Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...

Too late, uspanic na usitumie ngv za hvyo, hii nchi sisi si wageni, we always connect the dots by looking bckward, nyamaza kabisa na tia kufuri kwenye bakuri lako
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...

Ok humalizwa kwa viroba baharini
 
Mungu akikunyima akili hukuachia ujinga.
Mtoa mada ubadhani hao unaowaita wa system wana akili Sana?
Kuna akili na weledi upi uliotumika kwenye sakata za Ulimboka, Nape,Roma na Kubenea,kama si ujinga na utoto.
Hii mijitu yako ni washamba ambao hujiona wao ni kama Schwarzenegger au Rambo na kutembeza ubabe na silaha hovyo hovyo hadharani
Eti 'watu wasiojulikana' ? Uhayawani mtupu toka sehemu kama Kolomije hivi
 
Kuna MTU ndani ya chadema hamtaki lisu kwani atamuharibia hii ni inside job ..watu Wã system hawawezi kupiga risasi nyingi vile
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Inabidi uunganishe na ma-punga wenzako huko insta na Mange Kimambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suspect number one wa tukio la kupigwa risasi Lissu ni yule alisema hadharani mbele ya vyombo vya habari kuwa atamshughulikia Lissu nje ya bunge, na huko bungeni mwenye mhimili wa bunge aliagizwa awatoe huko ndani ya bunge ili aje awashughulikie vizuri nje, hivyo mhusika mkuu wa tukio hili anajulikana
 
Jamaa aliemtishia waziri bastola alitumia mafunzo ya wapi? USA, Russia, Israel au IRan? ukijibu hapo nadhani itakua unao uelewa wa ulicho andika
 
Kinachofanay watu waspeculate ni system kutokujali maisha ya Lisu na wapinzani hata wanapotoa taarifa kinzani na usalama wao.

Kingine ni kule kutangazwa kwamba ni adui na watu wanaonza kutaka kuwaua, kuachwa bila kuchukuliwa hatua yoyote.

Uonveu wanaofanyiwa bungeni na kwingineko.

BTW, jambo la kuliangalia lingine ni lile alilisema Askofu Gwajima kwamba (Nanukuu), kuna watu wanataka kumuua mtu fulani, halafu waseme Magufuli kamuua yule mtu, halafu wale watu wamuue Magufuli, baada ya kumuua Magufli waseme Marafiki wa aliyeuawa ndiyo wamemuua Magufuli kwa kulipa kisasi cha mtu wao aliyeuawa. Kisha waje na raisi wao wanayemtaka.

Tatizo ni kwamba serikali imekazana kuwahesabu wapinzani kuwa ni adui na hata kuwapa viburi watu kufanya lolte dhidi ya wapinzani kama DC wa Hai, Speaker an Naibu wake Bungeni, Gambo ect, kiasi kwamba inajenga mtazamo wa moja kwa moja kwamb baya likiwapata litakuwa limetoka na na huo uadui.

Lakini Serikali ingelikuwa na hiyo chuki, bila shaka haya mawazo yangelikuwa mbali na hata hao (iwapo wapo), wanaotaka kutumia corridor ya kuwaharass wapinzani ili kuvuruga mfumo na kumweka huyo raisi wanayemtaka ambaye bila shaka aliangushwa, wangepata wakati mgumu.

KULIFUMBUA HILI FUMBO SERIKALI IRUHUSU WACHUNGUZI BINAFSI WA KIMATAIFA WAJE KUFANAY UPELELEZI WA HILI SUALA. INAWEZEKANA KABISA IKAWA NI NJIA YA WATU WENYE NIA OVU KUVURUGA NCHI NA KUWEKA RAISI WAMTAKAYE KWA KUTUMIA MWANYA WA CHUKI ZA SERIKALI KWA WAPINZANI.

HAKUNA ALIYE SALAMA.
IGP SIRO CHUKUA GWAJIMA AKASAIDIE UCHUNGUZI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachofanay watu waspeculate ni system kutokujali maisha ya Lisu na wapinzani hata wanapotoa taarifa kinzani na usalama wao.

Kingine ni kule kutangazwa kwamba ni adui na watu wanaonza kutaka kuwaua, kuachwa bila kuchukuliwa hatua yoyote.

Uonveu wanaofanyiwa bungeni na kwingineko.

BTW, jambo la kuliangalia lingine ni lile alilisema Askofu Gwajima kwamba (Nanukuu), kuna watu wanataka kumuua mtu fulani, halafu waseme Magufuli kamuua yule mtu, halafu wale watu wamuue Magufuli, baada ya kumuua Magufli waseme Marafiki wa aliyeuawa ndiyo wamemuua Magufuli kwa kulipa kisasi cha mtu wao aliyeuawa. Kisha waje na raisi wao wanayemtaka.

Tatizo ni kwamba serikali imekazana kuwahesabu wapinzani kuwa ni adui na hata kuwapa viburi watu kufanya lolte dhidi ya wapinzani kama DC wa Hai, Speaker an Naibu wake Bungeni, Gambo ect, kiasi kwamba inajenga mtazamo wa moja kwa moja kwamb baya likiwapata litakuwa limetoka na na huo uadui.

Lakini Serikali ingelikuwa na hiyo chuki, bila shaka haya mawazo yangelikuwa mbali na hata hao (iwapo wapo), wanaotaka kutumia corridor ya kuwaharass wapinzani ili kuvuruga mfumo na kumweka huyo raisi wanayemtaka ambaye bila shaka aliangushwa, wangepata wakati mgumu.

KULIFUMBUA HILI FUMBO SERIKALI IRUHUSU WACHUNGUZI BINAFSI WA KIMATAIFA WAJE KUFANAY UPELELEZI WA HILI SUALA. INAWEZEKANA KABISA IKAWA NI NJIA YA WATU WENYE NIA OVU KUVURUGA NCHI NA KUWEKA RAISI WAMTAKAYE KWA KUTUMIA MWANYA WA CHUKI ZA SERIKALI KWA WAPINZANI.

HAKUNA ALIYE SALAMA.
IGP SIRO CHUKUA GWAJIMA AKASAIDIE UCHUNGUZI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...

Mueleze mumeo huo uharo wako
 
Nini kimekusukuma kufanya uchunguzi wako na kutoa matokeo yake? Kama ni utetezi kwa serikali haujafanikiwa.
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Mnavyojua kujitetea...kajipangeni upya, hiyo imebuma
 
Back
Top Bottom