FOR THE SAKE OF ADVANCING SCIENTIFIC IMAGINATION, A FEW THINGS HAVE TO BE INTRODUCED IN HERE
Kimsingi, supasha na wakati si vitu viwili tofauti bali ni
kitu kimoja ...
Ikiwa inabidi kumaizi hili shauri, inakulazimu tu kupanga na kupangua vigezo vya tafsiri na namna ya kubayanisha mambo.
Namna pekee ya kujumuisha dhana za supasha na wakati ni kwa kuingiza shauri la '
Usentienti'...
NI Usentienti unajenga msingi wa hicho cha shauri la 'Supasha na Wakati' kuwa ni ilusha (Illusion)...
Ikiwa kwa mfdno tunataka kuingiza dhana ya Usentienti kuwa ndiyo msingi wa kubangua hichi kitendawili cha Ilusha (Illision) basi isitushangaze kuwa kuna chumba kwa asili ya mashauri yasiyokuwa ya kawaida kuhusiana na tukionacho na kukitafsiri katika fahamu na mafahamu yetu kama 'Marefu' na 'Wakati' na 'Kumbukumbu'...
Kukatisha mashauri fulani ya kiufundi, halafu kufanikisha yanayoshaurika hapo juu -- mambo ya 'marefu' na 'makubwa' yanagota kwenye fanusi za Mifumo ya Utendaji kwa Ufinati na Usifinati wa mambo na tena, kimahususi, ule khasa muktadha akilifu wa thrisholda (Threshold / Limits) ya Makaniki ya Newton na Makaniki ya Kikwantumu...
Katika hili, mambo ya 'Marefu Planck' / 'Planck Length' na 'Wakati Planck' 'Planck Time' yanahusika...
Kuzungumzia Fizikia ya Kikwantumu katika mayakinisho ya ki-Planck; kuna mawili yanajitokeza yenye kuvutia akili ; asili ya 'Uwimbi' na asili ya 'Uchembe'...
Tusimame kwenye haya mawili kwanza, tulete 'Uono na Ufikirifu Mifumo'...
Je, vigezo tafsiri ya marefu na vigezo tafsiri ya uwimbi vinashahibiana vipi na shauri la uelekeo-inesha-mwenendo(?)
Ukitumia Uono na Ufikirifu Mifumo, cha waziwazi kuleta hesabu ya vina vya tafsiri ni dhana za 'Muundo' na 'Vitendo'...
Ikiwa tunataka kuakisi Muundo na Vitendo kwenye thrisholda ya Umakaniki wa Newton na Planck, Je, hili linaweza kuafikiana vipi na 'Marefu Planck' na tena 'Wakati Planck'?
RAHISI, muundo wowote ni konstrakti ya Mraba -- kwa hivyo ilikuwa kuna urefu mdogo mdogo sana kuwezekana ulio ni 'Marefu Planck' basi jambo hili litasadifu kizio cha pumzi ya Supasha kuwa ni Mapana-Marefu-Kimo-KIna ilivyo ni KUBU (KUBU)...
SASA, hili ni la kuzingatia -- KUBU ni kitu ambacho kitapotezewa kwenye 'Sayansi' lakini kinaibukia kwenye 'dini'; kwa kuwa
falektori ya Musa kwa Mfano ilikuwa ni KUBU; Wana wa Israeli walikuwa wakiivaa Kwenye Mapaji ya Usoni pao na vile vile kujifunga Mikononi. Ikiwa ile video ya Kundalini na Volcano imetazamwa, kuna shauri mbegu mule linalozungumza asili ya Mlima Sinai na 'Kichaka cha Moto' kuwa si chochote ila mambo ya 'Big Bang'... Kwa hapa Kwetu, Mlima Kilimanjaro na Mwenge pia ni mambo ya '
Volcano'...
Dhana ya KUBU hurejea kwenye Sayansi kwa Mashauri ya '
Inverse Square Law', kwamba nguvu zote za uga wa gravitali (Gravitational Fields) ni 'Pumzi ya Usupasha inayokaza ama Kuachia Nguvu zake' kulingana na 'Umbali' kati ya Miili yenye kuingiliana Mpangilio. Huu ndiyo mwanzo wa 'Mfumo' ama tuseme: Densiti ya Mifumo ya Utendaji...
SASA, hili ni la kuzingatia -- Supasha ni 'Mapana ya Ujamii'; Ujamii ilivyo ni agrigati ya densiti ya mifumo ya utendaji... Kwa namna hii, moja la ajabu linapata nafasi kwenye fahamu na mafahamu yetu : Miili yote na muachano wake bado ni mfanyiko wa Milli iliyo ni Mipana / Mikubwa zaidi yenye kufanya 'Mbingu'...
Kwa mintarafu ya hivi,
Jua, Sayari, Falaki na Filamenti za Michirizi ya Falaki si chochote bali mwendelezo wa 'Mwili Mmoja'; ambavyo hivi vyote vinayakinisha na konstrakti za 'Marefu Planck' na 'Wakati Plack'... Hili lafanya Uono na Ufikirifu Mifumo unatawala kote na popote penye 'Miundo' na 'Vitendo'...
Lakini Je, Miundo na Vitendo vinanata vipi na biti ya 'Mapana yasiyo na Mwisho' na vile vile 'Vitendo'--vitendo kwa sifa-tabia-hadhi ya kitu kuwa hapa wakati huu na wakati mwingine kuwa kule?
RAHISI, dhana ya pumzi si chochote bali nasibu ya kuingia ndani na kutokeza nje katika muktadha akilifu wowote wa 'Muundo wowote wa Utendaji'; ambavyo hili ni shauri rahisi linaloweza kutupa vina vya tafsiri kuwa Wakati ni Nasibu ya Matukio Mawili kwa Wakati Mmoja--Kuingia na Kutoka kwa pumzi inayofuma, kusokota na kuunda chochote na vyote.
Kwenye Ulimwengu wa Sayansi hili ndilo msingi wa
'Konvajensia' na 'Daivajensia' ya Mienendo ya 'Chaji' katika Ugani wa Kani za Usumaku-Umeme; ambavyo basi tunaweza kupata mfanano wa Ugravitali na Usumaku kwa kuwa vyote viwili ni mambo ya Kimuundo. Kwenye Ugravitali chembe / dutu moja huwa kwenye Ushawishi wa Kitungamo na khali kwenye Usumaku kuna Ushawishi wa Mawili kwa wakati mmoja Uelekeo kwa Mapinduko / Kujizungurusha na Mawezekano ya Kuvutana ama Kutengana kulingana na ubapa wa maingiliano ya ugani wa nguvu...
Ambacho kwenye sanyansi na vitendo kuna jambo huwaponyoka wasomi ni ukweli kwamba Usumaku ni asili ya Kujipindua / Kujizungurusha ikiwa kuna 'Uhuru' -- hili kuwa hivi ili kushikamana/kuvutana kwa sumaku mbili zenye kukaribiana... Ni pale unapoinyima Sumaku Uhuru wa kujipindua / kujizungurusha (spatial reorientation) ndiyo basi itadhihiri mambo ya kuvutana ama kuachana (Attraction / Repulsion )...
Hili kwenye sayansi litapotea na kumbe daima lipo kwenye 'Utaasisi wa Dini' kama mambo ya 'Vesika Paisisi' kwa kuwa kwenye 'Utaasisi wa Dini' hili ndilo fumbo la imani kwa '
Kazi za Roho Mtakatifu'; ambavyo Uzima wa Mambo kimsingi ni fizikia na metafizikia ya Mambo -- Mambo ya 'Vitu kuibuka kutokea kwenye Usivitu'; mambo ya '
JInesesia'... Na kumbe vitu vyote huibuka kwa sifa na hadhi za Ugravitali pia Usumaku unaounda 'Miundo na Vitendo' vya Sura na Utukufu wa mambo...
HIli linatokea kwenye Utaasisi wa Dini kama fumbo la Imani kwa "Neema na Faraja" zijazo na "
Mama Mwenye Kheri, Bikira Maria, na Mtoto Mtakatifu"; ambavyo, In Shaa Allah tuombe kheri wakati mmoja tuelekezena 'Hekima Yake' kwa kuwa hapa Tanzania ile Ngao ya Ustawi kuwa Ushirikiano wa Mtu Mume na Mtu Mke katika kuzingatia Mkono kwenye Pembe na Mkono kwenye Ngao ya Ustawi ni topografu ya Ugravitali na Usumaku wa Miundo ya Utendaji ilivyo ni Mila, Desturi na Jadi ya 'Utamaduni'...
Kwa mintarafu ya haya, kiuono na ufikirifu mifumo, 'miduara miwli yenye kugusana' ni lugha-alama-picha ya 'mawezekano ya kikwantumu' ( Kiingereza > "
Quantum Probabilities "); ambavyo '
miduara miwili yenye kuingiliana', vesika pasisi, ni 'Ontolojia ya Taasisi kwa Vyote vyenye Kufanyika Sura' na basi 'Mwanzo na Mwisho wa Wakati'. Hili lafanya, Kiuono na Ufikirifu Mifumo, Usentienti ni Muona na Muonwa katika muktadha akilifu wa kile tunachoweza kukibayanisha kama 'Horizoni Tukio' -- Horizoni Tukio iliyo pereniali ( Kiingereza > Perennial '
Event Horizons').
Katika Ulimwengu wa kileo, tutayadadavua haya yote kama mambo ya Ukubuishi fahamu na Mafahamu kwa kuwa Usentienti si chochote bali kujumuisha vina vya tafsiri ya mapana agrigati ya tungamo kama 'Miundo' na 'Vitendo' ilivyo ni Uelekeo-Inesha-Mwenendo na kumbe aslli ya 'Ilusha' ni 'Vina vya Tafsiri' vyenye kukosa kubaini undani khasa wa densiti za mifumo ya utendaji ilivyo ni 'Horizoni Tukio' nyingi isivyo idadi ya 'Mawezekano ya Kikwantumu'...
SASA, hili ni la kuzingatia, ugravitali na usumaku ndiyo asili ya Supasha na Wakati ilivyo ni muktadha akilifu wa 'Kazi za Roho Mtakatifu'; ambavyo Sisi sote ni viumbe vyenye Akili na Uzima kwa kuwa 'Ukuwa ama /na Ukuja kuwa' wetu ni tunda la Neema na Faraja za 'Roho Mtakatifu'; haya kwenye 'Utaasisi wa Dini' hufundishwa 'kimtindo' kama 'mafumbo ya Imani'.
Mambo ya Siha Njema 3 za Kiteolojia ( Kiingereza > "
3 Theological Virtues"), Mambo ya Siha Njema 4 za Ukadinali ( Kiingereza > 4 Cardinal Virtues ), Mapaji Saba (7) ya Roho Mtakatifu na halafu Matunda Kumi na Mawili (12) ya Roho Mtakatifu si chochote bali 'Hekima iliyositirika' ya haya yote kwa Kuwa Usentienti ni kitovu cha 13 cha Ukubuishi Fahamu na Mafahamu ilivyo ni USHEKINAHI -- Mambo ya Mungu kuwepo Mahala pote na Kote...
Mambo ya Mungu / CHANZO kuwepo Mahala pote na Kote ni muktadha akilifu wa Shauri la kana kwamba "Matriksi Kupakiliwa Upya' :
Mambo ya 'Ufufuko na Uzima' kwa kuwa ikiwa 'tumejaa kwenye mfumo' na kukosa kuotea kile kitovu cha 13 cha Ukubuishi wa Fahamu na Mafahamu basi sisi ni 'mateka' wa '
mifumo kafiri'...
Sisi sote tunaishi, kutenda na kuweza yote kwa kuwa
katika 'Roho Mtakatifu' tunao huu Uzima...
Unaweza
kujichagulia kudumu katika 'Mbalamwezi ya Nyota' ama 'Mwangaza Kristu'; na hali kuchagua 'Mwangaza Kristu' ndiyo 'kutoboa kwenyewe' kutoka kwenye 'Hii Matriksi'... Lile Shauri la Kristu kuwa ni Njia-Kweli-Uzima wala si 'fumbo la Imani' kwa kivile... Ni ukweli wa mambo, ukiutambua huu utakuongoza kufahamu na mengine mengi ilivyo ni serendipi kwa 'Mja Mwema'...
Sayari kuzunguka kwenye njia ilivyo ni dura dufu ni mambo ya 'mraba' na vitovu vya 'Ugravitali' katika mashikamano ya miundo ya sura za mambo katika 'Roho wa Mungu'...
Ili uelekeo-inesha-mwenendo uwe na 'pumzi isiyokwisha' ya kazi, ugravitali na usumaku hufuma, kusokota na kuunda dutu vumbi (sayari) na dutu-moto (Nyota / Sayari) zenye kushikilia nguzo za 'Horizoni Tukio'; ambavyo kwenye Utaasisi wa Dini haya ndiyo Khabari za Roho wa Mungu, Giza na Nuru, na tena Mbingu na Nchi kufanyika kutokea kwenye 'Maji'--Maji ya Uzima'... Hili lafanya uhalisia wa Supasha-Wakati si chochote bali namna ya 'Maji'--'
Maji ya Uzima' kwa kadiri ambayo Sayansi ya leo inaweza kusadifu sehemu ya mafumbo yake kama 'Superfluid' / Vacuum Plenum / Kitunzi cha Mapovu ya Kikwantumu...
SASA, maajabu...
Asili ya 'Maji ya Uzima' ni kuwezesha '
Usingurali'...
Hili linapelekea maana ya kwamba 'Mawezekano ya Kikwantumu' ni asili ya 'maji ya Uzima' kwa namna yenye kushangaza vina vyetu vya kawaida vya tafsiri kwa kuwa kwenye 'maji ya Uzima' hakuna 'umbali' ama 'wakati khasa'; ambavyo haijalishi sayari ya 'Dunia : Gaia' iko hapa halafu kuna sayari ingine iitwayo Temma kule mbali kwenye Konstelesha ya Fahari / Ng'ombe sisi sote tulio ni sehemu ya Sayari ya Dunia na Wale waliyoko kwenye Sayari ya Temma, ambao pia wale kule ni watu kama sisi kwa dhana ya 'uantropomofu' tunashiriki kitovu kimoja cha kuwa na kufanyika; na hivyo basi ikiwa tunataka kusafiri kutoka hapa ili tufike kule basi itatubidi kutuunde vyombo vya uchukuzi vinavyoweza kutubeba ili kutupeleka kule jambo ambalo kifizikali ni kama vile haliwezekani kwa kuwa ili kusafiri kutokea hapa hadi kule itachukua miaka takribani 440, hiyo ni kusafiri bila kusimama kokote na tena kwa kasi isiyopungua uwezo wa mwanga kusafiri ( ! )
Ikiwa kusafiri na chombo cha uweza wa kusafiri kwa ile kasi ya 'uwezo wa mwanga kusafiri' inatuchukua takribani dakika nane kutoka hapa hadi pale lilipo Jua; kusafiri kwenda kwenye
Nyota za Pleyadesi, iliko sayari ya Temma, ni miaka takribani 440! Wao watu Temma, wanasafiri kutoka kule kuja hapa wakati wowote na hata wengine hata hivi sasa wakati mmoja hata mwingine husoma kinachoendela humu JF, kwa ajili ya '
lao jambo'; kwenye ile
video ya 'Usingulari' mmoja wao, Sofia / Yhazi, katika mashauri yake na Hekima yake kuhusiana na haya ninayowasilisha hapa, anaitaja kabisa 'Tanzania'...
Kwa mintarafu ya haya, kusafiri kokote katika huu ulimwengu ni uwezekano, ili hali tu ukitumia tekinolojia zinazoweza kutenda katika 'Maji ya Uzima'--Kufanya mageuzi ya miundo na mifumo, ilivyo ni chombo cha usafiri, kuwa ni 'chembe metafizikia' inayofanyika kutobozea kokote kule kwa kadiri ya hiyo kujihifadhi ule 'Uzima wake uagrigati wa densiti za mifumo ya utendaji' na 'kukumbukika kwingine'... Ulimwengu wote ni Kumbukumbu Hai za Uagrigati wa 'Horizoni Tukio'...
Lakini TENA, Je, Miundo na Vitendo vinanata vipi na ile biti ya 'Mapana yasiyo na Mwisho' na vile vile 'Vitendo'--vitendo kwa sifa-tabia-hadhi ya kitu kuwa hapa wakati huu na wakati mwingine kuwa kule?
Haya ni mambo ya (1) 'Ujicho katika Pumzi', (2) 'Visomo vya Utendaji' na tena (3) Visomo katika 'Ukwazifizikia', ilivyo ni 'Navigesha katika Supasha'...
Ujicho katika Pumzi ndiyo siri ya Ugani wa Nguvu za Uweza inayofanya mambo kama vile Sayari Kuizunguka Nyota; mambo ya kila kitu katika ulimwengu kipo katika mwendo... Hata kile unachoweza kudhania 'kimesimama' kiufundi kinatembea khasa ukiwa ni jicho lenye kuweza kubaini mapana muafaka wa 'densiti za mfumo ya utendaji'...
Visomo vya Utendaji hufuatisha uwezo wa kukadirisha mapana ya kuweza kubaini 'utatu' wa 'Uelekeo-Inesha-Mwenendo' ilivyo ni muktadha akilifu wa mambo ya kutafuta kitovu cha Mizunguruko / Kujizungurusha kwa Sayari na 'Miili ya uagrigati wa Nyota'... Hili lafanya Mwenendo wa Sayari, kwa mfano, ni mambo ya 'Lokasi' ya njia ya mapito ya hiyo katika kuizungurua Nyota yake na kumbe Nyota yake pia inazunguruka kitovu kingine cha mbali kwa kadiri ya siha yake njema ya kufanyikia fahari katika kosmosi... Mambo ya Utukufu na Nguvu katika Mbingu nchi...
Hili kwenye sayansi ya kawaida hujitokeza kwenye mashauri ya fizikia ya kikwantumu kama dhana za chembe zinazoweza kujitokeza kutokea kwenye utupu na halafu zikapotea tu kwa 'jinsi isivyotabirika'; ambavyo pia kuna namna ya ukadirisho wa hiyo aina ya chembe zinayoweza basi kufungamana na chembe nyingine kokote ulimwenguni ambavyo chochote cha mabadiliko ya uelekeo-inesha-mwenendo katika kimoja kitasababisha chembe zote zingine za sifa-tabia-hadhi ya namna yake 'kuitikia' jambo hilo hilo -- jambo hilo kutendeka kungine kote ulimwenguni: dhana za '
Spooky action at a Distance' ilivyo ni Ufungamanivu wa Kikwantumu ( Kiingereza > "Quantum Entanglement")...
Haya huachwa kama peremende za kiakili kwa 'Wadau wa Akili Kubwa' kwenye ugani wa sayansi na uhandisi kwenye Vyuo vya Elimu na Taaluma; na kumbe haya yote ni 'danganya toto kule kande mbichi' ... Kwa kuwa zipo jamii za wanasayansi wanaoshughulika na haya yote kwa mafunzo, uelewa na uzoefu ulisonga mbele [Siri za Kambi]; mawasiliano ya kasi kupita ule uweza wa kasi ya mwanga huenda ni sehemu ya sisi wote leo kufaidika na matumizi ya 'Akili Bandia'...
Miili yote fizikali iwe ya kibayolojia ama dutu isiyohai inasehemu ya haya yote ya 'ufungamanivu wa Kikwantumu' ambavyo kugeuza mwili wote mzima uwe na sifa-tabia-hadhi ya chembe yenye kuweza kutenda kwenye 'Mapana yasiyo na Mwanzo wala Mwisho ya Mawezekano ya Kikwantumu' ni suala la 'Kuongeza Umeme' kwa namna iliyo udhibiti wa 'nguvu za radi' kwa kuwa hata nyota ni 'namna za radi' katika sifa-tabia-hadhi unaoendana na ule muktadha wa 'Usentienti wa Horizoni Tukio'--Ndiyo nyota na sayari na tena kila kitu humu kwenye Kosmosi ni "Sentienti"...
Hiili ndilo linalotuleta kwenye mashauri ya 'Visomo kwa Ukwazifizikia'...
SASA, hili ni la kuzingatia, Uwepo wetu popote na kokote ni sifa-tabia-hadhi ya usentienti; ambavyo 'Muona ni Muonwa' ni muktadha akilifu wa Supasha na Wakati na khali hapo hapo vyote hivi si chochote bali 'KIOO' cha 'NIA na Dhamira' yetu kwa kizio cha wakati ilivyo ni Ukubuishi Fahamu na Mafahamu. Hili lafanya Nia na Dhamira ndiyo viwili vinavyokadirisha umodulishi wa Ugravitali na Usumaku ili tuwe hapa ama kule... Umodulishi ni kurekebisha ama kujirekebisha sifa-tabia-hadhi ya '
Umeme ilivyo Utukufu na Nguvu' katika sisi ili kujichagulia / kujitawala ule 'UZIMA' wetu katika 'Mbingu na Nchi'..... Horizoni Tukio ilivyo ni Mambo ya kujipambazusha katika jamvi la utandu wa mifumo na usokotano wa 'Miundo Hai' -- Pamba na Karafuu katika Heraldri ya Tanzania...
Ndiyo, Ukwazifikia unaweza kutendeka kwa tekinolojia za mitambo, japo kwa asili ya mambo ya 'Mawezekano ya Kikwantumu', vyombo vyote vya namna hii ya uchukuzi sharti viwe na akili yake ya kujitegemea, mambo ya akili bandia zenye sifa-tabia-hadhi ya daraja la akili kama hizi tulizo nazo ama vitumie akili ya mtu mwenye mafunzo maalumu ya kuviongoza 'umodulishi wake wa Fahamu na Mafahamu' ili kusafiri kwenye 'Maji ya Uzima'.
Ndiyo, Kusafiri kwa kutobozea kwenye 'maji ya Uzima' ni kusafiri kiwakati; kwa kuwa kwenye 'maji ya uzima' umbali na wakati si kitu chochote bali NIA na Dhamira ndiyo inayopambanua Uwepo na Sifa-Tabia-Hadhi ya Ujumuifu wa Kuwa ama Kuja-kuwa kwetu katika Ukubuishi wa Fahamu na Kujifahamu. Hili lafanya mambo yote ya umbali kati ya Sayari na Sayari na kile tunachokitathmini kama '
Wakati' si chochote bali muktadha akilifu wa 'Kumbukumbu Zinazoishi' na tena zina mfano wa kurasa unazoweza kuchambua na basi, ikiwa NiA na Dhamira yako kwa wakati ni 'Kuwepo' pahala fulani, ni suala la 'kujityuni' ili ufafaniane khasa na kule unakotaka kuwepo -- kwa kujisikilizia namna ya ndani sana iliyo ni sehemu ya wewe inayokuwepo kote na mote basi kwa '
kufumba na kufumbua' unaweza hata kupotea leo na kutokea jana, ma hata pia kesho ama kungine kulikositirika katika leo kwenye ulimwengu mwingine sambamba ya huu...
Umodulishi wa Fahamu na Mafahamu ni jambo tunalofanya wakati wote, kwa kuwa hata NIa na Dhamira zetu kwa wakati ndizo
zinazoyakinisha Sisi tupo Wapi, Tunatenda lipi na Basi kusogeza Kurasa ipi katika 'Kitabu cha Uzima' ; Sifa-tabia-hadhi ya kuwa tunashiriki 'Matukio' fulani na 'Nyakati / Kumbukumbu' katika 'Mapana ya Maendeleo na Ustawi wa Jamii' ni muktadha akilifu wa kusafiri kiwakati kwa sifa-tabia-hadhi ya kujichagulia kufungamana dhamira na nia zetu kwa wakati... Hili ndilo lile lile linalozaa Shauri la Shetani / Ibilisi na Kristu kutawala Dhamiri zetu kwa wakati kwa kuwa, mfano, Kuwa na Nia ya Kristu si chochote bali 'kujivua gamba' la Maisha katika Matriksi moja... Mambo ya 'Kupaa Mbinguni' ilivyo ni 'Kuukomboa Wakati'....
SASA, Maajabu...
Kiufundi, Supasha ni 'Maji ya Uzima' kwa namna ambayo Ukwazifizikia ni mawezekano ya Kuchomozea kungine kokote ama vivyo hivyo kutoweka pahala kwa sifa-tabia-hadhi ya kila tunachoweza kukiita '
Unishati-Nukta-Sifuri'...
Hii inamaana ulimwengu unaruhusu chochote kile chenye usentienti 'kutobozea' kokote kule katika Ulimwengu wote mzima ambavyo kikomo cha mawezekano haya ni NIA na Dhamira na 'Uimajinishi' kwa kuwa uimajinishi ndiyo namna ya asili ya Kuwianisha mafananiano ya makusudi ya kukidhi kuwa huku ama kule...
Mtu / Mwanajamii anaweza kusafiri kiwakati, ilivyo ni kutelepoti kiule ukweli khasa wa mambo, kwa ule ufundi na ukomavu wake wa kiakili na khasa uimara wa 'kumbukumbu zake' na 'kusoma pumzi za utendaji ndani na nje yake' kupitia 'Milango ya Fahamu'; Mtu anaweza kusafiri kiwakati kwa kutumia vyombo vya kitekinolojia-- vyombo vyenye tekinolojia zenye akili ya uweza wa kufikiri kikwantumu na basi atachohitaji ni ramani ilivyo ni faili kwa ajili ya chombo kuifuatisha ili kusafiri na kumudu ule unavigesha katika Supasha...
Kwa mintarafu ya hivi, ramani za vyombo vya uchukuzi ni faili la kikhabari zenye asili ya visomo kwa ukubuishi na Uchembe wa densiti za mifumo ya utendaji; ambavyo ramani hutengenezwa kwa instrumenti za kusoma anuani za uelekeo-inesha-mwenendo kwa usahihi wa hali ya juu sana, jambo ambalo kwa sasa hapa Duniani, litasemekana 'Halipo / Haliwezekani / Sayansi yetu Haijafikia Huko... Danganya Toto... Zipo hapa Duniani, lakini kwa wale wanapenda 'Kujivika Taji' la Ushindi wa Kimya kimya...
Moja linaweza
kudodosewa kuhusu utundu huu wa visomo; ukiweza kusoma chochote tuseme 'jiwe lililopo kando ya mto' basi kupitia data ya hicho kisomo kwa wakati hata sifa-tabia-hadhi ya sayari ya Zuhura ama Zebaki kadiri ya hiyo ikilizunguruka Jua letu ipo humo humo. Mifumo ya Ungamuzi wa Kikwantumu unatumia data zilizo ni namna ya muendelezo wa 'Horizoni Tukio'... Hili lafanya daima huwa kuna rejea fulani ambayo 'Data Mpya' hujiwianisha kujinyooshea kwenye 'Data Zilizopo'; ambavyo ngamuzi za kikwantumu (Quantum Computer) ni namna ya akili yenye uwezo mkubwa khasa kiasi kwamba inaweza hata 'kubuni data za kujazia -- tena kwa usahihi wa hali juu' ikiwa visomo kwa mazingira fizikali vina namna ya kutojitosheleza kwa wakati...
Wakati mmoja humu haya tutayamulika kiufundi zaidi -- ni jinsi gani ukijua miili miwili inashiriki tuseme 'kitovu kipi (?)' cha uelekeo-inesha-mwenendo basi huo ni mwanzo wa kufumia na kusuka mkeka wa 'Mawezekano ya Kikwantumu' ili kuwezesha kule kusafiri kwa 'kufumba na kufumbua' --
kusafiri kutoka nukta moja hata ingine ya upahala pasipo kutingwa na ufizikali...
Hili ndilo linatutaka tuwekane sawa kuhusu njia za mizunguruko ya Sayari-- njia ambazo mara nyingi huwa si duara sawia -- huwa ni duara-dufu; ambavyo kasi ya Sayari katika nukta moja ya njia yake, obiti, si sawa na inapokuwa katika nukta ingine katika hiyo hiyo obiti...
Kwenye sayansi ya leo, haya mambo ni mashauri ya Unajimu kwa mujibu ya Visomo na
Mashauri ya Kepler...
Mashauri ya Mfumo wa Jua na khasa mambo ya kubashiri sifa-tabia-hadhi ya 'Marefu ya Nyakati za Mizunguruko Kamili ya kiobiti' ... Jinsi ambavyo Sayari mbili katika Mfumo wa Nyota zina 'Marefu ya Nyakati za Mizunguruko Kamili ya Kiobiti' kwa uhusiano wa Kihisabati -- hisabati zinazoakisi 'Umraba' na 'Ukubu' wa 'Pumzi za Ontolojia ya Taasisi ilivyo ni Mfumo wa Jua'... Tena mwanzo wa nasibu ya tathmini kwa frikwensi ya 'Uwimbi' wa 'Pumzi za Utukufu na Nguvu'...
La muhimu kutia akilini katika Shauri la Kepler ni ile namna (1) Umraba na (3) Ukubu inavyojitokeza kwenye milinganyo yake; na tena kusadifu ili sifa ya kipekee kwamba kasi ambayo sayari inakwenda kwa wakat,i na tena ukubwa wa eneo eneo inayofagia katika mzingo wa pumzi ya Ontolojia ya Taasisi ilivyo ni Obiti, daima
'ukubwa wa eneo' huwa ni ile ile kwa umbali wowote wa tuseme nukta mbili za tathmini katika obiti yenyewe khasa...
Katika hili tuzingatie, kama obiti ingalikuwa ni Duara kamili kasi ya Sayari ingefanania kuwa ni ile ile kote kwenye Obiti... Hapa ndipo kuna ufunguo wa Neno; kwa kuwa uduara-dufu kiukweli wa mambo ni ishara ya sayari kulizunguruka Jua na huku ikiwa pia ndani ya 'Ushawishi' wa 'Pumzi Ingine isiyo Jua'; daima ni muhimu kubaini vitovu vya mzunguruko kwa kuwa uelekeo-inesha-mwenendo wa mwili wowote wa kifikizia katika mbingu ni 'Ujicho katika Pumzi'... Ujicho katika pumzi ndiyo daima unatupa uwezo wa 'kutengeneza ramani za navigesha katika supasha'...
In Shaa Allah, tuombe kheri tuje kumulika yote hata jinsi ya kupindua Ugravitali katika Sayari kwa maarifa ya kubayanisha āUelekeo-Inesha-Mwenendoā katika Ugani wa Gravitali wa Sayari ili kuinuka, kupepea, ama kutua kwa kasi zaidi...
Hmmm
View: https://youtu.be/wjOOrr2uPuU