Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

Niliposema 2015 ni CCM tena, nimebezwa sana humu! ila ukimsoma Mzee Mwanakijiji in between the lines kwa jinsi anavyoilezea Chadema jinsi ambavyo haijajipanga, and by now ilipashwa kuwa imeshajipanga, utajua kuwa anajua wazi 2015 ni CCM tena!.
P.

CCM kushinda 2015 itashinda si kwa sababu inastahili lakini ama kati ya sasa na 2015 itafanya mabadiliko makubwa wakati hawa ambao tulitaka waje kutawala bado wanafikiria watashinda kwa sababu status quo itakuwa maintained. Vinginevyo watu watabakia kushangilia umati wa watu kwenye picha na kufurahia hotuba motomoto na magwanda yanayopendeza. Wataambiwa wasubiri tena 2020!

CDM ilitakiwa iwe madarakani tangu 2010! Lakini makosa yale yale yanajirudia. Guess what? matokeo yatakuwaje...?
 
Thread hii imenikumbusha mbali sana.

Mwanakijiji, huyu WOWOWO ilitakiwa aanze kukuchimba kule kwa akina ME AGAINST KIKWETE, "SAM", TABASAMU.........akaja CONDOR aka HACK BCS....

Mapambano ya kisiasa ya mtandaoni yalianza zamani sana

FP, duh na wewe mkuu umeibuka. Unajua watu wanafikiria haya tumeanza leo au tumeanza jana au tumeanza baada ya umaarufu wa CDM kuja. WEngine wanafikiria kuwa kwa vile CDM ina umaarufu basi watu wote wanaotaka mabadiliko ni lazima washike vyeteso vya ubani na kufukiza uvumba mbele zake. Kuungwa mkono kwa CDM kutokana na zaidi ya mapenzi.
 
sawa; nyinyi subirini waingie madarakani ili wawaambiwa watafanya nini; sisi wengine tutataka tujue watafanya nini ili tujue kama wanastahili kuingia madarakani ili tuwasaidie.
Nilisema, na nitasema tena na tena kuwa "CCM Imechokwa, na Chadema Haijajipanga"!. Ili Chadema ipate ushindi wa kishindo 2015, lazima itupe sababu za kukichagua vinginevyo 2015, ni CCM Tena!.

Kila tukiwaambia Chadema humu, kuwa ni kweli M4C is doing a good job!, kuwaamsha waliolala kuhusu maovu ya CCM, rushwa, ufisadi, etc. Tatizo kubwa la Watanzania sio CCM, rushwa au ufisadi, bali ni umasikini, ujinga na maradhi!. Chadema inapaswa isema, ikishaiondoa CCM, yenyewe itafanya nini?. Vinginevyo ni CCM tena!.
P.
 
ndio sehemu ya mapambano. Ukiaminiwa na adui zao ni hatari zaidi.

MMK kwanini uone watu maadui?Kukubalika huku uaminiwi ni sifa za rafiki kuliko adui?Ni sifa za rafiki ambaye anajua kuwa urafiki wake unategemea sana kuaminika kwako, na kuaminika kwako hakujafikia viwango.MMK naamini kuwa wewe ni mtu mkubwa sana ktk uandishi na usomaji kuliko hata mimi(yaani Iam nothing compared to your success).Ila nashangaa sana kwanini unakosa kujua au unaacha sana tafsiri halisi za vitu.Mimi naona hili kuwa janga la kitaifa hasa nikizingatia kuwa tayari wewe ni influencial na ulichoandika hakitofutika katika jamii .Hiawezekani msomi kujtumia neno adui pasipostahili bil akujali madhara yake.Yaani kumwita huyu jamaa adui ni ukuta ktk kujadili,kwani washabiki wako wote watakuwa wakimnyima haki kirahisi tuu kwa kigezo kuwa ni "adui".hembu fikiria kitu kama "...adui wa Uislam...".Mtu yeyote akibandikwa hiyo title kwanza hawezi ten akuwa salama,pili hawezei mshawishi muislam kitu hata kama kikiwa kweli kivipi.

Pengine ni mahali pa wewe kuweka mkazo ktk hili,huu ndio uzalendo kuliko kukomaa na CDM ambao kila siku wana prove vitu vyote vinavosemwa na kufikiriwa na critics.
 
Mkuu Ritz, mimi nipo nasoma mstari kwa mstari!, kuna mengi nilishayasema humu ikiwemo Chadema hawajajipanga, nilitukanwa sana humu!, leo yale yale niliyoyasema kayasema Mzee Mwanakijiji, japo Edson, J.Mushi na Nicholas wanaendelea kukaba mpakja kona, ila anaheshimiwa bila kutukanwa!.

Nilisema humu ili Chadema ishinde 2015, inatakiwa kuujua mtaji wake wa ushindi na kuutumia kwa kusema itafanya nini na sio kukomalia tuu maandamano na siasa za chuki dhidi ya CCM, leo hiki kitu kimesemwa humu na Mzee Mwakijiji!.

Niliposema 2015 ni CCM tena, nimebezwa sana humu! ila ukimsoma Mzee Mwanakijiji in between the lines kwa jinsi anavyoilezea Chadema jinsi ambavyo haijajipanga, and by now ilipashwa kuwa imeshajipanga, utajua kuwa anajua wazi 2015 ni CCM tena!.
P.

Pasco, ingawa ulimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa mgombea "wetu" ENL, wakati uleeee kua kachafuka sana tumpake mafuta ameremete.

Nakuhakikishia kua 2015 ni CCM tena! Kwa hili tupo pamoja unless CDM wabadilike sana. Kwa style hii ya kukosa nidhamu ya viongozi wakuu (ZItto mmojawapo) CDM hawana chao 2015.

Rusheni mawe ila ENL all the way!
 
teh teh..Pasco si kwamba nakaba. Ila kwa mnachokiongea na jinsi mnavyokiongea mnajiweka ktk mazingira msiwe na authority ya kuishauri CDM.Namini pia mmeshawahi ishauri CCM na bado ikawa failure.Nikiuliza kwanini mutake ishauri CDM na si Chama cha Mzee wa fweza, mtikila,TLP na kingine ili navyo viwe ktk vyama superstar?Utakuja na majibu mepesi sana.Kuwa CDM ndio ina potential ya kuchukua madaraka.Sasa hivyo potential imekuja vipi mtaanza miduara mingi sana ya kuwapoteza hata nyinyi wenyewe kifikra mwishowe hamtajua kama hamja jibu.Na hii mefanya mara nyingi sana ndio maana baadaye kinyonge mnarudi na hizi kauli kuwa tuliwahi sema "bla blah" n asi baada ya kusema mlijibiwa vipi?
 
MMK kwanini uone watu maadui?Kukubalika huku uaminiwi ni sifa za rafiki kuliko adui?Ni sifa za rafiki ambaye anajua kuwa urafiki wake unategemea sana kuaminika kwako, na kuaminika kwako hakujafikia viwango.MMK naamini kuwa wewe ni mtu mkubwa sana ktk uandishi na usomaji kuliko hata mimi(yaani Iam nothing compared to your success).Ila nashangaa sana kwanini unakosa kujua au unaacha sana tafsiri halisi za vitu.Mimi naona hili kuwa janga la kitaifa hasa nikizingatia kuwa tayari wewe ni influencial na ulichoandika hakitofutika katika jamii .Hiawezekani msomi kujtumia neno adui pasipostahili bil akujali madhara yake.Yaani kumwita huyu jamaa adui ni ukuta ktk kujadili,kwani washabiki wako wote watakuwa wakimnyima haki kirahisi tuu kwa kigezo kuwa ni "adui".hembu fikiria kitu kama "...adui wa Uislam...".Mtu yeyote akibandikwa hiyo title kwanza hawezi ten akuwa salama,pili hawezei mshawishi muislam kitu hata kama kikiwa kweli kivipi.

Pengine ni mahali pa wewe kuweka mkazo ktk hili,huu ndio uzalendo kuliko kukomaa na CDM ambao kila siku wana prove vitu vyote vinavosemwa na kufikiriwa na critics.

unasoma vitu too literal; nimeweka point kuwa as a principle usitafute kuaminiwa na maadui zako. Mimi binafsi sijui nani ananiamini au nani haniamini. Tukijaribu kuwafanya watu wote wakubali na kutuamini itakuwa inasikitisha.
 
Nimesusa tena? ooh no... nimesema tofauti zetu ni za msingi na zitabakia hivyo.

Dont tell hujui tafsiri ya ulichoandika wala kuonja taste ya tone yake.Maandishi yana influence fikra kama sauti,harufu, na feelings nyingine.Maandishi yake yanasuggest kwa njia hizo kuwa umesusa.Tena umerudia sana.hizi ni pattern za Mkandara,mchambuzi na Pasco kidogo. Wakifikia mahali hawana maelezo wanatisha watu,wanapandisha hasira, wanalaumu, wakiona upepo umetulia wanajibost kuwa great thinker.Sidhani kama ubora wa landrover unapimwa mjini.KUle serengeti kipindi cha mvua,landrover ndipo inapambanua ktk ya toyota, kule ktk mbio za paris-dakar ndani ya mchanga na mawe ya jangwani landrover inajipambanua.So ktk sehemu unapokutana na watu wasio care au kujua how heavy your in writing business kama akina sisi,then ndipo unapopaswa onyesha kuwa upo tofauti.Nao wakienda ulizia who your are,kwa kuona jinsi ulivyoonyesha uwezo then slowly utakuwa unaelekea kuwa great.Sasa kama mnapenda paly ktk viwanja kama vya kina chuji,boban, Im afraid tutabaki kama soka letu.

Kama hujui hilo basi hutokaa uwe kama shaaban robert,ila utabaki kuwa mwandishi aliyefanya kazi kwa bidii sana na aliyesoma sana.
 
I want more kwa wale wanaotaka kutuongoza wawe madarakani sasa au wanaotaka kuja baadaye. Katika hili sina cha kucompromise. CDM kuja kuwaongoza WAtanzania ni lazima kiwe kinastahili; na kustahili hakuja kwa sababu mtu anapendwa au chama kinapendwa. Isije kuwa watu wanafikiria CDM inastahili kushika hatamu za uongozi wa taifa kwa sababu watu wengi wanajiunga nacho wanashangiliwa sana na kuwa viongozi wake wanajenga 'hoja vizuri". Au kwamba kwa sababu watu wengi wanakipenda na kuwa tunaona maelfu ya watu wanajitokeza kuwasikiliza na kuwashangilia basi tusiwakosoe. Tukubali tu na kuwapa nafasi ya kustahili.

Sasa hili ni prerogative ya wengine. Mimi ya kwangu CCM haistahili kuachwa inatawala kwa sababu inapendwa - hata kama inaboronga; na CDM haistahili kupewa utawala kwa sababu inapendwa hata kama tunaona kuna mambo hayako sawa. Ni LAZIMA tujifunze kuwapitisha watawala kwenye tanuru la moto ili wastahili.
Mzee Mwanakijiji, hilo la kuhitaji more nalikubali sana ndio maana mimi nawakomalia sana Chadema to do the right thing and doing the things right,!. Ila pia nimeshajifunza humu kuhusu ukosoaji wowote wa Chadema what does that mean na I won't stop because 2015 is do or die!, tutawakosoa na tutawapitisha kwenye tanuru la moto bila huruma, ili wasiostahili, wateketee mbali na moto, ili nchi nchukuliwe na wale tuu wanaostahili na ikishindikana, basi wataendelea waliopo japo hawastahili mpaka wanaostahili watakapo kuwa tayari!.
 
semantics my friend semantics; unachonicriticize mimi ndicho nawe unakifanya wewe mwenyewe. Ukiangalia mimi na wewe tuko kwenye kitu kile kile.

Ukiwa mkweli hatufanani ktk hilo.Niandikacho mimi kinaweza kisiwe na mpangilio au kisiwe na typing ya uhakika kama yako ambaye ni mwandishi.Ila ujumbe wangu upo clear kuliko wako,hat aniandikacho kinafika vyema kwa watu wenye fikra huru kuliko wewe.Kiuhasilia hata malengo yetu bado hayajawa sawa ndio maana kila mtu hakuelewi unaenda wapi humu ndani zaidi, na hata mimi nimekuwa na interest ya kujadilna na wewe ili kukuelewa zaidi.Sasa huku kukwepakwepa na kuzunguka issue muhimu kunazidi nishangaza zaidi.
Tofauti ni kuwa I want more kwa wale wanaotaka kutuongoza wawe madarakani sasa au wanaotaka kuja baadaye. Katika hili sina cha kucompromise. CDM au chama kingine chochote kinachotaka kuja kuwaongoza WAtanzania ni lazima kiwe kinastahili; na kustahili hakuja kwa sababu mtu anapendwa au chama kinapendwa. Isije kuwa watu wanafikiria CDM inastahili kushika hatamu za uongozi wa taifa kwa sababu watu wengi wanajiunga nacho wanashangiliwa sana na kuwa viongozi wake wanajenga 'hoja vizuri". Au kwamba kwa sababu watu wengi wanakipenda na kuwa tunaona maelfu ya watu wanajitokeza kuwasikiliza na kuwashangilia basi tusiwakosoe. Tukubali tu na kuwapa nafasi ya kustahili.

Sasa hili ni prerogative ya wengine. Mimi ya kwangu iko wazi sana na ukinisoma utanielewa. Ni kweli inaweza kuwa inawaconfuse wengine lakini kwa wale ambao wamenisoma kwa muda mrefu na kunifuatilia wataona hizi pande mbili ambazo ni za msingi sana. CCM haistahili kuachwa inatawala kwa sababu inapendwa - hata kama inaboronga; na CDM haistahili kupewa utawala kwa sababu inapendwa hata kama tunaona kuna mambo hayako sawa. Ni LAZIMA tujifunze kuwapitisha watawala wa sasa na wa baadaye kwenye tanuru la moto ili wastahili.

Hapa naona maelezo ni mengi ila yote ni kujitangazia tuu kuwa uaneleweka,ila unaowasemea wanasema hawakuelewi.mwalimu anayesema wanafunzi wote wanamulewa wakati wote wanasema hawamueleiwi na alichofundishwa hakuna nayeweza kijibia maswali atakuwa anashangaza kama ataendelea komaa kuwa anaeleweka.

Kwa uzoefu wangu watu wanaojitambulisha kuwa neutral (hana dini,chama , timu )au hata wa upande fulani kabla ya kufany amatendo yanayoowafanya watu wafikiri hivyo bila kuambiwa ,wengi wao ni wale waliopo katk timu iliyoshindwa, malengo yaliyoshindwa, au hata wanaomba fadhila za kusikilizwa na kukubaliwa fikra zao.
 
2010 mnasema chadema haikujipanga kiuongozi na hili hamkulisema wakati ule na mpaka mlishiriki kuandika ilani ya chadema ya uchaguzi ..wala hamkushauri ..leo mnasema chadema haijajipanga na bado wanaendelea na makosa yale yale na mnadiriki kusema hawawezi kushinda ...sasa je ni kwamba chadema wanakataa ushauri wenu? .....mnawauma kisha mnawapuliza!!.....
 
Nilisema, na nitasema tena na tena kuwa "CCM Imechokwa, na Chadema Haijajipanga"!. Ili Chadema ipate ushindi wa kishindo 2015, lazima itupe sababu za kukichagua vinginevyo 2015, ni CCM Tena!.

Kila tukiwaambia Chadema humu, kuwa ni kweli M4C is doing a good job!, kuwaamsha waliolala kuhusu maovu ya CCM, rushwa, ufisadi, etc. Tatizo kubwa la Watanzania sio CCM, rushwa au ufisadi, bali ni umasikini, ujinga na maradhi!. Chadema inapaswa isema, ikishaiondoa CCM, yenyewe itafanya nini?. Vinginevyo ni CCM tena!.
P.

teh teh..hata mkosefu hukosea tena na tena...Mbona CUF nao hawajajipanga?HUjaona potential yake Zenj?Au hujui hali ya zenj?Ndio ninachosubiri MMK atupe shule ktk hili.

Kwanza kumuondolea mtu minyoo kunatosha kabisa kumweka huru kiafya.Sasa kurekebisha afya zaidi ni mpango wa stage B.Hiyo hamtaki liona.Kuna vitu vinafanya suhauri wenu usiwe applicable kabisa,hakuna tofauti na kuuliza maswali yenye makosa yayfanyo yasijibike.Kama unabisha fuatilia maswali ya vyuo na secondary zetu,unaweza dhania ni typing errors.Hadi utakapokuja jiuliza kwanini maswali hurudiwa rudiwa tuu.Nina hakika soon hayo maswali ya multiple choices mengine yatakuwa hayajibiki kiasilia ila wanafunzi watajibu tuu kwa vile kuna kinachojulika kikichaguliwa kitachukua maxi.mfano mmojawapo ni .Swali litakalouliza states of matter.wasahihishaji watategemea kupata 3,watahiniwa watajibu 3 hata kama wapo wanojua sivyo.
 
Nilisema, na nitasema tena na tena kuwa "CCM Imechokwa, na Chadema Haijajipanga"!. Ili Chadema ipate ushindi wa kishindo 2015, lazima itupe sababu za kukichagua vinginevyo 2015, ni CCM Tena!.

Kila tukiwaambia Chadema humu, kuwa ni kweli M4C is doing a good job!, kuwaamsha waliolala kuhusu maovu ya CCM, rushwa, ufisadi, etc. Tatizo kubwa la Watanzania sio CCM, rushwa au ufisadi, bali ni umasikini, ujinga na maradhi!. Chadema inapaswa isema, ikishaiondoa CCM, yenyewe itafanya nini?. Vinginevyo ni CCM tena!.
P.

ccm yenyewe imeshasema itawafanyia nini watanzania baadaya uchaguzi hiyo 2015 au ni mwendelezo wa haya tunayoyaona ya rushwa, wizi nk?......hiv mpaka sasa chadema hawajasema wanataka kuifanyia nini nchi hii??...haijajipanga kwa vipi ..kiuongozi, kisera, kiitikadi au hawajui hata wanataka kulifanyia nini taifa hili?....

kipi hasa huko ccm kwa sasa kinakupa nguvu ya kusema ni ccm tena 2015? kipi hasa kwa sasa(2012)
 
Pasco, ingawa ulimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa mgombea "wetu" ENL, wakati uleeee kua kachafuka sana tumpake mafuta ameremete.

Nakuhakikishia kua 2015 ni CCM tena! Kwa hili tupo pamoja unless CDM wabadilike sana. Kwa style hii ya kukosa nidhamu ya viongozi wakuu (ZItto mmojawapo) CDM hawana chao 2015.

Rusheni mawe ila ENL all the way!
Mkuu Fair Player, kwani nimehama kwa EL?, no kinachofanywa na CCM ni ku compromise na EL ili awalete wafuasi wake kwa Membe!. Kwa Chadema niko na ZZK kwa sababu msimamo wa Dr kuhusu kugombea au kutogombea 2015 naujua from the horses mouth!, hivyo 2015, the real the battle might be ni ZZK vs Membe!. EL could make a good "pace maker" so do Membe!.
 
unasoma vitu too literal; nimeweka point kuwa as a principle usitafute kuaminiwa na maadui zako. Mimi binafsi sijui nani ananiamini au nani haniamini. Tukijaribu kuwafanya watu wote wakubali na kutuamini itakuwa inasikitisha.

MMK nimeangalia angle zote na kuona kuna makosa.Au kwa vile umeona nimejibu haraka sana?Ni kawaida yangu nikijibu haraka ndio nakuwa accurate.Ingawa mengi ya uandikayo yana literal meening zaidi ya figurative au nyingine.

mfano kuna swali umelikimbia...Kuwa umeichagua CDM kwa vile ina potential kuchukua madaraka ya nchi?Sijui wewe ukienda waambia ndugu zako girlfriend wako anakupenda na angependa muoane kwa vile unaonekana unauwezo wa kuwa tajiri sijui kam akuna haja tena ya kupigana na watakachokuambia.
 
Nilisema, na nitasema tena na tena kuwa "CCM Imechokwa, na Chadema Haijajipanga"!. Ili Chadema ipate ushindi wa kishindo 2015, lazima itupe sababu za kukichagua vinginevyo 2015, ni CCM Tena!.

Kila tukiwaambia Chadema humu, kuwa ni kweli M4C is doing a good job!, kuwaamsha waliolala kuhusu maovu ya CCM, rushwa, ufisadi, etc. Tatizo kubwa la Watanzania sio CCM, rushwa au ufisadi, bali ni umasikini, ujinga na maradhi!. Chadema inapaswa isema, ikishaiondoa CCM, yenyewe itafanya nini?. Vinginevyo ni CCM tena!.
P.

Mkuu P,
- mpaka sasa hujui tofauti ya CCM na CDM? are you serious?
-mpaka sasa hujui kuwa maadui ambao umewataja CCM wameshindwa for 50 year?
-Mpaka sasa hujui hao maadui wanasababishwa na maovu ya CCM, rushwa, ufisadi,

2015 ni LAZIMA Chadema ishinde, hata CCM ikibadilika vipi, kwa nini chadema itashinda?
-Ni uchaguzi wa kutafuta RAIS wa awamu nyingine, atakuwa mpya si yule yule
-Watanzania wengi wamechoshwa na CCM kwa vyovyote vile wanahitaji mabadiliko.
-Watanzania wengi wameanza kujitambua hasa wa vijijini kupitia M4C
-CCM hawana mtu wa kusimama mbele ya jamii na kusema kitu chochote akaeleweka...
-CCM wametekwa na Lowassa, ambaye ni Fisadi, na kama akigombea Uraisi na CDM tutasema ni zama ya Mwamke Tutamwachia apambane na Halima Mdee, kwa sababu DR.Slaa siyo size ya Mamvi, atasimama Mdee na kufikia saa nne asubuhi tutakuwa tumeshinda.

Ila kwa sababu hamjaiona mikakati na mipango ya CDM 2015, wewe na Mzee Mwanakijiji, mtatoa Tathimini ya kushinda CCM, naamini ni kwa kuwa mnakula CCM mnalala Chadema, Well done Guys.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Fair Player, kwani nimehama kwa EL?, no kinachofanywa na CCM ni ku compromise na EL ili awalete wafuasi wake kwa Membe!. Kwa Chadema niko na ZZK kwa sababu msimamo wa Dr kuhusu kugombea au kutogombea 2015 naujua from the horses mouth!, hivyo 2015, the real the battle might be ni ZZK vs Membe!. EL could make a good "pace maker" so do Membe!.
Bora DR.Slaa alikuchenga, maana unaonekana ni mlopokaji, Mtu wa Dimi mbili,
pili wewe ni Gamba unadhani alikwambia ukweli?
Still hueleweki kuwa na msimamao mara EL mara ZZK,
Mpaka hapo mtu makini anakufahamu, mwanaume unatakiwa kuwa na msimamo
 
Naona kuna mpambano kati ya Chadema Die Hard, Chadema Puppet, Chadema Great Thinkers, na Chadema Tantararira.
 
CCM kushinda 2015 itashinda si kwa sababu inastahili lakini ama kati ya sasa na 2015 itafanya mabadiliko makubwa wakati hawa ambao tulitaka waje kutawala bado wanafikiria watashinda kwa sababu status quo itakuwa maintained. Vinginevyo watu watabakia kushangilia umati wa watu kwenye picha na kufurahia hotuba motomoto na magwanda yanayopendeza. Wataambiwa wasubiri tena 2020!

CDM ilitakiwa iwe madarakani tangu 2010! Lakini makosa yale yale yanajirudia. Guess what? matokeo yatakuwaje...?

Pengine pia Mkuu MMK uwe unasema kuna tofauti ya kushinda na kuchukua ushindi.CCM bado haijaweza waconvince watu kuwa huwa inashinda.Wakati ukiongelea ushindi unahitaji kuweka specifics na ikibidi ushahidi wa ushindi kama side notes.

Halafu pia utupe clue ni kasi gani CCM wanaweza kuwa nayo ktk kipindi kischozidi nusu ya muda wanaweza fanya tena, ili kuokoa jahazi na kuweza washawishi watanzania kuwapa ushindi.

Kama bado unaamini kuwa CDM wanashngilia umati wa watu,basi bado huja update database yako na hivyo hoja zako si valid.Hata mwana CCM hard core anajua kuwa CDM umati wao unamaanisha kura,ndio maana daftari la wapiga kuwa halikurekebishwa, na mara nyingine walinunua vitambulisho,wengine majina yao hayakubandikwa,wengine yalibadilishwa kidogo ili yasiwe sawa yakitambulisho na haya yalifanyika shemu CCM wanajua hawakuwa na wafuasi wengi.Huu ni ushahidi mkubwa toka kwa CCM kuliko wak😵nce again unaonekana kuwa mzuri kujibia watu maswali kuliko hata kujibu yako.
 
CCM kushinda 2015 itashinda si kwa sababu inastahili lakini ama kati ya sasa na 2015 itafanya mabadiliko makubwa wakati hawa ambao tulitaka waje kutawala bado wanafikiria watashinda kwa sababu status quo itakuwa maintained. Vinginevyo watu watabakia kushangilia umati wa watu kwenye picha na kufurahia hotuba motomoto na magwanda yanayopendeza. Wataambiwa wasubiri tena 2020!

CDM ilitakiwa iwe madarakani tangu 2010! Lakini makosa yale yale yanajirudia. Guess what? matokeo yatakuwaje...?

Nakumbuka na wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga ulisema hivi hivi, huwa nashindwa kukuelewa ama unataka viongozi wa CDM wawe wanakuezeza wewe mikakati yao? ulisema tena kwa mifana kibao ya chaguzi dogo, lakini nadhani mpaka sasa kupitia Igunga umeshapata picha kwa nini chadema wakati mwingine huwa wanashindwa?
 
Back
Top Bottom