Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

Ulicho peleleza hapa ni nini?

Acheni ushabiki kwenye mambo ya msingi.
 
Assalaam alaykum wakuu! Kuna jambo napenda kuwatahadharisha Waislam na wale ambao si waislam juu ya hili suala la kudhani na kujipa uhakika kuwa Tundu Lissu alipigwa risasi na watu wa upande Fulani. Kwa mujibu wa maandiko Dhana Ni kitu kibaya sana hasa ukiwa unaemdhamini siye . Waislam mnaoshabikia mambo haya Ni bora kufanya shughuli nyingine na kuacha vyombo vinavyohusika kufanya kazi zao.
 
Cyo bure,wewe na uchwara ni suspects wa tukio hilo la Lisu.
 
DAB on his best...

Mmeumbuka, wenye hatia wana hofu..

Get well soon President Tundu Antipus Lissu..
 
Cyo bure,wewe na uchwara ni suspects wa tukio hilo la Lisu.
 
Mbona nguvu nyingi inatumika sasa kuelezea mambo haya, sisi wapiga kura tutamjua tu anayehusika.
Time heals
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Akili ya Bashite ni ndogo sana,ajawahi kufanikisha maswalayake kama haya.
Tulia hauondoi ukweli,zaidi unaanika upupu wa bashite.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa mkuu,maana hata waliovamia clouds siyo watu wa system maana hawakutumia mbinu za kiisraeli ambazo system wamefundishwa,hata walomtolea bastora Nape nao pia si wa system maana hawakutumia mbinu za kirusi ambazo wazee wa system wamefundishwa,hata walomuua mwangosi nao pia si wa system,hata wanaosema lisu ni mamluki na si mzalendo nao pia si wa system,hata wanaopandikiza chuki juu ya lisu na wanaombambika kesi kila kukicha,na hata waliomuita kafulia tumbili si wa system maana hizi siyo mbinu za kiisraeli walizopewa watu wa system

CCM na Sereka kujitoa kwenye hili janga ni sawa na kusema nvua hazinyeshi mwaka huu halafu wakaamini, hizo tafiti wapelekeeni wake zenu.
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Ulivyo malizia ndio nimeelewa, ukisha tumbukia kwenye shimo la kinyesi hata ufanye vipi harafu haikuachi
 
Umetuhaibisha wenzio inaonekana wote tunawaza kama wewe.

Heri mimi sikuwambia wenzangu nilicho nacho!!!
 
Ni kweli kabisa mkuu,maana hata waliovamia clouds siyo watu wa system maana hawakutumia mbinu za kiisraeli ambazo system wamefundishwa,hata walomtolea bastora Nape nao pia si wa system maana hawakutumia mbinu za kirusi ambazo wazee wa system wamefundishwa,hata walomuua mwangosi nao pia si wa system,hata wanaosema lisu ni mamluki na si mzalendo nao pia si wa system,hata wanaopandikiza chuki juu ya lisu na wanaombambika kesi kila kukicha,na hata waliomuita kafulia tumbili si wa system maana hizi siyo mbinu za kiisraeli walizopewa watu wa system

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa akianani watu mna majibu ya msituni siku hizi ccm watakufa na presha
 
Kweli unalengo la kutoa proof,
Lakini umefeli kushawishi umma kupitia maelezo yako.
!"System inatumia njia nyingi kuwaondoa ant-system lakini sio njia kama lissu"!
Inawezeka ikawa ni system imebadili plan.
Siombi iwe hivyo maana tunakwenda pabaya. Mungu awatangulie polisi ktk upelelez ili HAKI IPATIKANE na imani ilejee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Eti huu nao tuuite ni uchunguzi.......chunguzi za ki Tz bhana.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Back
Top Bottom