and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
- Thread starter
- #21
SALAMU ZA PONGEZI
(Uhuru na Mzalendo)
(Uhuru na Mzalendo)
Unajuaje hana ?!Acha umbeya tafuta hela wewe
Uteuzi rahaMwenye kujua Protocol ya Makamu wa Rais Mteule,
1. Ulinzi?
2. Msafara [Idadi ya Magari]
3.
Huyu alikua tishio hata kwa magu ndo maana magu alimtupaubaloxini mbali huko.Nilipomuona last time ulinzi wake,( na magari) ulikuwa very light-hearted.
Lakini it is unnatural' kuuliza mtu ana walinzi wangapi.
Do you want to harm him?
Inaonekana wewe' ni kijana wa Dodoma, Hadi Zanka unaijuaTanzania Vituko Tupu, Yule Baba Yupo Wa Zanka Ila Fitna Imepigwa Eti Kachoka
Huyu Wa Nyasa Naye Muda Wa Kupewa Hadhi Ya Uteule Bado
Maana Bunge Linapumua Hata Kuvunjwa Bado
Ukipewa utaikataaa hiyo ofisi???😁😁Ulizia na ile ofisi ambayo haipo kikatiba na haima tija yoyote na ni mzigo kwa walipakodi inaitwa naibu waziri mkuu.
Ndio.Ukipewa utaikataaa hiyo ofisi???😁😁
MkuuInaonekana wewe' ni kijana wa Dodoma, Hadi Zanka unaijua