Project funding sources

HTML:
Mbona nilikucheck kwenye hiyo yahoo yako kitambo sana??


Nimeku PM mkuu. Please naommba feedback kama umeipata msg yangu.

Thanx.
 
BIG UP SANA, umeonyesha nia ya kubadili mtazamo wa vijana wa kitanzania,tuko pamoja.Hata mimi nina mawazo ya kuinvest but i didnt know where to get seed money(initial capital),so nadhani elimu hiyo itatusaidia wengi.
pia jamani naomba kusaidiwa jinsi ya kuandaa busness plan,and if possible mchango wa busness gani inalipa kwa kuanzia investment ndogondogo,my biggest dream is to invest in real estate but i gues the project will demand a huge amount of capital so it will wait until i accumulate enought to get started.


jamani mim yatima ninaye chakarika kupata financial independent,nategemea sana mawazo yenu.
asanten sana......
 
BIG UP SANA, umeonyesha nia ya kubadili mtazamo wa vijana wa kitanzania,tuko pamoja.Hata mimi nina mawazo ya kuinvest but i didnt know where to get seed money(initial capital),so nadhani elimu hiyo itatusaidia wengi.
pia jamani naomba kusaidiwa jinsi ya kuandaa busness plan,and if possible mchango wa busness gani inalipa kwa kuanzia investment ndogondogo,my biggest dream is to invest in real estate but i gues the project will demand a huge amount of capital so it will wait until i accumulate enought to get started.


jamani mimi yatima ninaye chakarika kupata financial independent,nategemea sana mawazo yenu.
asanten sana......
Bussiness gani "inalipa"? Kwani ipi hailipi?
You should focus on what interests you. Au uanze kupenda kile unachotaka kukifanya, kwa maana ya kujifunza kila kitu kinachohusiana na hiyo shughuli.

Kuhusu kutafuta hela, hiyo utafanya baadae.
Nikupe mfano, umependa shughuli fulani, umejifunza ins and outs hata unapomsimulia mtu (uncle, mama mdogo) anakubali kwamba umejiandaa.
Muombe akuchangie fedha kidogo za kuanzisha huo mradi. Muombe akupe ushauri wa namna ya kupata fedha zaidi.

Ikiwa atakataa kutoa ushirikiano basi ujue maandalizi yako umefanya kwa kulipua. Kwa hali hii hustahili kupewa hata shilingi moja. (Maandalizi ninayozungumzia siyo ya kufanywa katika kipindi cha wiki moja au mbili bali ya muda mrefu).
 
HTML:
MZUZU unaweza kunicheck kwa email:
 
baraka.baraka@yahoo.com

HTML:
Haina shaka mkuu wangu nakucheck sasa hivi


Mbona kimya mkuu?

Mzuzu uliniahidi kuwa nikifika Dar tutaonana na jamaa yako mbona kimya,au jamaa bado yuko safarini?
 
Mzuzu, waone Tanzania National Business Council. Mradi wako unaingia kwenye funding chini ya Kilimo Kwanza. Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko imekuwa ikijaribu kuwapatia wakulima wa mihogo soko la uhakika la migoho yao. Naona jibu unalo. Jaribu pia kumwona Mama Nagu. Ukipata secondment ya Wizara, benki hawatasita kukupatia funding.
 
Hongera na best wishes. Nadhani utapata support kubwa hapa Jf. Please endelea kutupa update.
 
Wakuu nimerudi tena baada ya kuingia chimbo kwa muda kidogo!

Nashukuru sana kwa michango na mawazo ya wanajamvi ambayo yamekuwa msaada mkubwa sana katika kuboresha na kushape zaidi mawazo haya. Naona huenda nikafikia lengo lakini bado nategemea sana mawazo yenu katika kuboresha zaidi

Katika kuhangaika na kufuatilia zaidi nimepata shirika moja huko USA linalojishughulisha kuboresha kilimo katika nchi maskini (halina tawi Tanzania) na wameonyesha sana nia ya kusaidia kufanya huu mradi uwe na mafanikio

Kimsingi tumeshafanya nao mazungumzo kwa undani na kufikia maamuzi ya kufungua tawi Tanzania, kusaidia uzalishaji wa mihogo katika commercial level (tutaanza na eka 1000), kusaidia kununua na kuprocess mihogo ambayo tayari inazalishwa sasa kwa wakulima na kuexport (tayari kuna kiwanda cha plastic US wanataka starch kwa wingi), kuweka mitambo as a pilot project then mitambo mikubwa, baadaye tutaendelea na mazao mengine yanayowezekana kwa hatua.

Kinachofurahisha zaidi ni kwamba uzalilishaji wote na rasilimali zote zitakazozaliwa zitakuwa re-invested tena hapohapo Tanzania so hakuna mali itakayohamishiwa US au nchi nyingine. Lengo ni kusaidia household income ya wakulima wadogo

Tutafanya hii kazi kwa ubia na wakuu nitarudi tena kuomba mawazo zaidi kwani kwa sasa tupo katika hatua ya kuandaa mikataba, najua hekima imejaa hapa nitaomba mawazo kwenye mikataba nisije kuingia kama ya kina chifu Mangungo na ile ya madini. Kuna mambo mengi ya kimsingi nitakayoomba JF wataalam wasaidie kuelekeza

Narudia tena ahsanteni sana kwa kila aliyechangia na tusaidiane kujenga nchi yetu sote kwa kila njia mtu anayoona inaweza kubadilisha hali. Sio lazima wote tuwe wanasiasa jamani, wengine twendeni kwenye vitendo zaidi.

Tunaangalia jinsi gani tutaimplement kwani kuna vitu viwili hapo Not for profit organization na for profit so trying to figure out tutafanyaje ili malengo yatimie na tasisi zote zifanye kazi ndani ya sheria na kufikia malengo yake bila kukinzana

Ahsanteni sana, tupo pamoja tuendelee na kuchangia mawazo zaidi!

Naamini tukichomoka wachache na kuanzisha shughuli zetu wenyewe kwa umakini mkubwa tutafanikiwa sana. Kama ukiangalia idadi ya wagombea Ubunge mwaka huu katika majimbo yote kupitia vyama vya siasa ni wengi hadi basi. Ngoja wengine tukazalishe.
 
Naamini tukichomoka wachache na kuanzisha shughuli zetu wenyewe kwa umakini mkubwa tutafanikiwa sana. Kama ukiangalia idadi ya wagombea Ubunge mwaka huu katika majimbo yote kupitia vyama vya siasa ni wengi hadi basi. Ngoja wengine tukazalishe.

Unajua kutoka na upotofu wa waliostahili kutuonyesha njia imefika mahala watu wameona siasa na hatimaye kuwa mafisadi wa kisiasa nadio ukombozi wa umaskini na njaa za matumbo yao;

Hili linaenda hadi kwenye familia zetu nashukuru sana wa JF nimepata furasa ya kupita hapa na nilichojifunza ni zaidi ya haba
 
mzee kipindi kile ulipo kuja na hilo wazo kwa kweli ulinipa shauku sana mpaka nikaanza kuona sasa wakati wa mapinduzi umewadia.
Nafikiri unakumbuka nilivyokusumbua na e-mail address.
Ila kunakipindi ulipotea sana mpaka nikasema inamaana ile ndoto ndio imepotelea hewani au inakuwaje?
Nimefurahi sana kukuona tena hewani maana kila siku nilikuwa nikifungua hii forum namcheki huyo jamaa kwenye avatar yako halafu najisikia uchungu sana kuona upo kimya.
Nimefurahi sana kuona kumbe tuko pamoja.
Mi ninachosubiri ni kupanga jinsi gani tutapanga na kugawana majukumu maana nina hasira sana na hiyo project.
Tena nataka tukianza hiyo project mimi nipewe jukumu zito kabisa halafu mi nikomae nalo mpaka nilifanikishe.

Asante sana kwa update.
Pamoja sana mkuu.
 
mzee kipindi kile ulipo kuja na hilo wazo kwa kweli ulinipa shauku sana mpaka nikaanza kuona sasa wakati wa mapinduzi umewadia.
Nafikiri unakumbuka nilivyokusumbua na e-mail address.
Ila kunakipindi ulipotea sana mpaka nikasema inamaana ile ndoto ndio imepotelea hewani au inakuwaje?
Nimefurahi sana kukuona tena hewani maana kila siku nilikuwa nikifungua hii forum namcheki huyo jamaa kwenye avatar yako halafu najisikia uchungu sana kuona upo kimya.
Nimefurahi sana kuona kumbe tuko pamoja.
Mi ninachosubiri ni kupanga jinsi gani tutapanga na kugawana majukumu maana nina hasira sana na hiyo project.
Tena nataka tukianza hiyo project mimi nipewe jukumu zito kabisa halafu mi nikomae nalo mpaka nilifanikishe.

