Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,485
MMK Sema na hapa mzee wa kuruka vihunzi.haya alisema nani?
"..Hofu yangu ni kuwa kama Chadema inataka kuendelea kuwa "wafunuaji wa ufisadi" inatakiwa iendelee kuwa upinzani na siyo utawala.
Kama inataka kuwa mtawala ni lazima ianze kufikiria katika fikra za mtawala mtarajiwa. Maana yake ni kuwa ianze kuchukua vitendo vya kiharakati na mkakati kuonesha kuwa iko makini katika vita hii dhidi ya ufisadi. Haitoshi kuitisha vyombo vya habari kutuelezea ufisadi zaidi au kusimama na kutuambia habari za "panya" walioko kwenye halmashauri mbalimbali. Karibu kila Mtanzania anayejua kusoma na kuandika sasa hivi anajua kabisa kina na upana wa vitendo vya ufisadi..."ref KUTOKAHAPA pg 25.
Mheshimiwa unatakiwa pia uandike responsibly bana sio kunywa responsibly tuu.
kipi siyo cha kweli katika hiyo kauli?