Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Kawasaidie Polisi maana wewe una ushahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuwa kosa kubwa watanzania tunafanya nikuhisi.. Hakuna mahali Lisu aliwahi ambiwa atapigwa risasi nanniukweli usiopingika wale serikali inawataka haitumii nguvu kubwa kama hii. Niukweli usio pingika Lisu alikuwa na other people ana communicate .now je ni akina nani na kwa ajili gani..
 
Hakika umefeli. Kama nawe ni wakili wa ccm basi zero brain.
On the beginning you committed the government of ccm that they do kills people since the rate Nyerere.
You said they are sasinated in many ways but not this done to Lissu.
How far are you sure that they have changed ways of killing and this done to Lissu is the New one.
Mnaojifanya kuitetea serikali mnaiingiza motoni mchana kweupe peee. Kukiri kuwa wanaua ni kosa. Kutaja tangu wameanza kuua ni kosa la pili. Kuikataa hii mbinu ya kuua na kuikubali nyingine ambayo hujaitaja ni kosa la tatu.
Hivi ccm wanawatoa wapi mbumbumbu sampuli ya wewe wawe watetezi wao ktk mambo concrete kama haya.
Very ashamed to you mleta post.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...

kwaiyo bashite alovyoenda na mitutu ya bunduki clouds alikuwa anataka kuuwa kwa natural death au roma alivyotekwa na watu wa usalama alikuwa anataka kuuliwa natural death au Nape jamaa wa usalama aliyetaka kumtandika risasi hadharani ilikuwa nikutaka kuuwa kwa natural death, endelea ivyo ivyo kuamini mna kila mtu ana haki ya kuamini anavyoamini
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Andiko limejaa upupu mtupu. At highest point of meandering
 
Wana "agender"?
Ndio nn hicho?!

Unataka kuandika jambo kubwa kwa fikra hafifu.
Hujui system wala mbinu wanazotumia.
Angalia utaingia matatizoni kwa kukiri kuwa serikali huwa ina mbinu za kunyamazisha watu.
Next time, jiepushe na masuala kama haya mdogo wangu.
Wewe jadili mambo kule facebook na kwenye magroup ya WhatsApp.
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...

Shoga mkubwa wewe
 
Nani mwingine Kama sio yule? Kamatakamata na mahakamani akawashinda.tunajua mlidhamiria kufanya vile na maagizo kutoka juu kutetea kwenu hakupotezi ukweli kuwa ule ni mpango maalum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ni kuleta vyombo Vya kimataifa waje wafanye uchunguzi huru . wapo Scotland Yard na FBI tuombe watusaidie ili kusiwe na lawama pande zote
 
Unajuwa kosa kubwa watanzania tunafanya nikuhisi.. Hakuna mahali Lisu aliwahi ambiwa atapigwa risasi nanniukweli usiopingika wale serikali inawataka haitumii nguvu kubwa kama hii. Niukweli usio pingika Lisu alikuwa na other people ana communicate .now je ni akina nani na kwa ajili gani..
weka bunduki chini tubishane kwa hoja
 
Usinikumbushe mambo ya Kombe hapa

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom