Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Smoking

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimtetea shetani Laana haita kuacha...Angalien maccm mmekuwa kama wendawazimu
 
Swali la kujiuliza:kwa nini mnaweweseka?Kama umekiri kuwa huko serikali huwa mnauwa watu kwa mbinu hizo ilizozitaja,basi kuna uwezekano wauwaji wenzako wa huko serikalini waliamua kubadili mbinu ili wamuue Mh.Lissu kwa mbinu hiyo iliyoshindwa.Umwagaji wa damu zisizo na hatia hauwezi kuwaacha salama,acheni uuaji.
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...

Kinachofanay watu waspeculate ni system kutokujali maisha ya Lisu na wapinzani hata wanapotoa taarifa kinzani na usalama wao.

Kingine ni kule kutangazwa kwamba ni adui na watu wanaonza kutaka kuwaua, kuachwa bila kuchukuliwa hatua yoyote.

Uonveu wanaofanyiwa bungeni na kwingineko.

BTW, jambo la kuliangalia lingine ni lile alilisema Askofu Gwajima kwamba (Nanukuu), kuna watu wanataka kumuua mtu fulani, halafu waseme Magufuli kamuua yule mtu, halafu wale watu wamuue Magufuli, baada ya kumuua Magufli waseme Marafiki wa aliyeuawa ndiyo wamemuua Magufuli kwa kulipa kisasi cha mtu wao aliyeuawa. Kisha waje na raisi wao wanayemtaka.

Tatizo ni kwamba serikali imekazana kuwahesabu wapinzani kuwa ni adui na hata kuwapa viburi watu kufanya lolte dhidi ya wapinzani kama DC wa Hai, Speaker an Naibu wake Bungeni, Gambo ect, kiasi kwamba inajenga mtazamo wa moja kwa moja kwamb baya likiwapata litakuwa limetoka na na huo uadui.

Lakini Serikali ingelikuwa na hiyo chuki, bila shaka haya mawazo yangelikuwa mbali na hata hao (iwapo wapo), wanaotaka kutumia corridor ya kuwaharass wapinzani ili kuvuruga mfumo na kumweka huyo raisi wanayemtaka ambaye bila shaka aliangushwa, wangepata wakati mgumu.

KULIFUMBUA HILI FUMBO SERIKALI IRUHUSU WACHUNGUZI BINAFSI WA KIMATAIFA WAJE KUFANAY UPELELEZI WA HILI SUALA. INAWEZEKANA KABISA IKAWA NI NJIA YA WATU WENYE NIA OVU KUVURUGA NCHI NA KUWEKA RAISI WAMTAKAYE KWA KUTUMIA MWANYA WA CHUKI ZA SERIKALI KWA WAPINZANI.

HAKUNA ALIYE SALAMA.
 
[QUOTE="TumainiEl, post: 23344009, member: 20912")
Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...[/QUOTE]

Kha! Hivi mnakunywa nini ninyi watu?! How is it possible binaadam mwenye nywele kila kona ya mwili wake awe na fikra kama hizi?! Yaani umekaa mwenyewe ukajipinda kutapika hivi hadharani?!

**yakh! !
 
eti nimejikita kwenye upelelezi yani huu ndo upelelezi wako uliojikita mbona vijana wa Uvccm ni hewa namna hii
 
We mpuuzi kabisa. Kombe aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa TISS aliuawawa kwa namna gani? Gibons Mwaikambo aliuwawa kwa namna gani? Ule mkutano wa Arusha, watu waliuwawa kwa namna gani? Chacha Wangwe aliuwawa namna gani?

Ukichunguza utagundua njia mbalimbali na tofauti kutegemeana na mazingira na urahisi wa njia kwa kutegemea style pia ya maisha ya mtu anayetafutwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Umeandika ujinga tupu, mbaya zaidi unaandika ukiwa Nantumbo Songea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio umetumwa na Bashite kuja kuandika huu upupu. Kwa nini walinzi wote wa mawaziri na naibu spika walipigwa ganzi wakati risasi 32 zinamiminwa?
hii Habari kubwa, kwahiyo wakati risasi zikimiminwa walinzi wa mawaziri na wa spika walikuwa eneo la tukio?. wale wajuvi wa mji wa ddm mnieleweshe:hivi mh ndugai makazi yake ni area D?
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Agender=agenda
Treiter=traitor.

Umejikakamua mwenyewe kutaja mataifa ya watu ili tukuone unajuuuua, lakini shule sio makalio kwamba kila mtu anayo imekuumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Pumbavu kweli we we. Unatafuta kick Kwa risasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona mnahangaika hivyo ... TL kwa wakati huu anahitaji mchicha, matunda na lishe bora kurudisha damu na afya yake pia kumsbukuru mungu aliye anayepanga yote
 
Back
Top Bottom