Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 27,175
- 39,493
Ruzoka anaumwa nini hadi akaribie kufa?Huenda uko sahihi, but usahihi wako ni kwa kutokujua
Nafasi za uongozi nyingi ROMA, ni miaka 10, then unapewa majukumu mengine
Pia askofu wa Tabora anaweza kufa muda wowote, kwa hali aliyonayo. Hivyo utaratibu wa kanisa ni kumuandaa mrithi mapema
Hapo awali ilisubiriwa hadi askofu afe au astaafu ndipo mwingine ateuliwe. Lakini kwa sasa, kanisa linaziba ufa huo mapema ili kusiwe na ukosefu wa huduma za kiaskofu jimboni