Mkuu
Pasco nilishatoa msimamo wangu kuhusu uzi huu.Nimeuelewa sasa msimamo wa MMM. Anasema hajabadilika ni yuleyule anachotaka kuona ni CCM inaondoka madarakani ila kwanza ahakikishiwe nini hatma ya watanzania baada ya hapo.
Nimemfananisha na Thomaso wa Biblia, hataki kuamini kwa maneno na kujaza watu tu kwenye mikutano, bali vitendo vya namna CDM itamaliza makovu yaliyopo sasa.
Utata alioniachia ni kwamba, haoni kama CDM imejipanga kuchukua dola lakini wakati huohuo mwaka 2010 alishiriki kutengeneza ilani ya chama hicho.Kwa maneno mengine kama CDM ingeshinda 2010 angeshiriki kuikabidhi nchi mikononi mwa chama anachoamini hadi leo hakiko tayari kuongoza dola.
Sasa katikati ya msimamo wa
Mzee Mwanakijiji kama ameibua mengi kwa wanajamvi wengine nao wana haki ya kutaka ufafanuzi kutoka kwake.
Sikuwa napenda tena changia hapa ila nauchukia upotoshaji.
Nashukuru kwa uzi ulioleta na aliyesikia aliyayesema Mzee Mwanakijiji akichanga akili ataona kuwa huyu jamii zaidi ya kuvaa jukumu kama hardcore critics.
-Hakujibu swali yeye anajiweka wapi critics au consultant.Akadai options ni chache.Ila nilikuwa na makusudi kuwa yeye aseme yupo zaidi wapi kwani haweze kuwa equallye kote.
-MMK nilimpa swali aseme kama ameahi fikiria kuandika responsibly akasema ndio ila matendo yake kwa jinsi nilivyokuwa njadili naye ,makusudu kabisa nilitumia njia ya kumfany aajionyeshe,hakuwa hayupo responsible.
-Kwanza si honest player, kamtuhumu Jmushi1 kuwa kamwekea maneno,nami toka katika kazi yake iliyompa umaarufu aliwawekea maneno CDM,hilo hakuweza bisha wala taka jibu vyema.
-MMK yupo deperate sana kupata quickfix ndio maana alikuwa tayarai toka nje discussion kw akuvuruga huku akideka na kujiliza.Na yupo tayrai kuchukua sababu ni sababu bila kujali kuwa anaweza pata jibu ila jibu lile lisiwe sahihi ktk malengo mazima ya anachikitetea.
-NIlimbana pia athibitishe kuwa umati na wingi wa wana CDM ni wa bure kama wa Mrema(ingawa pia mrema anaweza leta case kuwa hakuwa na walinda kura+pia daftari halikuwepo),MMK aliruka kama kangaroo.Nikamwambia CCM wenyewe wana kiri kwa kutorekebisha daftari kwa vile walijua wanaoongezeka si wanaCCM bali wana CDM,wizi wa kura na kuingizwa kura kutoka nje, kuharibumajina ktk ubao huku ili ififanane na y akitambulisho ni dalili kuwa target ni wafuasi wa CDM.Kama kawa majibu yake mwenye akili atajua kuwa MMK anongea asichokijua.
-MMK hakuweza jua proportionality ya chama kuwa na washabiki na wafuasi na kuwa na potential(somoeting) ya kuchukua madaraka.Ndio maana alizitumia kama vitu tofauti sana alipokuwa akijibu kwanini alianza jipa hicho kibaua kwa CDM.
-MMK ni mwana CCM mwenye machungu na CDM na si Democrasia ya nchi km alivyoclaim kipindi cha CCJ,vyama vingine vyote hali zao ni mbaya kuliko CDM .Hana jibu kwanini CDM ambayo ina afadhali na haimsikii kelele zake za kuombea msaada.
MMK alichosema kilifanywa exactly na CCM na CUF na TISS.Na propaganda zake zote zina imply bila doubt kuwa kazi yake ni kuandaa watu kisaikologia kupokea walichopanga CCM.Hana tofauti na wasira,Tendwa, Kova, Mukama.
Wakati anafunga mjadala na mimi alichoandika kirefu kilikuwa kama kilio,kuomba asikilizwe na kukubaliwa fikra zake na mwingine anayeona hisia zake ktk maandishi.NI wazi huyu jamaa alishaona mission yake imekuwa jeopardized.