Sidhani kama hapa tunatafuta nani apate credit na nani asipate. Tukijadili masuala hivyo basi mwisho wake ni kutafuta nani ameshinda kwenye mjadala huu na ndicho ninachokiona.Wazo jema kabisa la thread hii lilikuwa kufahamu nini kimembadili Mzee Mwanakijiji maana huko nyuma baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 alipoteza imani na vyama vya upinzani hususan CDM lakini sasa amerudisha imani baada ya reforms mbalimbali ndani ya CDM, kupoteza imani aliyokuwa nayo kwa JK na uogozi wake lakini pia mikakati ya CDM kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
Sidhani kam animeongelea suala la kupewa credits,ila ungekuwa unafuatilia MMK kuna sehemu alikuwa anapambana kwa ajili ya self esteem.Sidhani kama kuna sehemu nimecare kuhusu watu wananipercieve vipi.Mjadala wote nilikuwa nijitahidi mfanya ajiseme mwenyewe,na kwa kiasi kikubwa kajisema sana.So kwa walioweza angalia vyema alichoandika wanapata mengi zaidi ya anayoyasema.
Unazungumzia suala la siri za Mzee Mwanakijiji katika kuhalalisha allegations zako dhidi yake hicho ndicho tunakitaka. Kama unazo zimwage hapa jamvini ili tumjue vizuri vinginevyo umekuwa ukiibuwa madai mazito ambayo yanakosa supportive verifications.
Sidhani kama ni allegions just for the sake,hayo yapo wazi kwa alichoandika ktk hii thread na alichotuambia tukasome kwa vile alikuwa so busy hawezi tutafutia links zake au hata summarize.
Kosa kubwa ambalo naliona kwako na kwa watu wengine ni kuamini kwamba ili kweli uwe mpenda mabadiliko lazima uwe ndani ya CDM, ushiriki shughuli zote kama mwanachama, usikosoe jambo lolote linalotendwa na CDM na zaidi usiwe na msimamo tofauti. Ni lazima utambue kuwa, CDM si Malaika lazima kuna makosa ya msingi itafanya, itakosolewa zaidi na zaidi as far as inataka ridhaa ya kuongoza dola.Kama unaliona hili ni kukidhoofisha chama utakuwa wa kushangaza kidogo.
Sidhani kama ningedhani hivyo kwa wengine halafu mimi mwenyewe si mwanachama.Pia bado hujaelewa nilichoandika.Niliandika kuwa MMK anaamini kuwa CDM ndio mpinzani pekee potential, na anajua watanzania wapo desperate wanahitaji matumaini.Sasa yeye bado anayo stance kuwa yupo mbali na CDM,pamoja na kwamba anajipa sifa kuwa ni mwanamapinduzi, huku mara nyingine akijipa "uana CDM" kwa kutumia neno "TU...." ,na mara nyingine hata huo ushauri haupo , shutuma kali sana dhini ya CDM km adui vile wakati akichangia maeneo fulani, halafu bado anajiita mwana mapinduzi.Wanamapinduzi wa kweli husupport wenzao kwa vile wanaamini ktk umoja.Huyu jamaa amekuwa akiji distance na CDM sana, huku akijipaa role ya mkombozi, lakini hayupo tayari kwa mambo fulani muhimu sana.Logically ni vitu vinavyopingana.
Sioni ni wapi uko tofauti na Mzee Mwanakijiji.Kwanza mnakubaliana wote CCM imechoka inapaswa kupumzishwa, mnakubaliana wote CDM ndiyo chama kilichobeba matumaini ya watanzania katika kuongoza harakati za kuiondoa CCM madarakani lakini pia hata hoja ya Ufisadi mnashabahiana vilevile. Unless kama utakuja na hoja tofauti katika haya hasa ile inayotilia shaka mwenendo wa Mzee Mwanakijiji katika mambo haya.
wengi wangependa CCM itoke,wengine walishakata tamaa kuwa inaweza toka,hawa huon upinzani kuwa unakimbizana bure CCM haitaachia nchi.CCM nao huamini kuwa ni makosa kuwapa upinzani hata kama watashinda(huona upinzani wanacheza) na hii nortiona ndio jamaa anaineza kwa kutumia lugha tofauti.ndio maana alishauri sana watu wa opt for less..Kinaniuma sana.
