Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

Huo mstari wa mwisho wa maelezo yako umeziilisha wewe ni nani na umetumwa na nani
 
Ifike Wakati Viongozi/Wananchi Tujikubari Kutokana Na Ukomo Wa Mawazo Yetu, Tusilazimishe Kuwa Na Ukomo A Wakati Tunaishia Ukomo D Wa Kufikiri..

Kila Mtu Akijikubari Kulingana Na Hali Yake Nadhani Hata Thread Kama Hizi Mtu Ataona Aibu Kuandika.
Mtu Anasema Anatetea Point Yake Halafu Ukiitafuta Point Yenyewe Huiona Daaaaaaah Inasikitisha Kwa Kweli.

Kama Ni Mwana CCM, CDM ,ACT, CUF nk
Unapoleta Maada Ambayo Inahitajika Kushusha Nondo Basi Shusha Kweli Hata Wale Walioko Upande Wake Wasione Aibu Kuuchangia Ama Kusapoti Mada Husika
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Kama umetumwa ndo umeharibu kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh! U kilaza ndugu yangu.
 
Mbona unaandikia kutoka kwenye system?
 
Mchizi mwenye uzi huu bogus kinyama yaani ukimwambia asome alichoandika anaweza akakakataa kwamba yeye ndio ameandika
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Uzi wa tano huu kwa leo tu

System inayoongozwa na bashite unategemea nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ni vizuri tukaju kama kweli Lisu alikua anafuatiliwa na Gari mara kwa mara ?
Kama ni kweli aliripoti wapi na ana namba ya taarifa aloyotoa polisi.
Kama la Kwa nini hakuripoti polisi ili wakimfuatilie awapigie simu na kuwaambia ile gari iko nyuma yangu njoni muikamate!?
Kwa nini chama chake kilipuuzia taarifa hiyo na hawakuweka walinzi wa kumlinda Lisu?

Kuhusu sytem kutumia mbinu ya kumaliza watu hilo nalo halina mashiko kwani system sio mtu mmoja .

Ila tu kule Korea kaskazini kuna waziri alisinzia wakati Rais wa nchi hiyo anahutubia ,akapigwa kombora la kurushwa na ndege toka angani.
Lengo la serikali ya Korea ilikua ni kuwatisha wengine wasifanye mchezo.

Nadhani tusiandae majibu rahisi kwa matukio ya kuua wanasiasa kwenye nchi za mfumo wa kidemokrasia. Lisu anaungwa mkono na watu wengi kuliko mtanzania binafsi yeyote kwa sasa. Kwa hiyo tuepuke sana kutoa hisia za nani kamuua au nani hajamuua.

Kuna wakati watu wanahisi kutokana na hali ya kisiasa ilivyo. Ni dhahiri kuwa chama kilichoshika madaraka kimeshindwa kuwaunganisha wale kinaotofautiana nao kama watanzania wenzao. Hapa panaleta kutoaminiana na kuhisiana vibaya.

Wapo watu wengi waliwahi kulalamika kuwa wanafuatiliwa lakini hakuna juhudi za kuzuia.
Labda sasa ifikie mahali serikali iwe makini kuzuia matukio ya watu kuuawa iwe na maadui zao au na majambazi au vyoyote.
Kule kibiti yalianza kidogo kidogo kwa wenyeviti lakini hatukuona busara ya kuwapa wale wenye viti wa serikali za mitaa ulinzi. Wakauawa wengi sana. Ikabidi serikali itumie nguvu kubwa sana baada ya watu kuuawa sana.
Pia ilitakiwa Askari Polisi wa kibiti wapewe magari ya Bullet Proof ya kufanyia doria ili kuzuia uwezekano wa kusambuliwa.

Serikali ijiepushe na lawama hizi kwa kuchukua hatua mapema.
Kwa nini nchi yenye ulinzi mkubwa kama hii iwe ina magenge ya watu wanaouana kwa sababu zao binafsi.

Ni bora Basi tukaambiwa kuwa kuna kundi la magaidi wasiojulikana ili tushirikishe vyombo vya nje vyenye utaalam zaidi na uwezo wa kubaini magaidi hao wasiojulikana ili tutokomeze hali hii ya kutisha.
Kama kweli serikali inakusudia kutokomeza huu uhalifu wa makundi na magenge ya kimafya yanayofanya mauaji na kuichafua serikali basi ni wakati sasa wa kushirikisha taasisi za kiupeleleza za kimataifa ili kubaini nani anaendesha matukio hayo.
Vinginevyo hata kama serikali itakuja na majibu yao bado wanachi watakuwa hawana amani . Bado hofu itakuwa inawatanda watu na hasa wanasiasa iwe ni wa upinzani na hata chama tawala mana hatujui nini hasa nia ya hao wanaoendesha hayo mauaji.

Kushirikisha taasisi za nje ni jambo jema ili serikali ijisafishe na kujitenga na tuhuma hizo.

Lakini pia ni vyema serikali na jeshi la polisi likaruhusu mikutano ya badhara ili kupunguza hasira walizo nazo watu.
Watu wanafikiri mikutano ya hadhara inawaumiza tu wapinzani lakini pia chama tawala.
Kuna watu ndani ya chama tawala nao wanakwazika na kupandwa na hasira kali wanapoona mtu fulani anaikosoa serikali bila kikomo na wakati huo huo wakawa wanakosa jukwaa la kumjibu.
Nini kinafuati ni hasira kujikusanya kila wanapomuona anaongea bila kukubali kunyamaza. Inawezekana pia likajitokeza kundi la kikereketwa likaamua kuwanyamazisha wale wanaosema sana na kukosoa.Hata kama serikali haijui wala kupanga mpango wa kuwanyamazisha lakini wakaibuka watu wanaojiita wakereketwa na wasiopenda kuona watu wanakaidi.
Ndio maana hata ndani ya CCM kuna wale wanao sema na kukosoa nao pia wana matoshio.

Asilindwe mtu yeyote awe mwanasiasa au gaidi au jambazi kutoka ndani au nje ya nchi atakayebainika kuwa ndiye anayefanya haya mauaji na mashambulizi na kuteka watu.
Tuliangalie taifa letu kwa mbali zaidi. Wale waliopigania uhuru walifanya mema kwa ajili ya amani ya nchi yetu . Hawakuangalia mali ,vyeo na marafiki zao bali walijenga misingi ambayo leo tusipoangalia tutawarithisha watoto wetu chuki ,hofu na vurugu.

Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu ya Lissu inakuwa ngumu sana kuichambua kwa raia wa kawaida.... Lissu amekuwa mtu hatari sana ku kupambana na watu wanaiba rasilimali za nchi na wahujumu uchumi, hadi hapo Lissu alitakiwa awe na ulinzi mkali sana, anao pambana nao ni watu hatari,

Pengine wezi wa rasimali wametumia hii nafasi kufanya yao halafu mzingo anatupiwa mwingine...

Ishu kama hii ukisha ingiza siasa hata uchunguzi uta fail tu, wahusika halali watadakwa ila bado watatetewa tena kuwa siyo wahusika.......
 
Kwa hiyo unatuhakikishia ya kuwa Ben saanana mnae. Tuambie ukweli tukuelewe vizuri.

Walinzi siku hiyo walikwenda likizo au ilikuwa ni dharura kwa ajili ya Lissu?
 
We mpuuzi kabisa. Kombe aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa TISS aliuawawa kwa namna gani? Gibons Mwaikambo aliuwawa kwa namna gani? Ule mkutano wa Arusha, watu waliuwawa kwa namna gani? Chacha Wangwe aliuwawa namna gani?

Ukichunguza utagundua njia mbalimbali na tofauti kutegemeana na mazingira na urahisi wa njia kwa kutegemea style pia ya maisha ya mtu anayetafutwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Lt. jenerali Imran Kombe aliuawa kwa risasi alizovurumishiwa na askari polisi walodhani kuwa gari alokuwa akiendesha marehemu Kombe lilikuwa ni gari lilokuwa limeibiwa na jambazi sugu na mwizi maarufu wa magari.

Marehemu Gibbons Mwaikambo alifariki baada ya gari alikuwa akiendesha kupinduka katika matuta eneo la karibu na hoteli ya Palm Beach na mtaa wa Magore.

Taarifa zilizokuwepo wakati ule ni kwamba alikuwa amelewa, na alikuwa akiendesha gari kwa mwendo wa kasi.

Vifo vya viongozi hawa wawili usivifafanishe na vifo hivyo vingine kwani huna ushahidi.
 
Ulivoanza kwa kusema mods wasifute andiko lako nilikuwa attention kweli kweli
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...

Mkuu watakamatwaje wakati wa akina Roma Mkatoliki, Ulimboka, Kubenea ana wengi wengine hawajakamatwa hadi leo? Unaitisha subira hadi wakamatwe? Kama wakamataji ni wao wenyewe unadhani watajikamata vipi?
 
naomba unijibu kaswali kangu? kauli ya nape ni kuwa, gari iliyokuwa inamfuatilia lissu, ndio hiyo hiyo iliyokuwa inamfuatilia nape, unakubaliana nami kuwa, adui Wa lissu in adui Wa nape pia?
 
Back
Top Bottom