Prophet Daniel Daniel Shillah ni nani hasa...?

Wahuni wapo everywhere, kwenye siasa, dini na kwingineko; bora huyu hata mavazi yake tu yanamtambulisha kama ni muhuni na Biblia imetwambi, "...kwa matunda/matendo yao mtawatambua" so kwa mwonekano wake tu huyu dogo wa Singida nje ya utumishi wake tu inaonesha ni msaka pesa; well, hebu pitia hapa pia uone jinsi wahhuni walivyo wengi Bukoba: Mahakama yamhukumu miaka 60 jela Ustadh Amoud kwa ubakaji na kulawiti mtoto aliyekuwa akimfundisha elimu ya dini
Rejea pia kumbukumbu zako nyuma ilipotungwa sheria ya ubakaji mwaka 1998, utagundua watu wa namna hiyo walio kua wakijifanya walimu wa Madrasa ndio waliongoza kufanya vitendo vya kishetani na hatimae sheria ikatungwa hiyo ya miaka 30 JELA.
 
Demiss una uhakika kuwa ni tapeli? Wewe alikutapeli nini na alikutapeli?
Bujibuji Kwan vip,mbn kama wewe ndo bodyguard wake,huyu Dogo mm namjua mwanzo mwisho ni muongo Sana anatapeli watu mbn unamtetea Sana?anyway basi sawa
 
Yupo na mwingine anajiita street pastor......... my foot haki tutakoma kwa kweli Mungu tupe uwezo
 
Umasikini ni ufala wako
 
Maradhi yako yanaitwa stereo type. Jitahidi kusimamia u-GT

Vv
 
mwacheni ale bata mnataka bata amle yeye? kwa kuwa tumekuwa wavivu wa kufikiri wacha tuibiwe tu kufikiri kwetu kumesababisha tukose maarifa.
 
tunahitaji kujifunza jinsi gani tunaweza kuwasiliana na MUNGU naye akatatua matatizo yetu kwa upendo na amani vinginevyo tutakutana na kalama za majini tusipoangalia.
 
Basi shetani akamwambia tena Kristo... Nisujudie nami nitakupa milki yote chini ya dunia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…