Propaganda hii ni chafu haina tija kwa taifa

Propaganda hii ni chafu haina tija kwa taifa

Status
Not open for further replies.
Najua utakuwa umemkusudia Ustaadhi Ilunga.Kwanza huyu ustaadhi anatakiwa apongezwe kwa nasaha zake nzuri anazotoa,tatizo wenzetu hamuelewi mantiki yake ndio maana mnaishinikisa serikali imkamate huyu sheikh kwa kuwa anahamasisha mauaji.Kama utashilikisha akili kwenye nasaha za ustaadhi ilunga utagundua kuwa huyu jamaa ana akili sana,tena ana akili za kipekee hata Serikali yenyewe isha litambua hilo.

Labda tuangalie mantiki ya huyu ustaadhi.Kwanza kuna nadharia imejengeka kuwa masheikh ni magaidi.Endapo sheikh ikiuawa vyombo vyote vya habari vitatangaza kuwa sheikh alikuwa gaidi,hivyo hakuna haja ya kuunda tume ya uchunguzi.Waislamu wanaumia na kuweka visasi moyoni mfano mauaji ya sheikh Abdu Rogo aliyemuelezea ustaadh Ilunga wa kenya,na mauaji ya mwembechai ambayo hayatafutika kwenye vichwa cya waislamu.

Waislamu wameonekana hawana mtetezi,so inabidi kujitetea wenyewe.Katika kujitetea na kujenga heshima ndipo hapo ustaadhi Ilunga alipokuja na jawabu la kuuwawa viongozi wa kiislamu.Kwamba Sheikh akiuawa na waislamu waue mapandre kwa siri au kwa dhahiri,tena kazungumza bila kificho maanabila hivyo huwa somo halieleweki.

Hapo inamaanisha kuwa watu wanaocheza huo mchezo wa kuwaua masheikh hata sio wakristo wa hapa nchini,wataacha huo kwani watajua kuwa akiuawa sheikh mmoja lazima pandre mmoja nae atauwawa.Kwa kujua hivyo watu tutaheshimiana.Wakristo watawalinda waislamu na waislamu watawalinda wakristo.

Hiyo ndiyo mantiki ya ustaadhi Ilunga ambayo kwa baadhi ya watu wachochezi wanashindwa kuielewa hoja hii,wanabaki kuishinikiza tu serikali wamkamte sheikh Ilunga kana kwamba nchi inaongozwa kwa mashinikizo.
Kwa hiyo hata polisi wa Kenya walipomuua Rogo jawabu likawa atafutwe padre auawe!!
Kwa hiyo sheikh akiuawa kwenye fumanizi atafutwe padre auawe!
Popote sheikh atakapouawa mhanga awe kiongozi wa kikristo!! kaaz kweli kweli.
Ukweli umeonyesha ufinyu wa kufikiri wa kutisha pamoja na huyo Ilunga!! Ni kwa nini achaguliwe padre kwa kisasi badala ya polisi aliyeua?
Huu ni ushetani PURE!!. Na kama kweli ndivyo Kuran inavyosema nasikitika..........sina cha kusema!! Tunajadiliana na watu tofauti kabisa samahani.... sihitaji malumbano tena!!
 
Matukio ya kuawawa masheikh na waislamu huwa hayajifichi,tazama Zanzibar,tazama mwembechai,tazama sheikh rogo.Naomba ushirikishe akili yako kidogo,sheikh akiuwawa ni rahisi kuwatuhumu wakristo kama mnavyowatuhumu waislamu kwenye mauaji ya padiri kule Zanzibar hata tetesi zinasema ni mambo ya mzungu wa unga,lakini mmekomaa na waislamu,hatuwezi kudili na polisi tutadili na aliyewatuma polisi nyuma ya pazia,ndivyo ilunga anavyotaka.Tutaheshimiana tu,VIONGOZI wa waislamu watawahimiza waumini wao kutowaua viongozi wa dini ya kikristo kuhofia mjibizo na kinyume chake.Kama kuna wamerekani au waisraeli wanaendisha haya mauaji kwa kile wanachodai kuwa ni kupambana na ugaidi wajue wazi kuwa hawatalia waislamu peke yao,kilio kitukua huku na huku.Leo atalia muislamu kesha atalia mkristo.
 
