Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

Mzee MM, nini maoni yako juu ya chaguzi zinazoendelea ndani ya chama tawala pamoja na madai ya baadhi ya wagombea kuwa kumekuwa na matumizi makubwa ya fedha. Je hii itaathiri uchaguzi mkuu 2015?

Nitaligusia hili kidogo next week inshallah. Nilikuwa nasubiria chaguzi za jumuiya zipite.
 
Ujinga wetu ni nini basi? Je una athari zaidi ya upuuzi wako na wa wenzako ambao mnataka watu wote waimbe sifa za CDM bila kukosoa au wakosoe sirini kana kwamba ni chama kisichostahili kukosolewa? Ujinga wetu ni nini kudai na kuonesha bila kuwiwa na mtu kuwa CDM kama ilivyo sasa ikishika madaraka tutakuwa na tatizo lile lile ambalo tunalo ndani ya CCM yaani siasa zenye kufuata watu, sera zisizoangaliwa na kuandaliwa vizuri na mfumo mzuri wa kutawala? Ama ujinga wetu nini hasa kulinganisha na upumbavu wa kushabikia chama ilimradi ni chama? Ama ujinga wetu hasa ni nini? Kwamba tunapenda CDM na tunaamini inahitaji kujengwa kujiandaa kushika madaraka ya kuliongoza taifa siyo kutawala? Au ni ujinga gani unaozungumzia ule wa kusema uongozi wa CDM ulivyo sasa umenata kwenye watu kiasi kwamba fikra za kutoka nje zinakutna na ukuta wa kukwamisha ambao ni mgumu kubadilika kama vile ilivyo CCM?

Ama ni ujinga gani ambao tumeudhihirisha zaidi ya kusema kile ambacho tunaamini na kukiweka bayana kwa kila mtu kukiona? Kwamba hatuamini umati wa watu; kwamba kwa vile watu wengi wanajitokeza kwenye mikutano na kuvaa nguo za rangi ya CDM haina maana ni wingi wa kura? Au ni ujinga upi huu?

Au ni huu wakusema kuwa miaka miwili baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 na mitatu kabla ya ule wa 2015 CDM bado ni chama kile kile? Kina katiba ile ile, kina mifumo ile ile, kina mwelekeo ule ule na dhana zile zile? Kwamba hakijajionesha kuwa kiko adaptive na adoptive wa siasa mamboleo (modern politics) na badala yake kimeendelea kutumia mifumo ile ile iliyoundwa na CCM. Leo hii bado Kamati Kuu ya CDM ina nguvu za kuinfluence local politics kama vile ilivyo kamati kuu ya CCM? Ama ni ujinga wa watu kusema CDM inahitaji kujipnga, kuboresha miundo mbinu yake, kusasaisha sera na mwelekeo wake, na kutengeneza taasisi zake ambazo zitahakikisha kinatoka kuwa chama cha upinzani wa kuduma na kuwa chama kinachoweza kushika utawala wa nchi.

Wakati mwingine ujinga wetu una hekima zaidi kuliko werevu wenu.
Sidhani kama nilikuweka ktk kundi linalopenda dhana inayoongoza ujinga "ujinga kuwa uongo ukirudiwa rudiwa unakuwa ukweli". Ila kama umejipambanua kuwa ni wenu basi siwezi pinga. Huwezi jenga hoja katika dhana ya kijinga. Pasco alichomaanisha ni kurudiarudia uongo mwishowe kuwa kweli, na habari inayorudiwa kuhusu CDM ina base katika hiyo dhana. Mnapoambiwa mseme mnachotaka kibadilike au nini hawajajipanga mnakuja na blah blah kama si distorted concepts. Nashukuru haya yametoka kwa pasco mwenyewe.

Umechanganya mboga sana hapa; unajiuliza maswali yasiyo na mahusiano ya moja kwa moja kwa vile umekimbia sana maswali mengi kuyajibu. Sishangai hilo, na hizi ni recipes za kujenga cyclic reasoning. Kwani hakuna cha kurefer nyuma kama kila kitu muhimu iliskip. Ndio maana reference zake watu wanapata taabu kama si uvivu kurudia ulichoandika kipindi cha nyuma.

Right awaya CDM haifanani kwa vitu vingi sana na CCM, ni mindset zenu too ndio haziwezi grasp kwa vile mnafikiria in a classic ways. Siwezi kulaumu sana kwani kila field ina classic -side of think tank. Ni vigumu mtu aliyeamini neutonian physics kuweza grasp Eistenian physics au hata quantum phycics, ni vigumu wana phylosofia wa materialist kupata concept za idealist na kinyume chake. Ni vigumu muislam kupata concept ya nafsi tatu za Mungu kama wanaamini ktk material body, huku wakiwa equiped na claasical science. Classical science haina maelezo kwanini matter and energy are intercheageable na existency ya ant-matter. Ni rahisi sana kuona kwanini mnadhani CDM wanafanana na CCM, na hivyo kushindwa elewa kwanini CDM wamaikwamisha kabisa CCM kifikra. Si wewe tuu hata wanazuoni walioshiriki sana kuzalisha wana fikra ndani ya CCM tangu zamani. Nao pia wana nadharia nyingi sana off-target.

Huwezi ona kwa fikra hizi ndugu yangu jinsi gani CDM ni adaptive, kwa vile hujajiuliza wanawezaje ruka vikwazo vinavyobadilikabadilika na vikali kuliko vilivyoshinda vyama kibao vya msimu.

Wanafikiri kwa kutojiamini km wana CCM wengine walioshindwa miaka yote kuchangia chochote katika fikra za mwalimu na hivyo leo hii hakuna anayethubutu ku complimement fikra za mwalimu au kutoa mbadala kwa uhakika. Hawajui kuwa unaweza kuwa tofauti na usiwe umekufuru. Matokeo yake wengi hutumia fikra za mwalimu kama reference za kulinda hoja zao au kulinganisha usahihi wao.

Kwanini unadhani kuwa CDM hawana haki ya kuinfluence level za chini? CDM wanajijenga na kujenga chama kunaanzia nje ya jimbo husika, sasa kuwanyima influence kutajenga vipi chadema na si chama kingine? Kwanini hujafikiria kuwa ni haki ya chama kuhakikisha hakuna mamluki na wakiwepo ni wa kuwatoa? Hii ndio mikakakti yako unayoishauri CDM?

Hayo mengine ya werevu na mengine naweza kukuelewa kwa jinsi ulivyo easily distracted na rahisi kuplay victim issue zinapokataa au mara nyingine ku assume image ya heavyweight ili point yako ikubalike. Ni typical mkandara style.
 
Ujinga wetu ni nini basi? Je unaathari zaidi ya upuuzi wako na wa wenzako ambao mnataka watu wote waimbe sifa za CDM bila kukosoa au wakosoe sirini kana kwamba ni chama kisichostahili kukosolewa? Ujinga wetu ni nini kudai na kuonesha bila kuwiwa na mtu kuwa CDM kama ilivyo sasa ikishika madaraka tutakuwa na tatizo lile lile ambalo tunalo ndani ya CCM yaani siasa zenye kufuata watu, sera zisizoangaliwa na kuandaliwa vizuri na mfumo mzuri wa kutawala? Ama ujinga wetu nini hasa kulinganisha na upumbavu wa kushabikia chama ilimradi ni chama? Ama ujinga wetu hasa ni nini? Kwamba tunapenda CDM na tunaamini inahitaji kujengwa kujiandaa kushika madaraka ya kuliongoza taifa siyo kutawala? Au ni ujinga gani unaozungumzia ule wa kusema uongozi wa CDM ulivyo sasa umenata kwenye watu kiasi kwamba fikra za kutoka nje zinakutna na ukuta wa kukwamisha ambao ni mgumu kubadilika kama vile ilivyo CCM?

Ama ni ujinga gani ambao tumeudhihirisha zaidi ya kusema kile ambacho tunaamini na kukiweka bayana kwa kila mtu kukiona? Kwamba hatuamini umati wa watu; kwamba kwa vile watu wengi wanajitokeza kwenye mikutano na kuvaa nguo za rangi ya CDM haina maana ni wingi wa kura? Au ni ujinga upi huu?

Au ni huu wakusema kuwa miaka miwili baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 na mitatu kabla ya ule wa 2015 CDM bado ni chama kile kile? Kina katiba ile ile, kina mifumo ile ile, kina mwelekeo ule ule na dhana zile zile? Kwamba hakijajionesha kuwa kiko adaptive na adoptive wa siasa mamboleo (modern politics) na badala yake kimeendelea kutumia mifumo ile ile iliyoundwa na CCM. Leo hii bado Kamati Kuu ya CDM ina nguvu za kuinfluence local politics kama vile ilivyo kamati kuu ya CCM? Ama ni ujinga wa watu kusema CDM inahitaji kujipnga, kuboresha miundo mbinu yake, kusasaisha sera na mwelekeo wake, na kutengeneza taasisi zake ambazo zitahakikisha kinatoka kuwa chama cha upinzani wa kuduma na kuwa chama kinachoweza kushika utawala wa nchi.

Wakati mwingine ujinga wetu una hekima zaidi kuliko werevu wenu.
Mwenye masikio na asikie!. Asante sana Mzee Mwanakijiji.
P.
 
Binafsi sina historia kamili ya siasa ya Ndugu "Mtu Huru",Freeman, pamoja na ZZK. Lakini hawa wengine ni watu waliotoka CCM, mifano mizuri ni Dr. Slaa, Dr. Kitila Mkumbo, (Rafiki yangu ninayemheshimu mno). Dr. Lwaitama... Kwa hiyo sijaona jipya hapa. Good morning.
 
1. umetoa majibu ukwa na hasira

2.kama uliwahi kushiriki kutunga ilani ya chadema baada ya uchaguzi kuna mahali ulijaribu kuwashauri na wakakataa kufata ushauri wako au hawajaufanyia kazi? (achilia mbali maandiko yako humu mtandaoni)

3.chief naomba ueleze kwa kirefu zaidi katika haya maandiko yako...swali langu haya mambo yanapaswa kuwa yanabadirika kwa mda gani kwa maoni yako nanukuu ''miaka miwili baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 na mitatu kabla ya ule wa 2015 CDM bado ni chama kile kile? Kina katiba ile ile, kina mifumo ile ile, kina mwelekeo ule ule na dhana zile zile? ''

4. naomba kujua mzee mpaka sasa kuna tofauti yoyote kati ya ccm na chadema ..naomba mtazamo wako juu ya hili

5. ni wapi unaona chadema mpaka sasa wanafanya vizuri na cm wapi unaona mpaka sasa wamefanya vizuri na wapalinde

NB: namshukuru sana aliyekupa ushauri wa kurekebisha mstari wa mwisho kabisa....na wewe umeitikia ..hii imenikumbusha jamaa yangu mmoja alikosana na mwenzake na kuandika barua kali sana kwa mkuu ..mkuu akaisoma akagundua mwandishi kaandika akiwa na hasira....baadaya nusu saa akamuita na kumwambia '' nimeosoma barua yako lakini naomba ukarudie kuiandika upya na uniletee tena'' barua ya pili ilikuja ikiwa haina tusi hata moja na ilitafuta usuluhishi zaidi''

kingine jiepusheni na tabia ya kuwa '' intelectual cannibal''.....ongeeni kwa hoja na kilamtu aheshimu majibu ya mwenzake...
 
ningependa kama ungemaliza hivi 'Wakati mwingine ujinga wetu una hekima zaidi kuliko werevu wenu'

teh teh kaandika alichomaanisha ndugu yangu.Huyu ndie mwandishi maarufu atakayekuja inspire kizazi kijacho.Ndio maana sipendi andika vitu bila kuangalia mengi nje ya kazi yangu.Kwanini kisipotoke,yeye mwenyewe kala upotofu sasa ni zamu yako kupeleka kizazi kijacho.Hizi ndizo hasara za kujenga taifa huku pakiwa na watu wasiochukulia kuwa na usahihi ni muhimu ,wasio na nia njema na wasio na maono ya madhara yake kwa miaka ijayo.

Sasa hivi anafanya upotofu huku akiamini afanyacho ni chema sana, akimaini kuwa this time around nia yake kuonekana njema kuna tosha.Hata Nape,Le mutus na wengine wanaamini wana chukua noble path..bila kujua pia wanaweza kuwa too naive.
 
1. umetoa majibu ukwa na hasira

2.kama uliwahi kushiriki kutunga ilani ya chadema baada ya uchaguzi kuna mahali ulijaribu kuwashauri na wakakataa kufata ushauri wako au hawajaufanyia kazi? (achilia mbali maandiko yako humu mtandaoni)

Nitaliacha hilo kulijibu; ukiona naandika hadharani ujue kwingine imekuwa ni ukuta.

