Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,278
Reaction score
14,337
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
 
Sikuizi wote mmekuwa wasemaji wa chama, ningekua na mkojo ningekujibu
 
We mleta mada jinsia gani?
Samahani lakini

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Nilichoelewa hapa ni maneno yameandikwa kwa lugha ya kiswahili na si kingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unahusika. For sure unafahamika
 
Kwahiyo kwavile njia iliyotumika dhidi ya Tundu Lissu sio ile ambayo imewahi kutumika siku za ndo tayari hiyo unaita "PROOF"?

Hivi unafahamu maana ya proof wewe?! Umeshindwa hata kutaja the so called "agenda nyingine" halafu bado unadai una proof! Hata tukiuliza bunduki iliyotumika ni model gani wala hufahamu halafu bado unadai una "proof"!

Btw, unaweza kusema ni kipi kimekufanya uhitimishe na kauli ya kidumu Chama Cha Mapinduzi?!
 
Yaani huu ni kati ya uchambuzi wa hovyo kabisa niliyowahi kuusoma hapa jf.
Yaani mtuhumiwa anatoa mada ya uchambuzi, je tutegemee nn? Akiri kuwa ni mhusika au atakana kuwa hausiki.
Hata mwizi akikamatwa na mkungu wa ndizi daima atasema "WANASEMA ETI NIMEIBA"
Hii ina maana hajakubali kuwa kaiba.
Kafie mbali na CHAMA CHA MAUWAJI. ( CCM)
 
Back
Top Bottom