Bry N
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 739
- 883
Ni bora ukakaa kimya kuficha kiwango chako cha uelewa hata km unajiona na kujiamini unauelewa mkubwa binafsi ila mbele za watu unatia aibu tu unachoandika ni pumba tu si kisarufi hata kimantikiUnajuwa kosa kubwa watanzania tunafanya nikuhisi.. Hakuna mahali Lisu aliwahi ambiwa atapigwa risasi nanniukweli usiopingika wale serikali inawataka haitumii nguvu kubwa kama hii. Niukweli usio pingika Lisu alikuwa na other people ana communicate .now je ni akina nani na kwa ajili gani..
Tena hewa chafu!eti nimejikita kwenye upelelezi yani huu ndo upelelezi wako uliojikita mbona vijana wa Uvccm ni hewa namna hii
chonde chonde, Ongea taratibu usizidi kuhatarisha uhai wa mhanga, bado tunaomboleza machungu ya kuodokewa na Kamanda wangwe, Mungu pitisha mbali yasijirudiekikampeni maalum kwa majeruh bila kuhalalishwa na uongozi wa chama(maana
niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu
Eti nikajikita katika upelelezi mzito na tangu kipindi cha mwl Nyerere Tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari katika system na sio hii aina Lisu.Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.
Double agent outside? What the hell is this?Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...