Matukio ya kuawa masheikh na waislamu huwa hayajifichi,tazama Zanzibar,tazama mwembechai,tazama sheikh rogo.Naomba ushirikishe akili yako kidogo,sheikh akiuwawa ni rahisi kuwatuhumu wakristo kama mnavyowatuhumu waislamu kwenye mauaji ya padiri kule Zanzibar hata tetesi zinasema ni mambo ya mzungu wa unga,hatuwezi kudili na polisi tutadili na aliyewatuma polisi nyuma ya pazia,ndivyo ilunga anavyotaka.Tutaheshimiana tu,VIONGOZI wa waislamu watawahimiza waumini wao kutowaua viongozi wa dini ya kikristo kuhofia mjibizo na kinyume chake.Kama kuna wamerekani au waisraeli wanaendisha haya mauaji kwa kile wanachodai kuwa ni kupambana na ugaidi wajue wazi kuwa hawatalia waislamu peke yao,kilio kitukua huku na huku.Leo atalia muislamu kesha atalia mkristo.
Wewe mpuuzi si nimekuambia huna kiwango cha majadiliano ya kistaarabu? usiendeleze huu upumbavu usije ukaniambukiza crazy idiot!!
 
Kweli wewe ni Islander Warrior, ​ulichokaririshwa wewe ni kuwa watanganyika wanakuvhukia sana na wanakufanyia propaganda chafu, kwa sababu hiyo inabidi na wewe uwachukie kwa sababu umefundishwa kuwa wanakuchukia, endelea kuamini hivyohivyo mpaka siku ya kiama.
MACHAFUKO KATI YA WAISLAMU NA WAKIRISTO GEITA, MCHUNGAJI ACHINJWA HADI KUUAWA

[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption, align: center"]Hivi ndivyo anavyoonekana Majeruhi Yasin Rajabu na hapa akiwa amelazwa katika wod namba 8 Hospitali ya wilaya ya Geita kwaajili ya kupatiwa matibabu.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption, align: center"]Hivi ndivyo anavyoonekana Majeruhi Said Ntahompagaze aliyejeruiwa mguu wakati wa vurugu za waislam na wakristu wachache zilizotokea leo katika kijiji cha Buseresere wilayani Chato mkoani Geita na kusababisha shughuli mbalimbali kusimama.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption, align: center"]Majeruhi Vicent Damon akiwa amelazwa wod na 8 hospitali ya wilaya ya Geita aliyejeruiwa wakati wa vurugu za waislam na wakristu wachache zilizotokea leo katika kijiji cha Buseresere wilayani Chato mkoani Geita na kusababisha shughuli mbalimbali kusimama.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption, align: center"]Majeruhi Sadick Yahaya.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption, align: center"]Majeruhi Ramadan aliyejeruiwa wakati wa vurugu za waislam na wakristu wachache zilizotokea leo katika kijiji cha Buseresere wilayani Chato mkoani Geita na kusababisha fukuto kubwa la vurugu zilizosababisha shughuli mbalimbali kusimama.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Machafuko makubwa yametokea leo katika kijiji cha Buseresere Wilayani Chato Mkoani Geita kati ya waslam na wakristu na kupelekea watu 10 kujeruhiwa vibaya kwa mapanga huku mchungaji wa kanisa la Pentekoste Assemblies of God Mathayo Kachila (45) akipoteza maisha kwa kuchinjwa na watu wanaodaiwa ni waumini wadini ya kiislam kisha mwili wake kutelekezwa kwenye vibanda vya maduka ambavyo vilikuwa jirani na eneo hilo.