Asante sana kwa update.
Pamoja sana mkuu.

Kwa moyo huu unaonionyesha tunaweza kufika pahala.
 
Kwa moyo huu unaonionyesha tunaweza kufika pahala.


Moyo wa kizalendo kati yetu upo sana ; niseme tu kuwa tumekuwa tukikosa dira na kiongozi atayebeba ngao yetu; Hii issue ya job creation ni kitu muhimu sana kwenu; na hakika iwapo tunataka kupiga hatua kama taifa lazima tuwe job creators na si job seekers.
 
Mimi naamini tunaweza kujiongoza wenyewe, kitu kingine muhimu ni namna ya kujenga timu ya wajasiriamali ambayo iko makini.Hofu si nzuri hata kidogo.Mimi naamini tukiwa na timu imara fedha zitakuja tu.
 
Jaribu uwaone SIDO wana kitengo kinachosaidia wagunduzi na wabunifu kama wewe. Pia unaweza kuwaona TIC wakuunganishe na wawekezaji wa nje.
CHARLES
 
Wakuu tumefikia hatua muhimu na partners na tunaplan kufanya pilot project in 12-18 months tumeshaajiri director kwa ajili ya kuanza. Tutaanza na mtambo mdogo utakaohitaji kama tonnes 40 hivi za mihogo kwa siku. Mbia ni mtaalamu mwenye viwanda vya bio-plastics na anataka raw materials kwa hiyo soko ni la uhakika tutaexport USA so kuingiza dola. Baadaye tutaweka kiwanda cha bio-plastics pia ila tuanza na starch production kwanza. Tunafanya pilot kwa mwaka 1 kuona viability na tutaexpand kutegemea response ya wakulima katika kuzalisha mihogo na support generally

Tutakuwa tayari kufanya kazi na member watakaokuwa tayari kuzalisha mihogo either kupitia vyama vya ushirika au binafsi na tutasaidiana kwa kila hali ili kujenga win-win situation. Lengo kama nilivyosema awali ni kuinua kipato cha wakulima wadogo wadogo kwa kupanua masoko ya mazao yao (tukianza na mihogo inayolimika kila mahali Tanzania) na kuongeza ajira kwa vijana wakati tukiliingizia taifa pesa za kigeni na pia kuitikia wito wa kuprocess mazao ya wakulima ili kuongeza thamani kabla ya kuuza.

Natumaini tukiwa pamoja tutaweza na hii iwe changamoto kwa vijana tufikirie miradi itakayobadilisha maisha yetu na wengine badala ya kuboresha maisha katika level ya familia zetu tu na pia tuangalie upande mwingine kuliko tulivyozoea, kuajiriwa tu hasa baada ya elimu ya chuo kwani kuna fursa nyingi tuzitazame na kufikiria tuzitumieje huku tukiumiza vichwa kupata resources.

Tuendelee na majadiliano zaidi tusaidiane mawazo wakuu
nimekuwa nikifuatilia progress yako kwa karibu,nina maswali kidogo
-kiwanda kitakuwa sehemu gani,specifics please
-do u plan to have extension officers to support wakulima
-mimi nataka kulima mihogo with a sole purpose kuwauzia,je mkianza mtakuwa na utaratibu wa kutoa dhamana benki kuwa kama nitalima na kuvuna mazao yangu yote mtayanunu,hii kama insuarance for my bank manager kuwa akinipa pesa ntazirudisha in time kwani suala linakuwa ni mimi kulima,kupambana na wanyama waharibifu,then kubeba to u r production plants
 
Basi mimi nitajibanza mkuranga na naanza mwaka huu kwa kulima ekari 10 mihigo,wakati nawasubiri ngoja niwe natengeneza Crisps na mingine niwauzie kina mama wa Dar wanochoma na kukaanga mihogo.
Mkuranga would be more ideal if u plan to export ,ni karibu zaidi na bandari na pia barabara safi haina foleni ,pia TRL and TAZARA bado hawajajipanga still suffering from ufisadi and kubinafsisha crisiss
 
Back
Top Bottom