Tatizo liko wapi hasa? Mzee Mwanakijiji kutaka kasi ya CDM katika kujipanga kuwa chama mbadala cha CCM kwa kuonesha beyond doubt kwamba kiko tayari kumaliza makovu yote ya CCM na kuwahakikishia wananchi maisha bora baada ya hapo? Unaweza sema CCM iondoke sawa itaondoka, then what next? Ndicho anachohoji MMM na ana haki zote za kuendelea na msimamo huo na wewe ukabaki na wako wa CCM itoke kwanza, mambo mengine baadaye.
teh teh..huyu jamaa ni kama mkandara,mchambuzi na wengine huwa idea zao ni ziileziile.Ukiwabana waseme na watoe sababu kwa vipimo vinavyoeleweka kuwa CDM hawajajipanga au walivyojipanga si siwa, wanaishia tisha watu,susa, deka, tumia usupa sta waliojijengea humu ndani, na mara nyingine wanashinda kwa wafuasi wao kuwatetea sana wakiamini kuwa huwezi kuwa tofauti na ukawa sawa.Si ktk ulimwengu wa kawaida tuu wafuasi wa mtu wanaweza nyamazisha wengine hata katk cyberworld hayo hutokea,na haya yamewapa san advantage hawa jamaa.
Kwanini hitimisho lake lilikuwa kama kilio ,huku akiomba mambo yake fulani niyakubali na si vinginevyo?mimi sina kadi ya CDM ingawa kura yangu wanayo,na view zangu positively zinawalenga.Ni kwa vile alijua hatoweza tena wapotosha watu kirahisi hapa,kwani hapa ndipo ilipo nguvu yake kabla hajakwena kwenye magazeti na website yake+forum.
nimekuwa nikitumia mfano wa minyoo kwa vile niliujua nitautumia sana.hembu uliza hilo swali lako kwa namna hii .
Unaweza sema minyoo iondoke,sawa itatoka.then what next?. Hembu niambie linasound vipi?
Sasa kama unakiri binti alibadilika ili kukidhi vigezo vya jamaa alivyotaka ili amuoe kwa nini usikubali dhana ya CDM kujipanga na kubadilika katika kumeet standards za kuwa chama chenye uwezo wa kushika dola kweli? Maana hii hoja ndiyo imekuwa ikiimbwa kwenye thread hii.Nadhani unakubali kuwa wananchi wengi bado wana wasiwasi na mabadiliko na wanapaswa kuandaliwa na kuhakikishiwa 'salama' yao baada ya mabadiliko tunayoyaimba. Hiyo ndiyo kazi inayofanywa na M4C na operesheni zingine lakini hilo pekee halitoshi lazima kuwe na Institutional strategies za CDM kuwa full ready kucontrol dola na kubadili mifumo mibonu iiyopo sasa.
umejiuliza kama huyu mwanamume alikuwa player tuu?Wewe hizo standards unazozisema zimekuwa approved na body gani ya standards imeapprove?Salama ipi unaisema?na wewe unaamini kuwa CDM si chama salama?Sishangai kwa nini unanua kirahisi proganda.CDM watu hadi vilema wanakuwa ktk ikutano yao na hawadhuriki,wakati CCM wanapanda majukwaani na bunduki,chaguzi za kina mama wanagombana, vijana hivyohivyo.MMK pia anaamini mengi ya proganda za watu juu ya CDM.
CDM wanabadilika,na wasichobadilisha basi ni kile kilichopangwa vyema kiasi cha kufanya kibaki ili kije tumika.CCM ni mahushuda wa mabadiliko kwa mitigation steps wanazojitahidi fanya bila improvement.
mi sijui ni kipi mnadhani CDM hawawezi ongoza mabcho CCM wanaweza.CCm chama kimejaa vihiyo kila mahali, BOT,mahakama KUU, wizarani lakini bado nchi inakwenda.Rais mwenyewe kaachia nchi ktk autopilot.Sas ndio unataka sema CDM wanashindwa?Place dont make jokes here.
Kama umesoma thread yangu nimeeleza MMM anafanya kazi kubwa sana katika kuyaendea mabadiliko nchini. Katika makala na maandiko karibu yote niliyosoma sijawahi kuona usaliti kwenye harakati, amekuwa well focused ataunga mkono anachoamini ni chema katika kuelekea mageuzi na atapinga kwa hoja pale anapoona mambo hayaendi sawa.Amekuwa akifanya hivyo. Hata huo ufisadi unaosema, amekuwa key player katika kuufichua kuliko hata wanasiasa wakubwa unaowafahamu wewe. Sijui kama kuna mwenye kupinga haya
Utasem amabadiliko sana ila unasahau kuwa hata wana CCM na wengine wanamwona kaleta mabadiliko,na mabadiliko yao wanayoyaona ni ktk kuwa program wapinzani na watanzania wa settle for less.Hayo ni mabadiliko sana ktk njia za CCM.sijui unaweza tuthibitishia sivyo kwa niaba yake?Nimekupa mifano hapo juu ya jinsi mtu asiye na nia njema na anafanya kazi maalumu anavyoweza jijengea position za kuwa kati ya maadui na kuwafanya wafuate yake.Hivyo alivyofichua mwana kijiji kama vimekushawishi pengine unaweza nawe jaribu tushawishi kuwa haikuwa decoy tuu.