Habari na picha kwa hisani ya Gsengo Blog

MUTAUWANA SANA MWAKA HUU WATANGANYIKA UBAYA NA CHUKI ZENU ZIDI YA WAZANZIBARI ZITAKURUDIENI WENYENU KWA EWEZO WA M/MUNGU KILA UBAYA MULIOKUSUDIA PROPAGANDA NA AGENDA CHAFU DHIDI YA WAZANZIBARI HAMUTOFANIKIWA

Walai omba usiwe mdini mjinga kama mtoa mada hii!
 
Walai omba usiwe mdini mjinga kama mtoa mada hii!

Umeona eeh!

Yaani anajaribu kulimenya chungwa likiwa mtini kwa matarajio kuwa litaendelea kukua. Hajajua kama kuna ugumu wa kutenganisha UIS.... na UGAI....

Hawa watu wana matata fulani akilini wenyewe hawajijui. Hivi kwa mfano hapa kwetu wakifanya fujo husingizia wamepunjwa hiki au kile au wamedhulumiwa jambo fulani, na hapo stori watakayotumia kuhimizana kufanya uhalifu ni MFUMO KRISTO.

Sasa njoo kwenye nchi kama Pakistan. Huko hakuna Wakristo na in short nchi yenyewe ni ya Kiislam, lkn kuna mamia ya vikundi vya kupigania haki za Waislam na kila leo tunasikia wanatwangana mabomu. Sijamaliza......

Waislam hawa hawa, baada ya kuona hawana raha katika nchi zao hizo hizo zenye kuongozwa na SHARIA wapo wepesi sana kuomba uraia wa nchi kama Ufaransa, U.S.A, Canada na UK...lkn cha ajabu wakifika huko, wanaanzisha harakati za kupeleka sharia, mitandio na vikundi huko ili sijui na huko kuwe kama walikotoka ama vipi, mi sijui.

Kusema ukweli ni Mungu tu ndio anajua Allah aliwawekea nini Waislam vichwani.
 
Wewe mpuuzi si nimekuambia huna kiwango cha majadiliano ya kistaarabu? usiendeleze huu upumbavu usije ukaniambukiza crazy idiot!!

Mara nyingi ukweli unauma.Na tutazidi kuusema mpaka haki itendeke nchini.Hata ukitukana ndivyo hali ilivyo kwa sasa,ni mwondoko wa kupambana na mfumokristo,dhulma za MOU ,NECTA ambayo mwaka huu wengi wameonja machungu wanayopata waislamu kila mwaka na kile kigango kinachoongozwa na mama ndalichako.Muulize mkuu wa shule ya Green acre atakuambia,watu hawajafanya mitihani wamefauli,wamefauluje,ni aibu sana.
Mnajiita mna elimu but elimu zenu haziwakomboi.
 
Umeona eeh!

Yaani anajaribu kulimenya chungwa likiwa mtini kwa matarajio kuwa litaendelea kukua. Hajajua kama kuna ugumu wa kutenganisha UIS.... na UGAI....

Hawa watu wana matata fulani akilini wenyewe hawajijui. Hivi kwa mfano hapa kwetu wakifanya fujo husingizia wamepunjwa hiki au kile au wamedhulumiwa jambo fulani, na hapo stori watakayotumia kuhimizana kufanya uhalifu ni MFUMO KRISTO.

Sasa njoo kwenye nchi kama Pakistan. Huko hakuna Wakristo na in short nchi yenyewe ni ya Kiislam, lkn kuna mamia ya vikundi vya kupigania haki za Waislam na kila leo tunasikia wanatwangana mabomu. Sijamaliza......

Waislam hawa hawa, baada ya kuona hawana raha katika nchi zao hizo hizo zenye kuongozwa na SHARIA wapo wepesi sana kuomba uraia wa nchi kama Ufaransa, U.S.A, Canada na UK...lkn cha ajabu wakifika huko, wanaanzisha harakati za kupeleka sharia, mitandio na vikundi huko ili sijui na huko kuwe kama walikotoka ama vipi, mi sijui.

Kusema ukweli ni Mungu tu ndio anajua Allah aliwawekea nini Waislam vichwani.

Hapo ndio mwisho wa elimu yako.Tambua kuwa uislamu sikuzote unapambana na batili ili haki isimame.Kiongzi yoyote anayedhulumu haki za watu ataambiwa bila unafiki hata kama atachukia.Uislamu haupendi unafiki ndio maana viongozi wenu wakikosea wanaambiwa live bila kung'ata maneno.Mfano wa unafiki unaofanywa na viongozi wa kikristo,mauaji yakiwa yanawahusu waislamu hakuna atakaye kemea zaidi watasema waliouawa wamejitakia,lakini akiuawa mkristo mmoja tu matamko kibao mpaka kero

Ni muhimu kutambua kuwa uhai unathamani kwa kila mwanadamu na mauti yanauchungu pia kwa kila mwana adam.Tusione wangine wakiuawawa ni halali kwakuwa wamenasibishwa na ugaidi,kunauthibitisho?Tunaomba mungu atunuthuru kwa kila la shari na awaumbue wanafiki.
 
Walai omba usiwe mdini mjinga kama mtoa mada hii!

Mkiambiwa ukweli mnakimbila ooh mara udini mara kashfa dhidi ya dini nyingine,mkiambiwa mdifine ua mbanishe hizo kashfa hamuwezi kafanya hivyo.Ili nchi iwe salama lazima tuambiane ukwelini kuliko kuoneana aibu na kuonana mazombi.Huo wakati umekwisha.
 
Kichwa mbovu angalia ni nani na wakati gani unatamka chochote katika dunia hii. Maana kuna maneno huwezi kutamka mbele ya mama yako na pia kuna maneno mazuri huwezi kutamka wakati wake ukisha pita. Hilo ulisemalo limepita wakati umechelewa kulitamka. Unalitamka leo! Watu watakuita Kichwa mbovu kweli, we haya shauri yako.
 
Hapo ndio mwisho wa elimu yako.Tambua kuwa uislamu sikuzote unapambana na batili ili haki isimame.Kiongzi yoyote anayedhulumu haki za watu ataambiwa bila unafiki hata kama atachukia.Uislamu haupendi unafiki ndio maana viongozi wenu wakikosea wanaambiwa live bila kung'ata maneno.Mfano wa unafiki unaofanywa na viongozi wa kikristo,mauaji yakiwa yanawahusu waislamu hakuna atakaye kemea zaidi watasema waliouawa wamejitakia,lakini akiuawa mkristo mmoja tu matamko kibao mpaka kero

Ni muhimu kutambua kuwa uhai unathamani kwa kila mwanadamu na mauti yanauchungu pia kwa kila mwana adam.Tusione wangine wakiuawawa ni halali kwakuwa wamenasibishwa na ugaidi,kunauthibitisho?Tunaomba mungu atunuthuru kwa kila la shari na awaumbue wanafiki.

Wewe unataka kuhoji elimu yangu?
(Naomba tusifike huko, UTADHALILIKA zaidi ya unavyojidhalilisha mwenyewe hapa)

Kama Uislam haupendi UNAFIKI, basi Waislam wangekuwa wa kwanza kukemea Waislam wenzao wanapofanya mambo mabaya. Lakini kwa kuwa unafiki ni sehemu ya maisha msiyoweza kuiepuka, mko hivi:
(i) Muislam akifanya jambo baya kwa tiketi ya Uislam, wote mnasema HUYO sio Muislam, ni mhuni tu
(ii) Huyo mliomuita MHUNI akikamatwa, Waislam wanaandamana.
Ni nini kama sio unafiki?

Labda nikuulize: Wakati mnaandamana Ponda apewe dhamana, hakuna watu wengine magerezani ambao nao wanaamini kuwa wamefungwa pasipo haki? Na lini ulisikia Wakristo wameamka toka Kanisani kwenda kufanya fujo yeyote?