3.chief naomba ueleze kwa kirefu zaidi katika haya maandiko yako...swali langu haya mambo yanapaswa kuwa yanabadirika kwa mda gani kwa maoni yako nanukuu ''miaka miwili baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 na mitatu kabla ya ule wa 2015 CDM bado ni chama kile kile? Kina katiba ile ile, kina mifumo ile ile, kina mwelekeo ule ule na dhana zile zile? ''

Wakati wowote chama kinapomaliza uchaguzi na hakijafanya vizuri linalofuatia ni kujipima na kujirekebisha. CDM inavyofanya sasa ni kana kwamba ilishinda uchaguzi mkuu wa 2010! think about it.

4. naomba kujua mzee mpaka sasa kuna tofauti yoyote kati ya ccm na chadema ..naomba mtazamo wako juu ya hili

CCM inataka kuendelea kutawala; kuanzia koswa koswa ya 2010 imeamua kujipanga ili kuendelea kutawala. Mambo yote inayoyafanya yanaelekea katika kuisimika CCM kushinda uchaguzi wa 2015 na baadaye. CDM ni chama ambacho kinaamini chama cha upinzani; kwa muda mrefu kimekuwa kikifanya kazi kama cha upinzani na chenye fikra za kuwa mpinzani. Hivyo, kinakosoa serikali ili ifanye vizuri; kinafanya kazi ya kiupinzani na kinaenda kwenye uchaguzi kikiwa na fikra hizo. Hakijajipanga kuwa chama tawala japo bila ya shaka kinatamani kuja kutawala baadaye.
5. ni wapi unaona chadema mpaka sasa wanafanya vizuri na cm wapi unaona mpaka sasa wamefanya vizuri na wapalinde

CDM imefanikiwa kupita kiasi kuelezea na kuwafanya wananchi waamini kuwa chaweza kuwa mbadala wa CCM. CCM kwa upande mwingine imejitambua kuwa imekataliwa na inaendelea kukataliwa na hivyo imeanza mabadiliko ya ndani (ya katiba na miundo) ili kuweza kujipanga kutetea utawala wake 2014 na 2015.
 
1.sawa usilijibu

2. unaposema inachofanya chadema kwa sasa ni kana kwamba ilishinda uchaguzi ..unataka kusema wanaishi katika kiini macho? hakuna maboresho yoyote waliyoyafanya mpaka sasa?..nguvu yao hasa ni nini?

3. Naomba unitajie mambo inayoyafanya ccm kwa sasa kwamba yanakiandaa chama kuendelea kutawa ki katiba na kimuundo..na kwa upande wa chadema kwa sasa naamini hawako madarakani ila huku nje waonekane ni watu wanaotaka kuchukua dola ni taswila ipi wanayotakiwa kuionyesha kwa wananchi ambayo si ya kipinzani itakayowapa nguvu ya kuchukua dola?

5 kama chadema wamefanikiwa kuwaeleza wananchi na kuwamini kuwa wanaweza kushika dola na hapo juu umesema kuwa wapo kipinzani zaidi ndio kusema hawa jamaa kile wanachowaambia wananchi ni uongo maana kazi kubwa wanayofanya ni kukosoa serikali?ni kipi hasa unataka kwa maoni yako kisikike masikioni mwawanachi?...na je ikitokea katika imani hiyo wananchi wakawapa nafasi ya kushika dola hakuna kitakachokuwa kimebadilika katika maisha yao tofauti na ilivyo sasa ?...mwisho hayo mabadiliko ya ndani ya ccm (kikatiba na kimfumo) unayaona ni mabadiliko thabiti ya kuitoa nchi hii hapa ilipo ilipofikishwa na hao hao ccm kwa miaka 50? nini maoni yako juu ya hili...
 
1. umetoa majibu ukwa na hasira

2.kama uliwahi kushiriki kutunga ilani ya chadema baada ya uchaguzi kuna mahali ulijaribu kuwashauri na wakakataa kufata ushauri wako au hawajaufanyia kazi? (achilia mbali maandiko yako humu mtandaoni)

3.chief naomba ueleze kwa kirefu zaidi katika haya maandiko yako...swali langu haya mambo yanapaswa kuwa yanabadirika kwa mda gani kwa maoni yako nanukuu ''miaka miwili baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 na mitatu kabla ya ule wa 2015 CDM bado ni chama kile kile? Kina katiba ile ile, kina mifumo ile ile, kina mwelekeo ule ule na dhana zile zile? ''

4. naomba kujua mzee mpaka sasa kuna tofauti yoyote kati ya ccm na chadema ..naomba mtazamo wako juu ya hili

5. ni wapi unaona chadema mpaka sasa wanafanya vizuri na cm wapi unaona mpaka sasa wamefanya vizuri na wapalinde

NB: namshukuru sana aliyekupa ushauri wa kurekebisha mstari wa mwisho kabisa....na wewe umeitikia ..hii imenikumbusha jamaa yangu mmoja alikosana na mwenzake na kuandika barua kali sana kwa mkuu ..mkuu akaisoma akagundua mwandishi kaandika akiwa na hasira....baadaya nusu saa akamuita na kumwambia '' nimeosoma barua yako lakini naomba ukarudie kuiandika upya na uniletee tena'' barua ya pili ilikuja ikiwa haina tusi hata moja na ilitafuta usuluhishi zaidi''

kingine jiepusheni na tabia ya kuwa '' intelectual cannibal''.....ongeeni kwa hoja na kilamtu aheshimu majibu ya mwenzake...
Umeandika vyema na kutupa somo wote. Well, MMK nilishmwandikia ktk mjadala huu kuwa kazi za maandishi zinapeleka pia vionjo vya hisia nyingi sana. Hama hasira, sauti ya chini na juu, ubabe, woga, kususa, kukata tamaa, unafiki, harufu, taswira ya maumbile bila tumia picture. Na hii ilikuja pale nilipomsoma kuwa anataka susa. Nilipomjibu karuka hiyo sehemu.

Ni watu wachache sana wanaoweza bisha kuwa maandishi yanaweza peleka taswira kama hawajui zoezi la kutuma pesa hata kwa M-Pesa linavyokuwa. Human mind inaweza peleke descriptions za image na huyo anayepelekewa ujumbe kama alishawahi kuona taswira kama hiyo kuweza iona huko alipo ktk fikra au hata physically kama sustitute ipo. Ndivyo hivyo computer inavyopeleka maandishi hizi information ktk internet kabla ya kutafsiriwa upande wa pili na kuwapata watu kilichokusudiwa upande wa pili.

Ni wazi pia MMK ataonyesha tena kutofahamu principals za vitu kwa kukanusha ulichandika akidhani umekosea kujua tone yake ya hasira.
 
Binafsi sina historia kamili ya siasa ya Ndugu "Mtu Huru",Freeman, pamoja na ZZK. Lakini hawa wengine ni watu waliotoka CCM, mifano mizuri ni Dr. Slaa, Dr. Kitila Mkumbo, (Rafiki yangu ninayemheshimu mno). Dr. Lwaitama... Kwa hiyo sijaona jipya hapa. Good morning.

Teh teh..hata mimi naweza sema wote tulitokea kutojua soma hadi kufikia kusoma vitu vingi.Hii inatunyimaje haki ya kusema sasa tunajua kusoma?
 
Ni wazi pia MMK ataonyesha tena kutofahamu principals za vitu kwa kukanusha ulichandika akidhani umekosea kujua tone yake ya hasira.

bahati mbaya sana; unazungumza kana kwamba unazijua hisia zangu. Hakuna kitu ambacho kimeweza kunifanya niwe na hasira. So usiwe na shaka ndugu yangu. Ukisoma tu ukafikiria mtu kakasirika unashindwa kuelewa dynamics za majadiliano ya kwenye mitandao. Mimi sijui unavyoandika sasa hivi kama una hasira, kinyongo, wivu, husuda n.k Nikianza kufikiria hisia zako kwa kukusoma nitakuwa sikutendei haki.
 
Pascoooo oh...Pole sana.Bado tunasoma na kusikila hapa.
Asante sana, ile kusikia tuu "hamjajipanga" unakaba mpaka kona!, matokeo ya 2015 yatakapotoka si utazimia kabisa?!..
Endelea kusoma na kusomaga, na kusikila na kusikilaga, lakini kumbuka "ukweli utasimama"!.
 
bahati mbaya sana; unazungumza kana kwamba unazijua hisia zangu. Hakuna kitu ambacho kimeweza kunifanya niwe na hasira. So usiwe na shaka ndugu yangu. Ukisoma tu ukafikiria mtu kakasirika unashindwa kuelewa dynamics za majadiliano ya kwenye mitandao. Mimi sijui unavyoandika sasa hivi kama una hasira, kinyongo, wivu, husuda n.k Nikianza kufikiria hisia zako kwa kukusoma nitakuwa sikutendei haki.

Ndugu yangu ni kwamba unafanya kusudi au hujui usemacho...nimewahi soma mahali watu wa jinsi zote wanasoma maandiko na kufikia kileleni kimapenzi na katika tafiti zangu na vijana walishawahi thibitisha hili.Nilipojaribu angalia machapisho waliyoyachagua kuwa yanawaamsha hisia hayakuwa hata na picture.Hii inaonyesha power ya scripts intentionally ila kuna mengi ambayo si intentional na yanareflex tabia n ahisia za mwandishi.

Posting yako mbali na sentence inyosema hasira zako pia kuna inayoconfirm.Hembu rudia.
Ujinga wetu ni nini basi? Je unaathari zaidi ya upuuzi wako na wa wenzako ambao mnataka watu wote waimbe sifa za CDM bila kukosoa au wakosoe sirini kana kwamba ni chama kisichostahili kukosolewa? Ujinga wetu ni nini kudai na kuonesha bila kuwiwa na mtu kuwa CDM kama ilivyo sasa ikishika madaraka tutakuwa na tatizo lile lile ambalo tunalo ndani ya CCM yaani siasa zenye kufuata watu, sera zisizoangaliwa na kuandaliwa vizuri na mfumo mzuri wa kutawala? Ama ujinga wetu nini hasa kulinganisha na upumbavu wa kushabikia chama ilimradi ni chama? Ama ujinga wetu hasa ni nini? Kwamba tunapenda CDM na tunaamini inahitaji kujengwa kujiandaa kushika madaraka ya kuliongoza taifa siyo kutawala? Au ni ujinga gani unaozungumzia ule wa kusema uongozi wa CDM ulivyo sasa umenata kwenye watu kiasi kwamba fikra za kutoka nje zinakutna na ukuta wa kukwamisha ambao ni mgumu kubadilika kama vile ilivyo CCM?

Ama ni ujinga gani ambao tumeudhihirisha zaidi ya kusema kile ambacho tunaamini na kukiweka bayana kwa kila mtu kukiona? Kwamba hatuamini umati wa watu; kwamba kwa vile watu wengi wanajitokeza kwenye mikutano na kuvaa nguo za rangi ya CDM haina maana ni wingi wa kura? Au ni ujinga upi huu?

Au ni huu wakusema kuwa miaka miwili baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 na mitatu kabla ya ule wa 2015 CDM bado ni chama kile kile? Kina katiba ile ile, kina mifumo ile ile, kina mwelekeo ule ule na dhana zile zile? Kwamba hakijajionesha kuwa kiko adaptive na adoptive wa siasa mamboleo (modern politics) na badala yake kimeendelea kutumia mifumo ile ile iliyoundwa na CCM. Leo hii bado Kamati Kuu ya CDM ina nguvu za kuinfluence local politics kama vile ilivyo kamati kuu ya CCM? Ama ni ujinga wa watu kusema CDM inahitaji kujipnga, kuboresha miundo mbinu yake, kusasaisha sera na mwelekeo wake, na kutengeneza taasisi zake ambazo zitahakikisha kinatoka kuwa chama cha upinzani wa kuduma na kuwa chama kinachoweza kushika utawala wa nchi.

Wakati mwingine ujinga wetu una hekima zaidi kuliko werevu wenu.
MMK wana historia huwa wanaangalia viashiria kama hivi kabla y akujiuliza maswali ya msingi yatakayopelekea kufanya utafiti zaidi.Kumbuka hasira huwa inapoteza uvumilivu na subira za watu.Ndipo nilipoangalia mbali na kujiuliza kama kweli ulikuwa ukijibu kitu kinachokuhusu.Nikakuta sivyo ulikuwa ukimjibia pasco kwa papara.
 
Back
Top Bottom