Ikiwa kama dini moja ina vikundi vya mihadhara ambavyo havikemewi na wenzao vya kukashifu na kukejeli dini nyingine unafikiri inapofikia viongozi wa dini inayodhalilishwa kwa kukashifu imani yao kuuliwa wao watafikiri nini? Pia zipo cd za kudharau na kukashifu ukristo zinasambazwa bila kificho kote tanzania. Hivi hao wachokozi wa kiimani hawawezi kutangaza dini yao bila kutuka dini nyingine?Sasa hivi imekuwa kawaida kwa matukio ya mauji yanayotokea hapa nchini kuhusishwa na vikundi vya alqaida , alshabab au bokoharam hata kama mauaji hayo yamefanywa na majambazi au watu waliolipizana kisasi kwa wivu wa mapenzi au kudhulumiana.
Maranyingi uhusiahwaji huu unatawala zaidi kwenye midomo ya viongozi wasiokuwa makini na vyombo vya habari uchwara vilivyo biased kwenye kuriport taarifa inayohusu jamii fulani hasa anapouwawa anakuwa mkristo.Hatusikii kauli kama hizo wauliwaji wanapokuwa waislamu.
Ni muhimu kuchunguza mauaji kwa umakini ili kuepuka kupandikiza chuki kwa imani nyingine,haina tija kwa taifa.Ni mara ngapi majambazi wanauwa watu kwa kutafuta vitu wanavyohitji kwa watu/mtu waliyemuua?Hivi vikundi vya alshababy,bokoharam na alqaida tusiviombee kuingia nchini ni hatari sana.Na huko kuwatajataja ni kama kuwachafua kwa wambia wapo nchini ili hali hakuna vikundi hivyo nchini kwetu.
Unamkuta waziri mzima analopoka eti kuna alshababy,mara bokoharam,au alqaida bila hata uchunguzi.Kumbukeni mnacheza ngoma msiyoijua na ni hatari kwa umoja na mshikamano wa nchi yetu.Yani akiuwa kiongozi wa kristo tu basi kuna alshababy,hv ni viongozi wangapi wa kiislam au waislamu wangapi wameuawa hapa nchini mpaka sasa na hata tume haijaundwa kuchunguza?Inafikia wakati mpaka kuna wengine wanasema waliouwawa wamejitakia!!
Tukumbuke kuwa thamani ya uhai iko kwa wote halikadhalika uchungu wa mauti.Dr Mafingo aliuawa huko Bulongwa makete watu wakawa kimya.Kama tunaamua kupaza sauti juu ya mauaji basi tufanye hivyo kwa watu wote bila kuwa biased.
Be blessed all.
Sasa hivi imekuwa kawaida kwa matukio ya mauji yanayotokea hapa nchini kuhusishwa na vikundi vya alqaida , alshabab au bokoharam hata kama mauaji hayo yamefanywa na majambazi au watu waliolipizana kisasi kwa wivu wa mapenzi au kudhulumiana.
Maranyingi uhusiahwaji huu unatawala zaidi kwenye midomo ya viongozi wasiokuwa makini na vyombo vya habari uchwara vilivyo biased kwenye kuriport taarifa inayohusu jamii fulani hasa anapouwawa anakuwa mkristo.Hatusikii kauli kama hizo wauliwaji wanapokuwa waislamu.
Ni muhimu kuchunguza mauaji kwa umakini ili kuepuka kupandikiza chuki kwa imani nyingine,haina tija kwa taifa.Ni mara ngapi majambazi wanauwa watu kwa kutafuta vitu wanavyohitji kwa watu/mtu waliyemuua?Hivi vikundi vya alshababy,bokoharam na alqaida tusiviombee kuingia nchini ni hatari sana.Na huko kuwatajataja ni kama kuwachafua kwa wambia wapo nchini ili hali hakuna vikundi hivyo nchini kwetu.
Unamkuta waziri mzima analopoka eti kuna alshababy,mara bokoharam,au alqaida bila hata uchunguzi.Kumbukeni mnacheza ngoma msiyoijua na ni hatari kwa umoja na mshikamano wa nchi yetu.Yani akiuwa kiongozi wa kristo tu basi kuna alshababy,hv ni viongozi wangapi wa kiislam au waislamu wangapi wameuawa hapa nchini mpaka sasa na hata tume haijaundwa kuchunguza?Inafikia wakati mpaka kuna wengine wanasema waliouwawa wamejitakia!!
Tukumbuke kuwa thamani ya uhai iko kwa wote halikadhalika uchungu wa mauti.Dr Mafingo aliuawa huko Bulongwa makete watu wakawa kimya.Kama tunaamua kupaza sauti juu ya mauaji basi tufanye hivyo kwa watu wote bila kuwa biased.
Be blessed all.
Kichwa mbovu angalia ni nani na wakati gani unatamka chochote katika dunia hii. Maana kuna maneno huwezi kutamka mbele ya mama yako na pia kuna maneno mazuri huwezi kutamka wakati wake ukisha pita. Hilo ulisemalo limepita wakati umechelewa kulitamka. Unalitamka leo! Watu watakuita Kichwa mbovu kweli, we haya shauri yako.
nimeona mkanda wa shehe luguli anawaambia waumini wake wawaue mapadri, maaskofu, wachungaji. anawataka waumini wake wawe na kisasi kwa wakristo. sijaipenda kabisa kampeni hiyo. hawa ndio wanaowapaka matope waislamu wengine ambao ni waumini safi. natoa wito kwa waislamu wote wasiifuate CD hiyo. ipo kwenye you tube itafuteni kama kuna mtu anabisha.
Kimsingi nakubaliana na wewe, tunatatizo la kujump into conclusions, hivi majuzi ilifikia hatua baadhi ya watu wakaanza kudai kuna mkakati wa kuhujumu watu wa mbeya wakifanya reference kwa DR Ulimboka, mtangazaji wa channel ten aliyeuwawa iringa na mtu mwingine kama sikosei.
Hii ni kitu mbaya sana, japo kwa kiasi kikubwa inachangiwa na vyombo vya usalama kutokuchukua hatua za haraka kudhibiti uharifu na kutoa taarifa kwa uma au kuonekana kwamba inaacha kutimiza wajibu wake kwa makusudi.
Nadhani watu wengi wanatoa comments zao sababu ya hasira na kutokulidhishwa na utendaji wa serikali. Hivyo ni vyema tukatafakari kama kuna kitu wananchi tunaweza kufanya kuisadia serikali yetu kutimiza majukumu yake.
Madhara ya kusingizia vikundi vya kigaidi ni makubwa sana, tusilete mzaha katika hili, alichokisema mleta mada ni sahihi kabisa.
MACHAFUKO KATI YA WAISLAMU NA WAKIRISTO GEITA, MCHUNGAJI ACHINJWA HADI KUUAWA
[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption"]Hivi ndivyo anavyoonekana Majeruhi Yasin Rajabu na hapa akiwa amelazwa katika wod namba 8 Hospitali ya wilaya ya Geita kwaajili ya kupatiwa matibabu.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption"]Hivi ndivyo anavyoonekana Majeruhi Said Ntahompagaze aliyejeruiwa mguu wakati wa vurugu za waislam na wakristu wachache zilizotokea leo katika kijiji cha Buseresere wilayani Chato mkoani Geita na kusababisha shughuli mbalimbali kusimama.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption"]Majeruhi Vicent Damon akiwa amelazwa wod na 8 hospitali ya wilaya ya Geita aliyejeruiwa wakati wa vurugu za waislam na wakristu wachache zilizotokea leo katika kijiji cha Buseresere wilayani Chato mkoani Geita na kusababisha shughuli mbalimbali kusimama.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption"]Majeruhi Sadick Yahaya.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption"]Majeruhi Ramadan aliyejeruiwa wakati wa vurugu za waislam na wakristu wachache zilizotokea leo katika kijiji cha Buseresere wilayani Chato mkoani Geita na kusababisha fukuto kubwa la vurugu zilizosababisha shughuli mbalimbali kusimama.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Machafuko makubwa yametokea leo katika kijiji cha Buseresere Wilayani Chato Mkoani Geita kati ya waslam na wakristu na kupelekea watu 10 kujeruhiwa vibaya kwa mapanga huku mchungaji wa kanisa la Pentekoste Assemblies of God Mathayo Kachila (45) akipoteza maisha kwa kuchinjwa na watu wanaodaiwa ni waumini wadini ya kiislam kisha mwili wake kutelekezwa kwenye vibanda vya maduka ambavyo vilikuwa jirani na eneo hilo.
Habari na picha kwa hisani ya Gsengo Blog
MUTAUWANA SANA MWAKA HUU WATANGANYIKA UBAYA NA CHUKI ZENU ZIDI YA WAZANZIBARI ZITAKURUDIENI WENYENU KWA EWEZO WA M/MUNGU KILA UBAYA MULIOKUSUDIA PROPAGANDA NA AGENDA CHAFU DHIDI YA WAZANZIBARI HAMUTOFANIKIWA
Umeona eee? kutokana na bandiko lake hakuna shaka yeye ni alshababu.
Nenda madrasa!! ukajifunze ustaarabu kama unafundishwaga huko!! Haki ya kuchinja hakuna!! mashule tutaanza kusomesha wanetu tu nyie mbaki au muende kwa wapuuzi wenzenu somalia mkachinjane wenyewe kwa wenyewe!!Mara nyingi ukweli unauma.Na tutazidi kuusema mpaka haki itendeke nchini.Hata ukitukana ndivyo hali ilivyo kwa sasa,ni mwondoko wa kupambana na mfumokristo,dhulma za MOU ,NECTA ambayo mwaka huu wengi wameonja machungu wanayopata waislamu kila mwaka na kile kigango kinachoongozwa na mama ndalichako.Muulize mkuu wa shule ya Green acre atakuambia,watu hawajafanya mitihani wamefauli,wamefauluje,ni aibu sana.
Mnajiita mna elimu but elimu zenu haziwakomboi.
Matukio ya kuawawa masheikh na waislamu huwa hayajifichi,tazama Zanzibar,tazama mwembechai,tazama sheikh rogo.Naomba ushirikishe akili yako kidogo,sheikh akiuwawa ni rahisi kuwatuhumu wakristo kama mnavyowatuhumu waislamu kwenye mauaji ya padiri kule Zanzibar hata tetesi zinasema ni mambo ya mzungu wa unga,lakini mmekomaa na waislamu,hatuwezi kudili na polisi tutadili na aliyewatuma polisi nyuma ya pazia,ndivyo ilunga anavyotaka.Tutaheshimiana tu,VIONGOZI wa waislamu watawahimiza waumini wao kutowaua viongozi wa dini ya kikristo kuhofia mjibizo na kinyume chake.Kama kuna wamerekani au waisraeli wanaendisha haya mauaji kwa kile wanachodai kuwa ni kupambana na ugaidi wajue wazi kuwa hawatalia waislamu peke yao,kilio kitukua huku na huku.Leo atalia muislamu kesha atalia mkristo.
Kichwa mbovu maandiko yako ni ya uchjochezi! Yaani hujaona mwendelezo uliopo katika vitendo vya kihalifu ambavyo vinaashiria matendo ya kigaidi. Wewe unafikiri Mapadri wawili kupigwa risasi katika kipindi cha miezi miwili ni uhalifu wa kawaida tena kwa kutoa na vipeperushi vya majigambo na vitisho! Pia huoni kwamba targeted attack ya kuchoma makanisa ni vitendo vya kawaida. Huoni kuwa wanaotenda haya wanataka upande mwingine uhamaki na hivyo kufikia malengo Yao ya kutugobanisha? Basi Kama huoni haya wewe ni kipofu kwelikweli.
Wewe unataka kuhoji elimu yangu? (Naomba tusifike huko, UTADHALILIKA zaidi ya unavyojidhalilisha mwenyewe hapa)
Kama Uislam haupendi UNAFIKI, basi Waislam wangekuwa wa kwanza kukemea Waislam wenzao wanapofanya mambo mabaya. Lakini kwa kuwa unafiki ni sehemu ya maisha msiyoweza kuiepuka, mko hivi:
(i) Muislam akifanya jambo baya kwa tiketi ya Uislam, wote mnasema HUYO sio Muislam, ni mhuni tu
(ii) Huyo mliomuita MHUNI akikamatwa, Waislam wanaandamana.
Ni nini kama sio unafiki?
Labda nikuulize: Wakati mnaandamana Ponda apewe dhamana, hakuna watu wengine magerezani ambao nao wanaamini kuwa wamefungwa pasipo haki? Na lini ulisikia Wakristo wameamka toka Kanisani kwenda kufanya fujo yeyote?
Halafu kama haitoshi, umeanza na VIONGOZI wa KIKRISTO, mbona usijibu yanayotokea Pakistan, Iran na Iraq ambapo Waislam wa Shia na Sunni wanauana, au nao wanauana sababu ya Wakristo? (Manake naona umekimbia mada)
Kumbe tuna watu wa wazi kabisa wanaochochea mauaji na badala yake tunakimbilia kusema ni magaidi. vyombo vya habari na watu wanaochochea vurugu ndiyo wa kushughulikiwa mapema iwezekanavyo kabla ya kurukia kusema ni ni AL-QAEDA, BOKOHARAM n,k
Kuuwawa auwawe muislam bwana akiuwawa mkristo kelele kila kona.Huu unafiki utaisha lini,mbona waislam wanapouawa kelele hizi hazisikiki,au mwislam kwenu kuuliwa ni halali?