Halafu kama haitoshi, umeanza na VIONGOZI wa KIKRISTO, mbona usijibu yanayotokea Pakistan, Iran na Iraq ambapo Waislam wa Shia na Sunni wanauana, au nao wanauana sababu ya Wakristo? (Manake naona umekimbia mada)
 
Mkiambiwa ukweli mnakimbila ooh mara udini mara kasha zidi ya dini nyingine,mkiambiwa mdifine ua mbanishe hizo kashfa hamuwezi kafanya hivyo.Ili nchi iwe salama lazima tuambiane ukwelini kuliko kuonana mazombi.Huo wakati umekwisha.

Unataka ukweli?

pedophile-muslim-cleric-Pujiono-Cahyo-Widayanto.jpg
 
Usimhukumu mtu kwa jina lake , bali kwa matendo yake.

........utamjuaje mtu matendo yake kwa kuangalia alichokiandika? Unadhani haya maandishi ya hapa yanasaidia kufahamu matendo ya muhusika?. Yupo sahihi jamaa kwa kufananisha jina analolitumia na alichoandika 7bu maandishi hayaonyeshi matendo kaka.
 
Wewe kichwa maji, hebu soma hii link
Prophet Muhammad

Unataka tuambiane ukweli?

......mkuu nimepitia hiyo link uliyoiweka, nimegundua hao watu ni hatari yaani home kama una katoto kuanzia miaka 6 na kuendelea, ukiona mtu ana midevu devu kavaa kanzu lazima uogope maana anaweza kumfanya kitu mbaya akasingizia kuwa jamaa wao nae alifanya hivyo hivyo. Hawana maana kabisa hao lol!!!
 
Sasa hivi imekuwa kawaida kwa matukio ya mauji yanayotokea hapa nchini kuhusishwa na vikundi vya alqaida , alshabab au bokoharam hata kama mauaji hayo yamefanywa na majambazi au watu waliolipizana kisasi kwa wivu wa mapenzi au kudhulumiana.

Maranyingi uhusiahwaji huu unatawala zaidi kwenye midomo ya viongozi wasiokuwa makini na vyombo vya habari uchwara vilivyo biased kwenye kuriport taarifa inayohusu jamii fulani hasa anapouwawa anakuwa mkristo.Hatusikii kauli kama hizo wauliwaji wanapokuwa waislamu.

Ni muhimu kuchunguza mauaji kwa umakini ili kuepuka kupandikiza chuki kwa imani nyingine,haina tija kwa taifa.Ni mara ngapi majambazi wanauwa watu kwa kutafuta vitu wanavyohitji kwa watu/mtu waliyemuua?Hivi vikundi vya alshababy,bokoharam na alqaida tusiviombee kuingia nchini ni hatari sana.Na huko kuwatajataja ni kama kuwachafua kwa wambia wapo nchini ili hali hakuna vikundi hivyo nchini kwetu.

Unamkuta waziri mzima analopoka eti kuna alshababy,mara bokoharam,au alqaida bila hata uchunguzi.Kumbukeni mnacheza ngoma msiyoijua na ni hatari kwa umoja na mshikamano wa nchi yetu.Yani akiuwa kiongozi wa kristo tu basi kuna alshababy,hv ni viongozi wangapi wa kiislam au waislamu wangapi wameuawa hapa nchini mpaka sasa na hata tume haijaundwa kuchunguza?Inafikia wakati mpaka kuna wengine wanasema waliouwawa wamejitakia!!

Tukumbuke kuwa thamani ya uhai iko kwa wote halikadhalika uchungu wa mauti.Dr Mafingo aliuawa huko Bulongwa makete watu wakawa kimya.Kama tunaamua kupaza sauti juu ya mauaji basi tufanye hivyo kwa watu wote bila kuwa biased.

