Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,072
Watanzania tayari wameshaamua kufanya MABADILIKO. Mahaba yao kwa UKAWA na Lowassa hayapimiki. Chochote CCM na vibaraka wake wanachotaka kufanya kinagonga mwamba mapema. Huwezi kubadilisha kitu tena.