Ninahusika kwa karibu na mradi wa C:AVA unaofadhiriwa na USAID na kutekelezwa kwa ushirikiano kati ya CPE-UDSM na Greenwich University. Lengo lake ni ku-diversify na kupromote cassava in Africa. Kwa hapa Tanzania tayari kazi inaenda vizuri na viongozi wa kisiasa kukubali kupeleka mswada wa kutaka kila confectionery iwe na angalau 20% ya unga wa muogo ili kupanua soko la ndani.
Kwa ufupi, naomba tuwasiliane Mkuu
Mkuu mimi nitakutafuta,sisi wapenda kilimo hapa ndo penyewe.