Be blessed all.
Ndio matokeo ya kutawaliwa na hulka na fikra mgando ambazo hazichagizi bongo zao kufikiria nje ya box. Kila wanapoaminishwa kuhusu jambo ama tukio fulani wanakuwa wepesi kuamini na kushadidia bila ya kufanya tafakuri za kina.....Na wakubwa wa nchi za magharibi wanafurahia sana ujuha wetu; Tukumbuke kuwa tulivumishiwa kuwa Saddam Hussein alikuwa anasakwa kwa utawala wake kuhodhi silaha za maangamizi, lakini hakuna asiyejuwa kuwa baada ya kumwangamiza na kupekua kila kona ya nchi hakuna alama za kuwepo kwa silaha hizo na bado tukabaki na uzuzu wetu. Tumeaminishwa kuhusu Septemba 11 kuwa ni njama za Osama bin Laden na alqaida yake...lakini leo hii ukweli unaanza kujidhihiri kuwa ilikuwa ni njama za ndani zilizolenga kuwapambaza raia wake ili kukidhi malengo maalum. Tusikubali kuamini kila tuambiwacho na wakubwa...tutumie bongo na utashi wetu katika kujiamulia mustakabali wetu kwa haki na uadilifu.
 
......mkuu nimepitia hiyo link uliyoiweka, nimegundua hao watu ni hatari yaani home kama una katoto kuanzia miaka 6 na kuendelea, ukiona mtu ana midevu devu kavaa kanzu lazima uogope maana anaweza kumfanya kitu mbaya akasingizia kuwa jamaa wao nae alifanya hivyo hivyo. Hawana maana kabisa hao lol!!!

Shida ya wenzetu hawa ni UBONGO umeharibika. Kama mtu anaamini Polisi akiua Shehe jambo sahihi ni wewe kuua Askofu au Padre, utaniita mbaya nikisema wana taahira?

Rogo kauliwa na polisi, dhahiri na hilo limethibitika, Askofu anakujaje?

Huko Iran na Iraq wapo wao wenyewe, lkn kila siku wanauana na mabomu. Hii ni laana, hamna kingine. Sasa hiyo link wakiisoma watasema huyo aliyefanya hivyo siyo Muislam, lkn mtu huyo huyo akikamatwa akawekwa ndani, wanaandamana kuwa Waislam wanaonewa.

Saa hizi unapomuona yupo kimya ujue anaandaa utumbo mwingine uliopo nje ya mada
 
Ndio matokeo ya kutawaliwa na hulka na fikra mgando ambazo hazichagizi bongo zao kufikiria nje ya box. Kila wanapoaminishwa kuhusu jambo ama tukio fulani wanakuwa wepesi kuamini na kushadidia bila ya kufanya tafakuri za kina.....Na wakubwa wa nchi za magharibi wanafurahia sana ujuha wetu; Tukumbuke kuwa tulivumishiwa kuwa Saddam Hussein alikuwa anasakwa kwa utawala wake kuhodhi silaha za maangamizi, lakini hakuna asiyejuwa kuwa baada ya kumwangamiza na kupekua kila kona ya nchi hakuna alama za kuwepo kwa silaha hizo na bado tukabaki na uzuzu wetu. Tumeaminishwa kuhusu Septemba 11 kuwa ni njama za Osama bin Laden na alqaida yake...lakini leo hii ukweli unaanza kujidhihiri kuwa ilikuwa ni njama za ndani zilizolenga kuwapambaza raia wake ili kukidhi malengo maalum. Tusikubali kuamini kila tuambiwacho na wakubwa...tutumie bongo na utashi wetu katika kujiamulia mustakabali wetu kwa haki na uadilifu.

Pumba tupu, kasoro hapo kwenye red. At least wewe unajua kuwa KUNA WAKUBWA. Baada ya Saddam Hussein kuondolewa madarakani, waliomshitaki na kumnyonga walikuwa nani?

Makosa waliyomuorodheshea ya kuua Wakurd, kukata watu mikono, kuua wapinzani wake wa kisiasa nayo yalikuwa ya kuaminishwa?
 
We have to open our mind before opening our mouth,we have to analyze before

making any judgment otherwise we are going to regret to what will happen to us and the generation to came

Somebody is playing but he is playing a bad game,there is no winner on this game we all gonna suffer

God bless Tanzannia na watu wake
 
Oh my God, leo nimepoteza muda mwingi sana talking with fools...hey pals, bye bye!

[h=1]Egypt's women urge MPs not to pass early marriage, sex-after-death laws: report[/h]

640x392_80058_210198.jpg

By Abeer Tayel
Al Arabiya
Egypt's National Council for Women (NCW) has appealed to the Islamist-dominated parliament not to approve two controversial laws on the minimum age of marriage and allowing a husband to have sex with his dead wife within six hours of her death according to a report in an Egyptian newspaper.

The appeal came in a message sent by Dr. Mervat al-Talawi, head of the NCW, to the Egyptian People's Assembly Speaker, Dr. Saad al-Katatni, addressing the woes of Egyptian women, especially after the popular uprising that toppled president Hosni Mubarak in February 2011.

She was referring to two laws: one that would legalize the marriage of girls starting from the age of 14 and the other that permits a husband to have sex with his dead wife within the six hours following her death.

According to Egyptian columnist Amro Abdul Samea in al-Ahram, Talawi's message included an appeal to parliament to avoid the controversial legislations that rid women of their rights of getting education and employment, under alleged religious interpretations.

"Talawi tried to underline in her message that marginalizing and undermining the status of women in future development plans would undoubtedly negatively affect the country's human development, simply because women represent half the population," Abdul Samea said in his article.

The controversy about a husband having sex with his dead wife came about after a Moroccan cleric spoke about the issue in May 2011.

Zamzami Abdul Bari said that marriage remains valid even after death adding that a woman also too had the same right to engage in sex with her dead husband.

Two years ago, Zamzami incited further controversy in Morocco when he said it was permissible for pregnant women to drink alcohol.

But it seems his view on partners having sex with their deceased partners has found its way to Egypt one year on.

Egyptian prominent journalist and TV anchor Jaber al-Qarmouty on Tuesday referred to Abdul Samea's article in his daily show on Egyptian ON TV and criticized the whole notion of "permitting a husband to have sex with his wife after her death under a so-called ‘Farewell Intercourse' draft law."

"This is very serious. Could the panel that will draft the Egyptian constitution possibly discuss such issues? Did Abdul Samea see by his own eyes the text of the message sent by Talawi to Katatni? This is unbelievable. It is a catastrophe to give the husband such a right! Has the Islamic trend reached that far? Is there really a draft law in this regard? Are there people thinking in this manner?"

Many members of the newly-elected, and majority Islamist parliament, have been accused of launching attacks against women's rights in the country.

They wish to cancel many, if not most, of the laws that promote women's rights, most notably a law that allows a wife to obtain a divorce without obstructions from her partner. The implementation of the Islamic right to divorce law, also known as the Khula, ended years of hardship and legal battles women would have to endure when trying to obtain a divorce.

Egyptian law grants men the right to terminate a marriage, but grants women the opportunity to end an unhappy or abusive marriages without the obstruction of their partner. Prior to the implementation of the Khula over a decade ago, it could take 10 to 15 years for a woman to be granted a divorce by the courts.

Islamist members of Egyptian parliament, however, accuse these laws of "aiming to destroy families" and have said it was passed to please the former first lady of the fallen regime, Suzanne Mubarak, who devoted much of her attention to the issues of granting the women all her rights.

The parliamentary attacks on women's rights has drawn great criticism from women's organizations, who dismissed the calls and accused the MPs of wishing to destroy the little gains Egyptian women attained after long years of organized struggle.

Haya ndio maendeleo Muslim Brotherhood wanatarajia kuyaleta Egypt.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom