ni good boys katika society, ila baada kusoma hii makala na maelezo yako Nimegundua rafiki zangu hawako sawa
Kivipi? Katika making decisions, yaani wana maamuzi flani hivi ni not normal wana shida ya ku reasoning na jinsi wanavyo react kwenye vitu mbali mbali ni tofauti kwenye mahusiano wao ni wababe
Yaani daah kweli too much is harmful

Huu ni ushuhuda Mzuri. Sababu zao ni kama ifuatavyo.
1. For Stress Relieve

2. For Recreational Purpose ( kujisikia vizuri )

For as long as unatumia mmea wa aina yoyote kwa sababu tajwa hapo juu, basi jua unaenda kuwa loser na decision skills zako zitakuwa affected as well .

Ask again more people, note their responses, wote wata fall kwenye Sababu tajwa hapo juu.

. Mtu kama Obama, ametumua Canabis, ametumia DMT, ametumia LSD. Mtu kama Trump , Bush, wametumia Canabis , wametumia DMT, LSD , je wanashida yoyote kwenye Personality zao ?

But hawa watu wanatumia hii kitu mara chache tena for Special guidance for very good course.

Maamuzi magumu na sahihi kwa viongozi wengi wa nchi hutoka kwenye mmea.

Like me, In my entire life nimetumia mmea mara tatu tu. Can you imagine? It’s called understanding, Transcendence and descipline ya divine plants. Hata dini, ukihusu sana dini utakuwa ni kichaa, jamii yako inayokuzunguka itakuona wa ajabu au extremist. Kila kitu ni KIASI and Guidance.

Nyama ni protein and we are advised to eat meat, but excessive meat unajua shida yake. Ukitaka kuona shida nenda Kilimanjaro, mtu anakula nyama kilo nzima.....ni ukosefu wa descipline na mafunzo sahihi. Wala sio sifa, ni ukosefu wa elimu sahihi.

On the other hand, Mtu anatumia mmea for stress relieving, haya ni matumizi mabaya ya resources za mmea na ukosefu wa mafundisho sahihi.

Nimeeleza hapo juu, kama unataka kuondoa stress the Only natural Opiate for stress relieving ni DEATH. I mean, KUFA: hutokuwa na stress kwamwe.

Huwezi ku Escape from the truth, stress ni truth katika maisha na ndio zinakujenga kuwa imara, sasa unazikimbia vipi.!! Useless.
 

STALLION

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,808
2,000
Jinsi ya kutumia huo mmea wenye DMT inautaalam wake kaka. Inapendeza haya mambo yafanyike chini ya Guidance.
-
Maandalizi yake ni lazima DMT ichanganywe na majani yaliyo na Monoamine Oxidase Inhibitor.
-
Kimsingi ndani ya stomach zetu kuna enzymes inaitwa Monoamine Oxidase ambapo ukitumia huo mmea wa DMT unaenda kuwa deactivated na hiyo enzymes so haupati effect yoyote.
-
Ili kuistopisha hiyo enzymes ya tumboni ni lazima utumie Inhibitor ya hiyo enzymes ambayo ni Monoamine Oxidase Inhibitor kwa Hapo Tanzania inapatikana Kwenye majani ya Tumbaku yale majani mabichi utachanganya na majani ya mmea DMT, then yanachemshwa. Maeneo ya Asia na America walikuwa wanatumia kwa ku Smoke. Uki smoke inapitia Kwenye respiratory system to blood vessels then to brain inaenda ku create hiyo hallucinogenic effect. The best way to get DMT ni kuianda kama Mbege.
-
I don’t recommend yeyote kujaribu hili kwasababu kila kitu kina hitaji guidance: na hapa hatufundishi watu kutumia Psychedic drugs, tuna share taaluma na experience. Kwanza hata kama ukitaka kutumia, where are you going to source those plants, lol.? Ninachojua mimi ni wahindi na wasomali hapo Dar ndio mara nyingi wanakuwa na hii mimea nadhani wanatoa kwao. Wanatumia sana hizi mambo kwa imani zao.
-
Uvutaji wa Bangi ungekuwa unafanywa chini ya guidance , tungekuwa na vijana wenye kujitambua wengi sana na sio wahuni.
-
Nilianza kuvuta Bangi nikiwa Ufaransa chini ya uangalizi wa Professor wangu ambapo tulikuwa zaid ya watu 6, mataifa mbalimbali.
-
Kwenye Backyard yake kuna mimea michache ya bangi, tulichuma nae pamoja ile raw kabisa, yeye ndio aka determine dose yetu ku smoke, na kuna masharti mengi mengi tulipitia kiafya, kichakula na kimwili na kisaikoloji. It was a part of our field studying.
-
It helped us a lot, thanks to him. It uncovered a lot of irregularities in this life.
-
Je Vijana wanaovuta hii mimea kwa TZ, wanazingatia misingi na kanuni? Matokeo yake wanapotea.
-
Mtu anavuta Bangi kuondoka STRESS, that is BS, stress haziwezi kwisha for as long as you are alive.

Njia pekee ya kuondoa Stress ni KUFA.
-
Chochote lazima kifanywe chini ya Utaalam wa technical personnel.nina almost 5 years kama sikosei sijavuta Bangi, but I know I Smoke. Na ukiniona hivi live, unaweza kusema nina Danganya watu kuwa navuta bangi.
-
Huwezi kunijua Sababu nina ethics zote za utumiaji wa mimea na sijawahi kupata any side effects badala yake sijawahi kuumwa ugonjwa wowote.

I just enjoyed for the first time nilipoungana na jamii ya shaman huko Amazon, chini ya Uangalizi wa mzee Bob, nilitumia Ayahuasca, nikaomba peni na papers, nilitumia like 24 papers ndani ya masaa 2, niliyoaandika waliyatoa photocopy na wakaenda kuyatumia maandishi yangu Kwenye Research zao za medical field .
-
It is one of the best experience I had in my life and I feel very much blessed to be an Instrument of the nature in this mundane world.
Naomba darasa, la namna sahihi, masharti na dosage ya kutumia pot!!!
 

The Knowledge Seeker

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
873
1,000
Unaamka asubuhi, una enda haja kubwa na ndogo, you take shower, unaingia kwa IST yako , you go to work . Unakunywa chai , unamaliza kazi , una rudi home. Unalala. Asubuhi unaanza cycle ile ile
Hii ndio life cycle ya watu wengi.. Katika hii dunia kuna mengi mazuri sana ambayo wachache ndio wanafaidika nayo...

Mimi naomba nikutafute
 

STALLION

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,808
2,000
Roger that, I agree with you. Ukisoma vyema post zangu utaona nimesisitiza sana under guidance.

Hata Mimi I spent 4 weeks and half in Amazon kuwa trained to understand the ultimate divine nature of these psychedelic plants.

Leo hii, mmea common Tu kama Bangi, ni dawa ya magonjwa mengi sana na hutumika sana katika spiritual transcendence beyond all odds, lakini je wangapi wanajua namna ya kutumia bangi, na je unajua unapaswa kutumia kitu gani baada ya ku Smoke Bangi ili kusafisha moshi and after effect.

Hii ndio shida ya vijana wetu wanafanya vitu bila maarifa. Nikikwambia 90% ya politicians Hapo TZ na nchi nyingine wanatumia mmea na mimea Hii , can you believe that.
Bahati mbaya hapa ni social media.

Mmasai anakula nyama everyday, but husikii ana kidney failure, blood pressure etc etc? Lakini ukirudi kwa wachaga wenzangu wengi ni ma pressure, kidney, matatizo ya miguu, hii ni kwa sababu wanapenda kula
Nyama but hawajui kuipika nyama kutoa toxic zote kwanza.

Wamasai wanapenda nyama na wanajua kuitengeneza ili kutoa sumu zote na odds.

Kila kitu ni guidance kaka. Haya mambo hayajawekwa kwa bahati mbaya .
una wisdom ya kibabe Endelea kutupa shule
 

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,699
2,000
Naomba darasa, la namna sahihi, masharti na dosage ya kutumia pot!!!

That is very good enthusiasm.

I am afraid that huu UZI utafungwa tukiingia kwenye mjadala wa aina hiyo.

Nimefanya kazi pia na DCEA, Drug Control and Enforcement Authority, nikifanya hicho ulicho request, nitakuwa ninaenda kinyume na taratibu za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ijapo kuwa nipo nje ya nchi, Mimi bado ni mtumishi wa Umma, nina viapo vyote vya utumishi bora.
-
Halikadhalika, Psychedelic zote pamoja na Canabis zipo kwenye schedules I za controlled drugs kwa TZ, hivyo kufanya hivyo ni kukiuka Sheria ya kuzuia na kupambana na mind altering drugs.

I believe truth is there, you have all the means to know the truth.

You many also Learn how to decode the information provided in this thread. We have put a lot of stuff here, only if you pay attention.

Remember, we still have to comply with the rules, policies and regulations of the country

Thanks
 

nerilan

JF-Expert Member
Dec 11, 2013
280
500
Hii ni kweli , changamoto kubwa mimi naona watu wafundishwe kwanza.
-
Kwa sababu hakuna kitu hakina madhara.
-
Hata maji uki Over dose kwa Mfano ukanywa 6 L per day wakati wewe body mass yako inataka unywe 1.5L per day, utaenda ku create fluid retention in your body , Na utasababisha pressure kupanda, over time utaanza ku damage your vital organs such as kidney, brain vessels leading to stroke etc etc.
-
Vivo Hivyo kwa hizi mind altering drugs. They have serious side effect ukiwa una Over dose na kutumia mara kwa mara . Yaani vina ku dissociate na reality ya dunia, na sometimes unapoteza feelings za maisha kabisa. Yaani unaona kupata au kukosa is just a game. Let it be .
-
Substance kama hiyo LSD, DMT kwanza zinapatikana naturally kwenye mimea lakini pia drug dealers wanazitumia kutengeneza illicit substance in form of powder and tablets wakati huo huo wanachanganya na chemicals nyingine and makes it more addictive and dangerous.
-
DMT, LSD , Pscilocibin Mushroom zote zimekwa na WHO kwenye Schedule I Controlled Drug ikiwa na maana ya kuwa haifai kwa matumizi ya Dawa wala kwa matumizi yoyote na ukishikwa nayo you should go to Jail . Lakini jiulize Mbona mmea wake bado unaendelea kulimwa .

Shida kubwa pia kwa mfano, leo unamuuliza mtu anaetumia bangi, kwanini unavuta bangi ? Hatoweza kukupa Jibu sahihi.
-
Wengi huvuta kwa makundi, kuiga bila ya kujifunza na kufanya research matokeo yake wanaenda kuharibu akili zao na kuwa wahuni.
-
Na bangi wanazotumia sio zile kutoka shamba , ni zile ambazo wameshachanganya na cocaine ili Kesho uje tena .... baadae mtu anakuwa teja.
-
Know why do you have to smoke ; what do you want from smoking: ? Je unahitaji Creativity or writings or transcendence etc etc yaani lazima uwe na sababu ya kuvuta au kutumia psychedelic substances. Kama Huna sababu then stop it .

Methadone is one of psychedelic, mind altering substance, Na ndiyo hutumika kwenye ku withdraw wale watu waliokuwa addicted na cocaine. methadone Center ipo hapo MNH, Amana , Temeke , Mwananyamala kwa Hospital za Dar Tu.
-
Suali la Msingi unawezaje kuitumia methadone ukaacha DMT, LSD au Pscilocybin Mushroom . Hizi ndio the natural substance ambazo zinamfanya mtu aache kabisa kuwa addicted na kuacha kutumia cocaine na Heroin.
-
Ni substance ambazo zikitumiwa at recommended dose under guidance, makes your life more meaningful, spiritual, brave and creative.

It is all about awaken the consciousness, self realization, the one we are.
-
I personally have used all those psychedelic substances. If you are lucky to get the natural plant from your own garden, then you are done.

LSD tablets, I don’t recommend t’ buying View attachment 1707053
these laboratories made.View attachment 1707053
DMT powder, it is also laboratory made, I don’t recommend. You have to get the natural plants kama unavoipata Cannabis.

View attachment 1707054

Magic Mushroom, Pscilocybin Mushroom. The tree of Life. The tree of Good and Evil .

View attachment 1707055

LSD plant containing. You need to have this in your secret garden. You may use once per year or 3 years. If you use like that, you will see the benefits of being born on earth.

View attachment 1707056
The DMT plant containing, the tree of life and death, the Vial of pendant eternity.

View attachment 1707057

The Powder , don’t buy this, find the natural plant.

I have a lot of photos and my experience to DMT and LSD , kutokana na uhalisia wa kazi yangu. I am not allowed to share anything from Social platforms . View attachment 1707054
Mkuu, huo mmea ambao una ua kama la zambarau unaitwaje?. I remember back in the days when we were kids, we used to consume nectar from such flowers. Ina maji maji yaliyo kama na sukari hivi.

Miaka mingi imepita sasa na sioni kama haya maua kama bado yanajiotea kama ilivyokuwa hapo awali.
 

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
41,752
2,000
Mada yako ni nzuri. Kwanza Tanzania Bangi tu wanaita ni Madawa ya kulevya; so hizo Pyschodelics ndiyo kabisa.

Drug Control and Enforcement Authority (DCEA) imeweka Bangi na hizo drugs mind altering kama Madawa ya Kulevya. I found it to be okay kwasababu watz wengi are still sleeping.

Consciousness yangu ilibadilika baada ya kuvuta Bangi for the first time. Nilianza kuvuta bangi nikiwa mwaka wa tatu kwenye somo la Pharmacology nikiwa nchini Ufaransa kimasomo. Tulishauriwa pia na mwalimu wetu.

Ilinisaidia sana kwenye meditation, spiritual transformation and transcendence. Huwa ninavuta bangi only when I want to reconnect my soul with the universe itself, naweza kukaa 5 years bila ya kuvuta.
-
When I feel losing my faith , I Smoke to regain the transcendence through meditation practice and astral projection, feeling the death itself.
-
I love the experience, brave and creativity in it . However, if you keep smoking too much na mara kwa mara , it has a lot of side effects; so you have to be really desciplined to monitor yourself na ikiwezekana uwe na technical personnel
-
Kama hujawahi kutumia Bangi, never use psychedelics substance; it is very dangerous .
-
Nilipata bahati ya kwenda Amazon to experience Ayahuasca ambayo siku hizi unaweza kuipata kwa Pharmaceuticals.

Wao wanatengeneza na kuwa kama mbege fulani hivi, wanatumia magome ambayo yame contain DMT ( N N Dimethytriptamne) kisha wanachanganya na majani yaliyo contain MAO(Monoamine Oxidase Inhibitor. Hii ni enzymes inayoenda ku digest zile contents za magome na kuifanya brew kuwa absorbed Orally na active.
-
Kwa kweli my first experience chini ya guidance ya mzee mmoja wa huko huko alietambulika kwa jina la Bob siwezi kuielezea.
-
I saw things I cannot explain , but I came to realize that there is more than what we think.
-
Nikapata uwezo mkubwa wa kuelewa mambo and changing my perspective in so many things : Nikaanza kuitazama dunia as it really is , not as I was conditioned to see it.
-
I saw my death ; and realized that there is something bigger than myself ,bigger than I am . I am as I am. I am I am, I was I am .... I will be I am.

I actually died, I became more aware of my existence; it was a radical change of my consciousness behind this world as well as insecurities of the eternity.
-
I came to realize Buddha teachings are more meaningful and closer to truth of existence.

I appreciate Cannabis and Pyschodelics Drugs; and I advise that every human being should have smoked and use these mind altering drugs once in his life time to awaken the sleeping energy.
-
Watu wengi wanakufa bila ya kujua how powerful they are. It is so painful to see that, kuna wakati nilijuta why niliamsha hii sleeping energy, maana nikaanza feel so sorry to others, to animals . I also had to stop eating meat. Huwa i feel so offended kuchinja Mnyama for my food.

It is so painful to awaken the energy of consciousness ; but is is very good to awaken for future endeavors.
-
The Pyschodelic drugs make you realize that the one looking at you through my eyes , and the one looking at me through your eyes is the same one. The same to everything , to animals, trees, chair , tables etc etc

Ni kweli kabisa hizi drugs zinaenda ku awaken human consciousness, it makes someone more aware and fearless which makes it more difficult for the government to control such citizens. And that is the reason they are illegal.
Duhhh para ya mwisho
 

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
41,752
2,000
But they are not drugs.

Swali lako ni sawa na kuuliza kwanini natumia dawa nikiumwa wakati About 40% ya dawa yenyewe ni sumu.

Paracetamol ni dawa tunatumia sana kwa maumivu, lakini je tunajua madhara yake Kwenye ini? Na ukizidisha dose unakufa. Just meza vidonge 20 vya Acetaminophen( Paracetamol) uone kama hatumuokoti Mtu.

Au dawa ya pressure kama Hydralazine, it can cause tachycardia leading to heart failure, Fluid Retention leading to oedema etc etc but ndio dawa watu wanameza.

Siku hizi magonjwa kama ya Figo, kisukari Ini yamekuwa mengi, the reason behind ni madawa tunayotumia when we are sick.

You should ask pia kama tunatumia dawa kwa ajili ya kupona, why tena zinatufanya sick zaidi.

You treat diabetes you end up in high blood pressure, diabetes haijapona tayari umeshajiongezea na pressure.

You treat Obesity you end up in
diabetes.

You treat cholesterols you end up
In heart failure and kidney disease. Figo imekufa unaanza balaa la kwenda kila week Hospial kufanyiwa Haemodyalisis. Na ukija bima wanakwambia hii haipo kwenye bima hii huduma, lipia..... my friend unapotea.

You get the point
 

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
41,752
2,000
I Agree. Wakati nipo TZ, kuna rafiki yangu alikuwa addicted na Cocaine , yeye alikuwa akisoma medicine pale MUHAS.

By the time nimerudi TZ, naambiwa bana jamaa kawa Teja. Nilistuka sana.

Nikamfuatilia nikaambiwa yupo methadone center fulani hapo Dar.

Nilikuwa najua watu wote wa Methadone.

Asubuhi yake nikamkuta kweli, kumuona akastuka, akataka kunikwepa. Nilimwambia nimekuja kwa ajili yako.

Baada ya kumeza ile solution yake , nikaondoka nae .

Nilimfanyia Consultation ya maana. Nikamwambia nataka uache kwenda methadone for a week, you have to trust me.

Yeye akawa anaogopa kuacha maana uki miss siku tu jamaa wanaweza kukutema kabisa. Ni lazima kila siku uende na usaini kuwa umekunywa methadone.

Akanielewa, nilikuwa na Ayahuasca yenye DMT na MAOI from overseas na kwakua I came for Special task maramoja.

Nikamuanzishia the smallest dose kwa interval ya siku tatu tatu. Ndani ya wiki mbili nikapunguza dose ya chini kabisa then nikastop.

Nikamwambia vipi,do you still need methadone ? Baada ya wiki nikahakisha Ayahuasca imetoka kabisa ndani ya mwili wake, nikamwambia nenda Center waambie hutaki tena Methadone Sababu wewe sio teja teja and you are fine now .

Alipoenda wakampima pima. Wakamuuliza mda gani hujatumia methadone akasema wiki tatu, wakamwabia ili uache unatakiwa kuja kila siku hapa kwa Muda wa siku 14. Bila ya kutumia chochote ili tufanye observation.

Jamaa akaanza hiyo safari. Na alibadilika, akawa anafanya mazoezi asubuh na jioni.akawa anachomekea looked very smart.

Jamaa wakaprove huyu kapona without knowing how could that be so quickly.

Wakamuomba afanye kazi pale ya kushauri wengine na awe kama mfano.

Nikamwambia NO, rudi shule kasome.

Akabadili na Course. Akasoma Accountant pale Uhasibu maana MUHAS walishamtimua.

now anafanya kazi moja ya Bank kubwa TZ kama Afisa, na alinisaidia sana Kwenye biashara zangu wakati nilipokuwa nahitaji huduma ya kibenk.

amekuwa ni Mtu wa Mungu full maushauri kwa watu na anaonekana he is very bright.

This is true story I am telling kwa hakika.
Always nashauri Culture Conditions ime create condition kubwa snaa kwa uwezo wa maisha yetu. Imemaliza uwezo wa kufikiri na kutuaminisha kuwa mazuri ni kwa wenzetu tu . Na kama huna great endeavors hatuwezi kutoka katika hiyo enslavement ya tamaduni zetu. Funguo ya break our limitations created by culture conditions tunazo, ni namna ya kutumia funguo ndio inahitajika.


Wengi wanakufa na inner secrets zao bila ya kuzi reveal. That is the worst part . Yaani watu wapo duniani kama
Mizoga waiting for their deaths.

Unaamka asubuhi, una enda haja kubwa na ndogo, you take shower, unaingia kwa IST yako , you go to work . Unakunywa chai , unamaliza kazi , una rudi home. Unalala. Asubuhi unaanza cycle ile ile.

Jmosi utaenda church au msikitini. That is our cycle till death.
So sad
 

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,699
2,000
View attachment 1710141 View attachment 1710143 Mimi Naulizia mbegu za hivi vitu kama naweza kupata Bongo

Ukikutwa na huu mmea ni ishu kwako. Yaani lazima utoe maelezo ya kutosha wewe kumiliki mmea. Ila Mbegu zipo na sio lazima utoke nazo Bongo. Mimea kama hii ipo but ni kwa ajili kujifunza zaidi nasio vinginevyo. Nadhani pia unqfahamu huu ni mmea gani. Mmea wako huu unaitwa Papaver Somniferum ; ambao in the process utomvu wake ukikaushwa unaenda tengeneza Cocaine. Sasa kaka huu mmea wewe wa nani .

Kumbuka hapa tunajadili zaidi kuhusu Psychedelic Yaani Mind Revealing Plants na sio Mind Altering Drugs.
Cocaine ni
Hard drugs, nimeeleza pia Mimi naita Cocaine kama Devil in the chemical form . Never try, you will not get any Transcendence: utapata ile stem ya 5 mins tu... after that utakuwa umeandika Historia mpya ya maisha yako Yaani safari ya kuelekea to HELL
 

Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
6,227
2,000
Mkuu nikihitaji hiyo kitu ( Psychedelic Divine Plant )
Naweza kuipata wapi? Nahitaji kuamsha The power within ikiwezekana kwa haraka iwezekanavyo
Ukiyachuna majani ya jamii ya katani, mpaka milimita chache kwenda ndani, kabla ya kufikia uweupe na kuchemsha mchanganiko huo halafu ukanywa, baada ya muda utaanza kutembea (hallucinogenic experience). Ila usifanye bila mwongozo wa mtu anayejua hayo mambo. Unaweza kupata safari mbaya itakayofanya mapigo yako ya moyo yaongezeke (hata kufikia 140bpm) na kuanza kupata panic attacks.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom